mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,741
Zipo nyuzi zake zaidi ya kumi zilizojadili hiyo 1.5 trillion na mada ilifungwa nakushauri zitafute usome swala la bilioni 8 ndio mjadala wa leoWapi 1.5trillion?
In God we Trust
Zipo nyuzi zake zaidi ya kumi zilizojadili hiyo 1.5 trillion na mada ilifungwa nakushauri zitafute usome swala la bilioni 8 ndio mjadala wa leoWapi 1.5trillion?
In God we Trust
Wanaogopa labda atakatisha interviewHv mwenyekiti akiwa anafanya conference kwa nn waandishi wa habari huwa hawamuulizi hilo swali kuhusu matumizi ya ruzuku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe humu huwa tunabishana na wapuuzi ambao hata bajeti huwa hawasomi ila wanataka tu kukosoa. Unauliza bajeti za ndege hupitishwa na nani? Hivi unasomaga bajeti ya wizara ya miundombinu kweli wewe?Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi
2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?
3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
Mbona mzee unaenda nje ya mada au ujasoma vizuri mada?Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi
2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?
3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
Ukimsikiliza vizuri Peter Lijuakali amesema hiv akihojiwa na global online TV amesema Kuna michango ipo ndani ya katiba ila Kuna michango mengine wameambiwa wachangie Ni nje ya katiba ambayo ndo yeye na baadhi ya wabunge wa Chadema ndo wanaoihoji kuhusu matumizi yake na Wana haki hiyo kwasababu ipo nje ya kikatiba na lengo la kuhoji Ni baada hela zinazochangishwa kuona zinaisha haraka bila wao kuona matumizi yake yakojeMkuu nahisi unakitu fulani nami pia nilikuwa nahoji ili kujua ukweli wa alichohoji Lijualikali. Naomba tusaidiane sisi tunaopenda kujua ukweli bila kuegemea upande wowote, inawezekana wengine walikuwa na nia ya kujiunga na chadema wakakatishwa tamaa kama hakuna majibu ya kutosha.
1. Hayo maswali waliuliza/hoji wakiwa kwenye kikao gani?
2. Walihoji yeye na nani?
3. Je hoja iliungwa mkono na wajumbe wangapi?
4. Majibu yalikuwa ya namna gani, kaa kimya, hawatakiwi kuhoji, au zimishatumika?
5. Maamuzi ilikuondoka kwenye agenda hicho yalifikiwaje?
3. Lengo la kuhoji ilikuwa nini?
4. Baada ya kutopewa majibu yeye na wenzake walifanya nini? (Action taken)
5. Je, amewahi kuhoji mara ngapi issue hiyo hiyo ya kuambiwa pesa inawekwa kwenye fixed account .
Huyo kajaa ushabiki Sana kuliko kutoa hoja zenye mashiko hii ndio shida ya kutanguliza mapenzi ya chama badala ya akili.
Naongeza Lijuakali amekuwa mbunge na pia mwanachama wa muda mrefu wa chadema na nimuhuzuliaji wa vikao vya chadema sasa huyo adolay Ni Kama nani pale chadema awe na nguvu ya kubishana na mtu kama Peter Lijuakali?Naona wewe sijui ndio Mdee!
Lijuakali kahoji wabunge wa chadema hawajui michango yao zaidi ya bilion 8 imefanya nini?
Usijifiche kwenye kichaka cha CAG
onesheni fixed account iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pia wabunge wa viti maalumu ambao wanakatwa mil 1.5 pia Kuna michango mengine pia wabunge wanalipa kwa mujibu wa Silinde,selasini pamoja na Peter Lijuakali.500,000 kwa mbunge kila mwezi
500,000 x 71MPs x 12months x 5yrs =2.13Billion
Nauliza tu ni hiyo laki 5 tu mlikuwa mnakatwa kila mwezi au kuna michango zaidi ya hapo?
Nimesikia ilifikia 8 billion!
Sent using Jamii Forums mobile app
Upuuzi huwa haubiwi...Mnarukaruka tu kama digidigi......bilioni 8 ziko wapi?
Tulipouliza trilioni 1.5 alizolamba Kilambamchuzi mlileta majibu?Mnarukaruka tu kama digidigi......bilioni 8 ziko wapi?
Hoja ya msingi ipi?
Apunguze kulialia
Njaa mbaya
Ni mbinafsi period
Ndungu Yai atampa kazi shida iko wapi?!
Unahalalishaji, upigaji kisa Serikali ilipiga?Tulipouliza trilioni 1.5 alizolamba Kilambamchuzi mlileta majibu?
Sent using Jamii Forums mobile app