promethus
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 1,286
- 2,190
Sawa nakubliana na wewe hayo yote ni madudu ya hii serikali awamu ya 5.Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi
2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?
3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
CHADEMA walipaswa kuwa smart kwelikweli haya kila anayeondoka CHADEMA atoa tuhuma nzitonzito kuhusu matumizi mabaya ya fedha za chama.
Ni wakati sasa mwenyekiti/uongozi ujitokeze ujibu hizo tuhuma kama zina ukweli au uongo,kitendo cha kukaa kimya ni kuwaaminisha watu kuhusu hizo tuhuma anazorushiwa Mr Mbowe.
Hatachelewa bado ni wakati sasa wa mwenyekiti kujisafisha, huko CCM kuna madudu mengi sana lakini hiyo sio jusfication kwa vyama vingine kuiga undezi unaofanyika huko kwa mbogamboga
Sent using Jamii Forums mobile app