The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,280
Ludo ni msaliti na mtekaji kutoka uvccm. Sasa anatumia kivuli cha hoax political party act-tanzania.
Hana lolote zaidi ya uganga njaa.
Hana lolote zaidi ya uganga njaa.
Mkuu naskia sharti kujiunga ACT ni lazima uwe na laini yenye Mpesa, hahahaha
Mohamed Mtoi ni mwanachama na mtendaji wa chama aliyekabidhiwa majukumu na anayatimiza kadri inavyotakiwa.
Yuko anatimiza majukumu yake kwa chama kama kawaida. Anatimiza wajibu wake kama mwanachama. Anawajibika kama mtendaji kwa kadri ya nafasi yake.
CHADEMA au viongozi wake, hawapangiwi wala kupokea ushauri wa namna ya kusimamia, kuendesha chama au utendaji kazi wa kila siku kutoka kwa CCM na washirika wao (its cronies as I normally write).
Mleta mada anayo fursa nzuri ya kupeleka ushauri wake CCM ambako bila shaka wanamwamini zaidi kama sehemu ya vijana wao.
Mleta mada huyu angeshauriwa atumie fursa aliyonayo ya mawasiliano ya siri na wazi (kama alivyofanya hapa), aungane na wenzake kwenye lile tawi jipya la CCM, kuwapatia ushauri kama huu watu wa Lumumba au pale White House Dodoma.
Awashauri badala ya kufungia magazeti wafanyie kazi facts zinazosemwa na Magazeti mathalani tukio la kutekwa, kuteswa na kutaka kuuwawa kwa Dkt. Ulimboka.
Awashauri kuwa waache kufanya au kupalilia mauaji kisha wanawatuma mawakala wao kusema Ni Chadema.
Alipaswa awe amewashauri 'wenzake' wafanye uchunguzi wa kina na kuchukua hatua kwenye
Mtoi hajulikani anajishughulisha na nini chadema. Mtoi ni jobless
Tembelea CHADEMA Mnachukua Uamuzi Sahihi Huku Mkiruhusu Dhambi Kuu Kutendeka Hadharani?!Fungulia thread yake tujadili otherwise huu tunauhesabu kama umbea tu.
We hujui kama siku hizi anafukuzia tenda na Deus??? Wana kitengo chao maalum cha kushughulikia nafsi za watu.
R.I.P Chacha Wangwe.
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.
Nimeshauri
Huyu sio BAVICHA. Kumbuka alikuwemo kwenye gari la viongozi wa ACT, ajali ya gari hilo ilipotokea hakuwa na jinsi ya kujifichaSinema za BAVICHA huyu haziishi.
Ina maana Mtoi anatumiwa na wasaliti ili amdhuru Mzee Slaa na Mbowe?
mwacheni kijana amechanganyikiwa, atakapo kuwa mtu mzima na kuanza kijitambua ataacha ujinga huo anaoufanya, hawezi akawa na akili timamu huyo. haeleweki yuko CDM au CCM, au ndo njaa inamtesa
Mohamedi Mtoi. Angalia alama za nyakati ndugu yangu. Madam umezungukwa na kina Masawe, Mangi, Mungi na kina John ima ukubaliane na matakwa yao au uitwe Msaliti kama Zitto.
Mkuu, hauwezi kufanya siasa za maji taka ukabaki salama.Mkuu Ritz Lazima Mtoi ataelewa tulichokuwa tunamwambia maana lazima ataambiwa aliandaa waraka!
Siku si nyingi Lissu atatoa tamko la kumfukuza!
Ludo Vick ametumwa kumfikishia ujumbe ajiandae.
CCM wewe, Chadema wewe, ACT wewe...hivi hamuoni kama mnajidharirisha? Chagueni chama kimoja na mtulienacho.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.