CHADEMA ijibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali

CHADEMA ijibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali

Ila hata kama huko Chadema kumeibuliwa hiyo kashfa ya upigaji na matumizi mabaya ya fedha za chama, hatuwezi kuisahau Ccm na Serilkali yake kirahisi kwa upigaji wa miaka mingi na matumizi mabaya zaidi ya fedha za wavuja jasho wa nchi hii.
Mbona report ya CAG haijaona huu upigaji au CAG yuko compromised?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kupitia kwa cag wa kilombero bwana harusi na mkwe wa supika
Ulifanya ukaguzi lini na kwa mamlaka ipi ukathibisha tuhuma/uzushi wa 8bil?
FB_IMG_1589878621052.jpeg


In God we Trust
 
Kwa sisi ambao hatuna itikadi ya hivi vyama au kuwa wapenzi wa vyama hivi Tanzania tungependa Chadema wajibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali kuliko kukwepa

Hawa Chadema nilitegemea waonyeshe demokrasia yao kwa matendo. Lakini kinachoonekana sasa ni yaleyale wanayoyalalamikia kwa ccm ndiyo nao wanayatenda.

Chadema inawapiga pambio wengi wanaoimba zidumu fikra za mwenyekiti. Hopless kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi ambao hatuna itikadi ya hivi vyama au kuwa wapenzi wa vyama hivi Tanzania tungependa Chadema wajibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali kuliko kukwepa

Hawa Chadema nilitegemea waonyeshe demokrasia yao kwa matendo. Lakini kinachoonekana sasa ni yaleyale wanayoyalalamikia kwa ccm ndiyo nao wanayatenda.

Chadema inawapiga pambio wengi wanaoimba zidumu fikra za mwenyekiti

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha umbeya wewe
Una ushahidi wowote kuthibitisha huu ushenzi?
 
Nafikiri hii ni time yakujitafakari kwa viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo... Maana hawa raia wanaoleft wanatoa hoja za msingi na wanapuuzwa na chadema kweli msipobadilika ipo siku mtajikuta mpo wa2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha umbeya wewe
Una ushahidi wowote kuthibitisha huu ushenzi?
Wabunge wamelalamika wamefukuzwa bila kusikilizwa. Na kuhusu ushahidi tafuta nwenyewe clip ya Lijuakali alipokuwa analia bungeni.

Lakini nasema hivi, ikiwa mnajaziba hivi hata mgambo tu hamna, itakuwaje siku mkiwa halali kuamrisha jeshi?

Jitafakarini, kunijibu kwa hasira siyo suluhisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa kabisaa msingi wa hoja

Nataka uniambie kisheria na kikatiba nani anamamlaka ya kukaguwa na kutoa majibu sahihi ya matumizi ya fedha za umma?

1. Lijuwalikali?
2. CAG ?

Ukinijibu jiandae na maswali yatakayofata
Naona umerukia kwingine tena. Mf Bungeni, wabunge wanapohoji matumizi ya fedha za walipa kodi, huwa wanasubiri reports za CAG?

Kwenye vikao vya chama, wabunge/wanachama kuhoji matumizi ya fedha zao mbali na ruzuku ya chama ni kosa kiasi wasubiri report ya CAG? Jaribu kufikiria kidogo hapa.

Nakumbuka report ya CAG 2017/2018 kwa Chadema ilionyesha upotevu wa fedha, karibu billions kadhaa (sina kumbukumbu vizuri). Unataka kunambia baada ya hiyo report, wao kama wabunge na wanachama wa Chadema hawakupaswa kuhoji huo upotevu wa pesa?.

Hitimisho langu:
Chadema kama chama kama kinashindwa kujiwajibisha chenyewe sababu ya udikiteta uliokithiri, basi watulie tu kuliko kutumia nguvu kubwa kumuona Lijuakali na wabunge wengine wa Chadema kuwa ni wabaya nk kwa kuonyesha madhaifu ya chama chao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Magufuli Baba Lao.

Bashite Baba Lao.

Mwakiembe Baba Lao.

Hapo DOMO Kakuchagulia Mpaka Chama, tehe tehe

daud MCHAMBUZI
 
Pengine hoja za wahasimu wa chama ndani ya Chadema zinapunguzwa nguvu (compromised) na makashifa hayo kutamkwa wakati wanabisha hodi katika mlango wa kuingia CCM. Mbele ya watu makini hoja hizi, japo zinaweza kuwa za kweli kwa kiasi fulani, zinakosa credibility kwa kuwa zinaonekana kama njia ya ku-soften gate keepers wa CCM wawafungulie milango. Ukweli ni kuwa hata Freeman Mbowe akiamua kuhamia CCM atasema aneno hayo hayo waliyoyasema akina Selesini, Komu, Lijuakali et la.
 
Back
Top Bottom