Mbona wakati wa JPM awakukaa kimya ...unajua kwanini ? Chadema ni vibaraka wa mafisadi wa nje na ndani ya nchi wala siyo watetezi wa haki ndiyo maana kwa sasa wamenyamaza tofauti na kipindi cha JPM kwa sababu tayari mafisadi wa ndani na nje ya nchi wameshika uongozi na hapo sasa ndipo chadema imejimaliza kabisa yenyewe .
Ukweli ni kwamba chadema ni genge la wahuni tu hakuna chama pale msipoteze muda wenu bure ...mbinu ya sisi wananchi kupambana na wahuni wa ccm na chadema ni kuwa na msimamo wa kuwa kataaa katika kila jambo la uchawa na upumbavu kama sensa nk