johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,142
Liwe fundisho kwa wapumbafu wengine kabisa, hatuna tume huru lakini bado unang'an'ganiaCCM Kwenye uchaguzi wanakuwa wanyama kabisa, hawa jamaa hawana urafiki Kwenye chakula
Mbona hiyo ni mpango ws cdm kuwaharibia ccm kwsni hsijulikani subiri matokeo yakeCCM Kwenye uchaguzi wanakuwa wanyama kabisa,hawa jamaa hawana urafiki Kwenye chakula
Alisema anamjaribu mama bila shaka amepata majibu ya majaribio yake.
Mkuu mbona unatumia takwimu za kale kujenga hoja za kisasa?Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi...
Ameipata CCM vizuriZitto ni sawa na kifo cha kenge mpaka damu itoke masikioni
Nani anataka kukosa mgao wa ghorofa jipya, gari na pension nono!CCM Kwenye uchaguzi wanakuwa wanyama kabisa,hawa jamaa hawana urafiki Kwenye chakula
Mkuu mleta mada ni thimba hivyo kutumia takwimu za jana atakufa kwa preshaMkuu mbona unatumia takwimu za kale kujenga hoja za kisasa?
"Simba 5 Mufulira Wonders 0"
Wakati unajua kwa dhati kabisa takwimu mpya na za kisasa zipo?
"Kaizer Chiefs 4 Simba 0"
Kazi yako nzuri inaweza kupata hati chafu kwa dhana na mashaka ya "plagiarism" kama ile "thesis" ya bwana yule.
Hata mechi ya kwanza jijini Lusaka ilikuwa Mufulira Wonders 4 Simba 0!Mkuu mbona unatumia takwimu za kale kujenga hoja za kisasa?
"Simba 5 Mufulira Wonders 0"
Wakati unajua kwa dhati kabisa takwimu mpya na za kisasa zipo?
"Kaizer Chiefs 4 Simba 0"
Kazi yako nzuri inaweza kupata hati chafu kwa dhana na mashaka ya "plagiarism" kama ile "thesis" ya bwana yule.
Povu litamtoka muda sio mrefuAmeipata CCM vizuri