Yapi yaliyo msibu??
Watafunguka tu boss wala usiwe na wasiwasi, huu mwaka wanalo
Yapi yaliyo msibu??
Mohamedi Mtoi. Angalia alama za nyakati ndugu yangu. Madam umezungukwa na kina Masawe, Mangi, Mungi na kina John ima ukubaliane na matakwa yao au uitwe Msaliti kama Zitto.
LUDOVICK hivi wewe ni chama gani,CDM,ACT au CCM?Unauchungu gani na CHADEMA hasa baada ya kashfa zakukisaliti chama.Wengi watakuchukulia kama mchonganishi tu,umeshindwa kupeleka habari hizi panapohusika?
USHAURI:Kwa hatua uliyofikia Ludovick hutakiwi na huna hata hadhi ya kutoa ushauri kwa CDM iwe ni kwa nia njema au mbaya..ulishapoteza hiyo nafasi.Unachotakiwa kufanya nikukaa kimyaaa ili waliochagulia kuikomboa Tanzania wafanhivyo.Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.
Nimeshauri
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.

chama cha wachaga lakini katiba yake ime m-disqualify mchaga Beni Saanane
buku 7 hovyo
Mohamed Mtoi, anafahamika sana hapa lakini siyo wengi wanajua historia yake. Kufuatia hayo, yaliyomsibu kwa sababu ya CHADEMA, ni jambo la kuangalia kwa makini sana mintarafu usalama wa chama na viongozi wake.
Nashauri haraka na lazima,idara yetu ya ulinzi na usalama,na inteligensia, ihakikishe Mtoi hakutani na dokta Slaa na Mbowe akiwa peke yake.
Kwasababu ya uharaka na unyeti wa jambo hili,nategemea ujumbe huu utafsiriwe katika proper context, ndiyo maana nimeandika kwa jina langu.
Nimeshauri
nIMESHAONGEA NA Mohamedi Mtoi AMESEMA HAKURUPUKI KWENYE KUJIBU, ATAKUJIBU TU KWA KUTULIA HAPO UTAKAPOKUWA UMEWEKA USHAHIDI WAKO MAANA HII STORY IKO HEWANI HEWANI SANA
CHAMVIGA TULIA ANAKUJA MANI na zumbemkuu hebu njooni huku msikilize Mgosi anatetwa