CHADEMA hongereni kwa kuweka mpira kwapani mdogo wenu Zitto Kabwe analialia huko Muhambwe!

Zitto ni kijana mbinafsi sana, umimi utammaliza, kwanini asiungane na wapinzani wenzake wenye mwelekeo?
Labda alidhani kutakuwa na huruma kutoka kwa Mama. CCM walishazoea kunyonga. Old (bad) habits die hard...
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mbowe alisema Chadema haitashiriki uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi.

Zitto Kabwe akasema kwa sababu hii ni awamu ya 6 hawana shaka yoyote na tume ya uchaguzi

Leo wakati wananchi wanapiga kura kwa utulivu na amani Zitto Kabwe anaturejesha kwenye tamthilia ya Halima Mdee.

Simba 5 Mufulira Wonders 0

Kazi Iendelee!
Chadema wana Akili nyingi hawawezi kushiriki Chaguzi za Kihuni zinazofanywa na Chama chenye Miaka 60
 
Back
Top Bottom