CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Kutetea majitu yasiyojitambua ni kazi sana!!acha tu yapigike hadi akili itakpokuwa sawa!!mala ngapi yanazulumiwa wanakuja viongozi wa upinzani/wanaharakati wanayafafanulia, hayaelewi anakuja yile anayewanyonya anawaambia achaneni na huyo anataka kuvuluga amani ya nchi yeye atakimbilia ulaya!!tayari yanamuamini.
 
Kama kutetewa mlisha tetewa sana lkn mkawaona si chochote si lolote Sasa ngoja dawa iwaingie kwanza! Sio muda wa kuwalaum Hawa CHADEMA waachen wapumzishe akili ili kujiandaa na mambo ya katiba! Ushauri CHADEMA kaeni kimya kwanza ili watanzania akili itukae vzr
 
Hao wanaojitambua mnawatetea kiaje sasa? Au watu wote hawajitambui?
Kila mmoja ajitambue,aelewe tatizo ni CCM na asimame kidete kuanzia alipo kujitetea.Akatae watu kama weye wenye agenda za kijinga kuitetea CCM.Weye na takataka wengine ni virusi hatari nchini Tanzania.Muombewe dua baya mfe kibudu.
 
Hata wao wanatambua juhudi kubwa Zinazofanywa na mh Rais wetu, wanatambua na wanaona namna fedha hizo zinavyotumika katika kusimamisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayogusa maisha ya watu, wanatambua kuwa Ni lazima nchi ijengwe na wananchi wenyewe na kwamba hata huko ulaya walipitia huku tuliko sisi

Tumuunge mkono mh Rais na tumsemee mh Rais kwa kazi kubwa anazozifanya
Weye nawe uwe muelewa.Unaulizwa hiki unajibu upompompo.Jikite kwenye tozo.Achaga ufwala!
 
Kila mmoja ajitambue,aelewe tatizo ni CCM na asimame kidete kuanzia alipo kujitetea.Akatae watu kama weye wenye agenda za kijinga kuitetea CCM.Weye na takataka wengine ni virusi hatari nchini Tanzania.Muombewe dua baya mfe kibudu.
Yani watu kama sisi tufe, halafu mbaki mazuzu kama wewe, siyo?
Tanzania itakuwa nchi ya ajabu sana duniani, haijapata kutokea tangu ulimwengu uwepo!
 
Ngoja niite wana JF wanitajie mapumbafu matano yaliyomo humu.Ukikosekana nahamia Nachingwea kuvuna korosho.
 
Nachingwea kule kwa akina mwamwejo hawawezi kupokea mtu kama wewe, ni afadhali ubaki tu huko uliko. Utuache na korosho zetu tutavuna wenyewe: mbegu tutauza, tunda tutatengenezea ulaka au nipa.
 
Na kuna mpango wote wa huko mfukuzwe nchini Tanzania.Mna sura kama vibaka.Sura mnachora katuni kama magazeti?😂😂😂
 
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Mlienda kuwapigia ccm kura Sasa mnataka CDM ndio tuwatetee mbna ninyi hakututea wakt magufuli anafuruga upinzani mli kah kimya na mliona waswas leo mnataka tuje kuwatetea kila mtu ajitetee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na kuna mpango wote wa huko mfukuzwe nchini Tanzania.Mna sura kama vibaka.Sura mnachora katuni kama magazeti?😂😂😂
Tuna hatimiliki ya utanzania: hafukuzwi mtu hapa, tutabanana hapa hapa.
Halafu huo mchezo wa kuangalia sura za midume mwenzio uache, utakuja kunaniliu bure
 
Mna hofu nikiwaangalia mtapata ujauzito?Subirini mfukuzwe nchini.Watu gani ninyi wafupi kama kalamu?
 
Mjini hapa bro, huo mchezo wa kuangalia midume usoni utakuja kubashiwa siku moja. Kama hunielewi basi we endelea.
Tatizo umejawa hofu.Mimi huwa siwaangalii ninyi.Naangalia mlivyo wafupi halafu mna misambwanda.Anyway,ntakuja kuongeza mke wa pili huko.
NB:Uhalisia wa id yako ulipaswa usomeke "UMKOTHO WE SIZWE" siyo hiyo takataka uliyoandika.
 
Unaangalia na misambwanda ya minjemba? Wewe lazima utakuwa mfuasi wa tundu a.
 
Back
Top Bottom