CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

CHADEMA ya Dr Slaa mazingira yaliruhusu, mikutano ilikuwepo na chadema ilikuwa bungeni. Lakini kwa Sasa mikutano imekatazwa miaka Saba Sasa, CHADEMA wataongelea wapi?. Bungeni hawapo wataongelea wapi?.

Unaposema CHADEMA ya Dr Slaa angalia na mazingira ya Sasa. Tangu uchaguzi wa 2015 serikali imeapia kutoruhusu chadema ifanye siasa.
Muelekeze amlilie Slaa awatetee.Tena yupo huko CCM.
 
Uko sahihi bwashee. Chadema ya kutetea wananchi ilikuwa enzi za Dr slaa, hii ya sasa ni genge la wahuni fulani wachumia tumbo na walamba asali tu.

Taja hao wahuni na wachumia Tumbo. Mchumia Tumbo anatangazwa hadharani na Rais kwamba Ni gaidi?. Tena mbele ya dunia.

Muitukane CHADEMA halafu CCM ikiboronga na tozo zake mnailaumu chadema eti walamba asali.

Anayewanyonga na tozo na mfumuko wa Bei mnamuona Bora kuliko CHADEMA, Kama sio unafiki ni Nini. Mmekalia kutafuta vimisemo vya uongo na kujifariji eti wanalamba asali. Na wewe kalambe asali Kama ni rahisi hivyo.
 
Huwa hawajitambui hao.Wapo tu kama vibwengo.Shida iletwe na CCM halafu kebehi zirushwe CHADEMA!Kama siyo ukichaa ni nini hicho?Wawaombe hata ACT iwasaidie.Tena ACT wanaunda na serikali ya nchi ya "Kibuluu"!😂😂😂😂
 
Wako Twitter na space huko 😁😁😁😁

Punguza dhihaka wewe mbona upo jamii forum?. Unajiona una haki ya kuwa jamii forum lakini wengine wakiwa Twitter na space unawadhiaki.

Kwa Sasa tupo kwenye mfumo wa chama kimoja. CCM imekamata mitaa na vijiji asilimia 95, CCM imekamata halmashauri na manispaa na majiji yote asilimia 99 na Bunge asilimia 98. CCM ndio inafanya maamuzi kwanini usiipigie kelele ifanye mabadiliko maana tozo imepitishwa na Bunge la CCM.

Mmeipa CCM mamlaka hata Kama ni kwa wizi, imeshindwa hata kupunguza Bei ya mafuta na kudhibiti mfumuko wa Bei, baadala muikosoe mnaogopa na kushambulia CHADEMA ambayo hata ruzuku haichukui na Ina mbunge mmoja tu wa mchongo.

Kama tunataka tuwe fair, tupaze sauti zetu Kama Wananchi kuwa tozo, mfumuko wa Bei na gharama za Maisha zipo juu serikali ya CCM ifanye mabadiliko ya kiuchumi ila kuleta siasa kwa kuingiza CHADEMA ambayo itaishia kufanya press conference kupinga serikali lakini maamuzi yapo serikalini.

Acha unafiki
 
Asipokuelewa atandikwe viboko akiwa uchi.
 
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
WENYE AKILI TULISHA SEMA SIKU NYINGI KUWA CHADEMA KIMEJIUA CHENYEWE KWA KUMPIGA VITA MZALENDO JPM NA KUCHUKIA UZALENDO, NI KAMA CCM KILIVYO KWA SASA CHINI YA SA100 LAZIMA KINAJIUA CHENYEWE DAY BY DAY SASA HIVI NGUVU YA CCM NI PESA ZA SERIKALI TU NA UCHAWA
 
Wakae kimya hivyohivyo,wakijaga kututetea,tunaonaga kama wamekosa kazi za kufanya,dawa ndiyo hiyohiyo,wakae kimya,wajipambanie wao na familia zao.Sisi acha tuone TOZO kama itawaathiri akina Mbowe,Lisu,JJ Mnyika na ndugu zao tu,huku sisi tukiachwa,au sisi ndiyo titaathirika sana.
Wapige kimya tu.... tujipambanie wenyewe na ikifika 2025,tuwape CCM kura nyingi..... wakaendelee kututetea mjengoni,kama wafanyavyo sasa.
Mbona wakati wa JPM awakukaa kimya ...unajua kwanini ? Chadema ni vibaraka wa mafisadi wa nje na ndani ya nchi wala siyo watetezi wa haki ndiyo maana kwa sasa wamenyamaza tofauti na kipindi cha JPM kwa sababu tayari mafisadi wa ndani na nje ya nchi wameshika uongozi na hapo sasa ndipo chadema imejimaliza kabisa yenyewe .
Ukweli ni kwamba chadema ni genge la wahuni tu hakuna chama pale msipoteze muda wenu bure ...mbinu ya sisi wananchi kupambana na wahuni wa ccm na chadema ni kuwa na msimamo wa kuwa kataaa katika kila jambo la uchawa na upumbavu kama sensa nk
 
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Tohara Kwa kina Mama
 
Huyu Johnthebaptist nahisi ana tatizo la kiakili,au ndizo hasara za utapia mlo.
Pengine ni darasa la 4.
 
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Chadema ni saccos ya mboweTu
 
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Bro yaani mambo tuharibu CCM, halafu sisi CCM tuwalaumu CHADEMA kwa kukaa kimya. Kweli CCM tumevimbiwa. Hii arrogance kuna siku itaisha tu.
 
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Jo wewe unafikiri wanakutetea kwenye yapi?
 
Mmejawa na upumbavu sana, CCM ndiyo mnayoipenda lakini inapoonyesha makucha yake mnaililia Chadema. Huyo Dr Slaa hayo ya waraka angetenda enzi za JK lakini sio huu uzao wa mnayoita awamu ya tano.
Awamu ya tano mwenyekiti wenu hata angeamuwa kuwalawiti mngemsifia na kusema mitano tena huku kwa uficho mnataka Lissu au Mbowe awasemee.
Mna laana nyie!
Hapo Ufipa st mnalawitiwa na Mwamba?
 
Punguza dhihaka wewe mbona upo jamii forum?. Unajiona una haki ya kuwa jamii forum lakini wengine wakiwa Twitter na space unawadhiaki.

Kwa Sasa tupo kwenye mfumo wa chama kimoja. CCM imekamata mitaa na vijiji asilimia 95, CCM imekamata halmashauri na manispaa na majiji yote asilimia 99 na Bunge asilimia 98. CCM ndio inafanya maamuzi kwanini usiipigie kelele ifanye mabadiliko maana tozo imepitishwa na Bunge la CCM.

Mmeipa CCM mamlaka hata Kama ni kwa wizi, imeshindwa hata kupunguza Bei ya mafuta na kudhibiti mfumuko wa Bei, baadala muikosoe mnaogopa na kushambulia CHADEMA ambayo hata ruzuku haichukui na Ina mbunge mmoja tu wa mchongo.

Kama tunataka tuwe fair, tupaze sauti zetu Kama Wananchi kuwa tozo, mfumuko wa Bei na gharama za Maisha zipo juu serikali ya CCM ifanye mabadiliko ya kiuchumi ila kuleta siasa kwa kuingiza CHADEMA ambayo itaishia kufanya press conference kupinga serikali lakini maamuzi yapo serikalini.

Acha unafiki
Endeleeni na siasa za Twitter 😆😆
 
Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa

Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani?

Mungu ni mwema wakati wote!
Tozoooo CCM hoyeeeeee
 
Back
Top Bottom