Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,513
- 283,984
ludovic wewe upo chadema au act
habari ya report ya kibanda imeishia wapi??
Mwigulu anavyojigamba namna alivyokununua.
Bado una moral authority ya kushauri CHADEMA?
Mwigulu anavyojigamba namna alivyokununua.
Bado una moral authority ya kushauri CHADEMA?
Ushauri kwa CCM, huyu mtu anaharibu mipango yenu ya siri, kwani kuna wengine walikuwa hawaamini dhana ya usaliti. Joseph Ludovick anadhihirisha bila chembe ya mashaka kuwa kuna watu wanajivika uanachama wa CHADEMA, lakini kila wanalofanya ni la kupaka matope chama.
Anathibitisha bila chembe ya shaka kwamba kuna kundi kubwa la usaliti lilikuwemo CHADEMA na lilitumiwa na CCM.
CCM, huyu mtu anakuwa hatari kwenu.
MSALITI NA MAMLUKI kama wewe MSAKATONGE LUDOVIC NI NANI MWENYE AKILI yake timamu atakuamini ? Pamoja na wema wote aliokufanyia lwakatare SHUKRANI ZAKO NDIO YALE ULIYOMFANYIA ? HAKIKA MUNGU HATOKUACHA , MWISHO WA KELELE ZAKO NI 2015 BAADA YA WANAOKUTUMA KUPIGWA CHINI .
Mkuu Tumaini Makene, asante kwa taarifa hii kuhusu Chadema na viongozi wake katika suala zima la kupokea ushauri, ushauri siku zote huwa ni ushauri tuu, mshauriwa ana hiyari aupokee au kuupuuza, ila kwa mujibu wa kitu kinachoitwa "right to information" kwa mtu yoyote au taasisi yoyote ambayo iko paid by taxpayers money, the tax pays have all the right to know each and everything kuhusu chombo hicho ambacho ndio hatma ya kodi zao!.CHADEMA au viongozi wake, hawapangiwi wala kupokea ushauri wa namna ya kusimamia, kuendesha chama au utendaji kazi wa kila siku .
Tunawezaje kumuamini mtu aliyeweza kusaliti chama kwa elfu 50 tu za Mpesa?
Ludovick kajipange tena kijana shame on you.
Wewe Boya umevurugwa kweli kweli.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia.
Eti nae anajiita chadema! Ludo bana! We nawe ni zuzu kubwa la lumumba!Watafunguka tu boss wala usiwe na wasiwasi, huu mwaka wanalo
Huyu jini ludo ana matatizo sana mkuu..Mwigulu (bosi/mwajili wako ) anapanga kumtungua Dr wetu kwenye helicopta, halafu swahiba wa Mchange yule "aliyechanganyikiwa" unakuja hapa ukituonyesha kuwa una mahaba sana na Dr wetu na Mbowe? Hivi CCM nao inakuwaje wanakubali kuwatumia watu wenye IQ ndogo kama hawa? au ndo dalili za kuishiwa mbinu?