CHADEMA hawana mkakati, endeleeni na shughuli zenu

It is time now for Chadema to come out and give their evidence about the rigged election of 2010.
For many days now since that promise was made, days are passing and we are witnessing the changing of the goal posts, Instead of Giving the evidence as they have formerly promised they are now talking about, the Constitution Change and the free and fair NEC, I want to say that those Issues are important, but we want them to fullfil their promise on the election rig evidence.

The evidence which CHADEMA should give is vital for Strengthening their party and earning more public trust, People are not forgetful about that promise, and they want to see that CHADEMA really means bussines or they are the sore losers who want to distabilise and incapacitate the current government inorder to cement their political gains.

So I would like to call on the Chadema Leadership, You either give the evidence about the rigged election of 2010, or you keep Quite on the Issue, and humbly apologise to the President of the United Republic of Tanzania for walking out of his speech without the Concrete reasons of doing so incase you dont have any evidence whatsoever.

Patience is running out, and I want to tell CHADEMA leadership that nobody is going to go to street and Commit crime for giving out the evidence as soon as possible.

nec and zec must come first to justify lipumba got >60% of votes in zanzibar than <50% by maalim seif?

yaani maalim seif hapendwi zanzibar? anapendwa lipumba?

eti bwana malaria sugu aka Dar Es Salaam?
 
Dar-Es-Salaam,
Nadhani position ya Chadema iliwekwa wazi toka mwanzo na hatujayumba katika hilo. Tumeeleza ubovu wa Katiba. Jana kwenye mdahalo position yetu iliwekwa wazi pia. Kama kuna swali specific na liko kwenye eneo ambalo kwa sasa linaweza kujibika niko tayari kulijibu. Taifa ni letu, nchi ni yetu, na wote tunajukumu la kuisaidia nchi yetu kusonga mbele. Swala la mgomo nadhani litajibiwa kwa kadiri matukio yatakavyokuwa na mchakato unaoendelea unavyopiga hatua. We dont have to put a cart before the horse. Lets move slowly but cautiously, tuna deal na jambo linalohusu maisha ya binadamu na halihitaji masihara wala papara.

daktari wa ukweli eti ni kweli mnamtambua rais dokta wa uwongo JK?
 
daktari wa ukweli slaa tumechoka kudanganywa. toeni ushahidi wa kuibiwa na nakubaliana na mwandishi muda unaisha na uvumilivu unakwisha.

kama hamna ushahidi tubuni mapema na acheni kutudanganya. mmemsusia rais kwamba kaiba toeni ushahidi wenu
Nathani Chadema wametoa dondoo za geita na Ubongo what more can they do... haya mambo yanahitaji strategy... na yanahitaji kutoka at a perfect time... kwahiyo unataka aanze kutoa point humu jamvini for what... tume wameshapelekewa report Please use the grey matter between your ears
 
Nakuunga hapo mkuu, you are truly and very firm on issues.
Naomba niende nje kidogo ya mada, kwako dr. SLAA: Nawaombeni mtazame kwa mapana juu ya kushirikisha hivi vyama vilivyopo bungeni muwe kitu kimoja kwa manufaa ya watanzania NO MATTER IN WHICH POLITICAL PARTY RECOGNISES JK. Nikirejea maelezo ya HR jana, alisema katika zile idara za uongozi (kambi ya upinzani bunge lililopita) yeye akiwa ndio leader...alitoa nafasi muhimu zote kwa other opponents ukiwamo wewe, Zitto na wengine ambapo chama kilichokuwa kikiongoza hakikuchukua nafasi yoyote katika kuweka na kuleta uwiamo/ushirikiano wa kambi ya upinzani bungeni. Naimani huu ni mfano mzuri wa wa mshikamamo, JE HAMUONI HII NI POLITICAL ISOLATION na inawagusa moja kwa moja wananchi kwa kutoona ushirikiano wenu bungeni?
Nawaombeni mtujenge ki-umoja, ninyi tunawaangalieni kwa macho yote, shirikianeni na hata kama kuna kutoelewana basi yawe ni internal issues na zisivuje bali jamii ielewe kuwa mna umoja jamani...mtatusumbua kuamua sisi wananchi in future.
 
nec and zec must come first to justify lipumba got >60% of votes in zanzibar than <50% by maalim seif?

yaani maalim seif hapendwi zanzibar? anapendwa lipumba?

eti bwana malaria sugu aka Dar Es Salaam?

huu ni uwongo mkubwa sana. profesa hakupata aslimia 60 zanzibar kuna thread wameweka na matokeo. kama jk aliongoza kule zanzibar alipata asilimia ngapi kama profesa alipata 60?

toeni vimaneno vya vijueni na wekeni ushahidi
 
Dar-Es-Salaam,
Nadhani position ya Chadema iliwekwa wazi toka mwanzo na hatujayumba katika hilo. Tumeeleza ubovu wa Katiba. Jana kwenye mdahalo position yetu iliwekwa wazi pia. Kama kuna swali specific na liko kwenye eneo ambalo kwa sasa linaweza kujibika niko tayari kulijibu. Taifa ni letu, nchi ni yetu, na wote tunajukumu la kuisaidia nchi yetu kusonga mbele. Swala la mgomo nadhani litajibiwa kwa kadiri matukio yatakavyokuwa na mchakato unaoendelea unavyopiga hatua. We dont have to put a cart before the horse. Lets move slowly but cautiously, tuna deal na jambo linalohusu maisha ya binadamu na halihitaji masihara wala papara.

Dr.Slaa.

Achana na huyo jini.

Anaitwa Malaria Sugu. Kabadili ID tu. Hana akili.

Tumia computer yako vizuri Doctor. Achana na chizi.

Huyo tutamalizana naye sisi.
 
Dr. Slaa

Nakuomba jipambanue na akina Dar es salaam kwa kutowajibu kwa sababu wana agenda zao. Mimi sipendi wanapolenga kuingiza maisha ya mtu binafsi kwenye masuala muhimu, ni kama wanafanya utani.

Hapa Jamvini tunalipia fursa za uhuru wa maoni kwa kuchangiwa wa wenye fikira mufilisi ambao hawapo kwa bahati mbaya. Dawa ni kutochangia hoja zao duni.
 
huu ni uwongo mkubwa sana. profesa hakupata aslimia 60 zanzibar kuna thread wameweka na matokeo. kama jk aliongoza kule zanzibar alipata asilimia ngapi kama profesa alipata 60?

toeni vimaneno vya vijueni na wekeni ushahidi

kwa hiyo wewe ni zec? au nec?

mbona nec hawajaweka matikeo kwenye website.

wametupa matokeo ya rashid shamte tu.

hahaha!

munateseka. hamlali. hamli mkashiba. hamuishi kushikwa na matumbo ya kuharisha. kwa sababu tanzania hatimaye imepata chama cha upinzani makini. munabaki kupiga magitaa tu.

kwani munafikiri watu walikwenda shule kufanya nini? si kupata maarifa. sasa maarifa wamepata. wanajua pumba na mchele.

hatudanganyiki.

Dr. shililia uzi.

mbona jk hasafiri?
 
It is time now for Chadema to come out and give their evidence about the rigged election of 2010.
For many days now since that promise was made, days are passing and we are witnessing the changing of the goal posts, Instead of Giving the evidence as they have formerly promised they are now talking about, the Constitution Change and the free and fair NEC, I want to say that those Issues are important, but we want them to fullfil their promise on the election rig evidence.

The evidence which CHADEMA should give is vital for Strengthening their party and earning more public trust, People are not forgetful about that promise, and they want to see that CHADEMA really means bussines or they are the sore losers who want to distabilise and incapacitate the current government inorder to cement their political gains.

So I would like to call on the Chadema Leadership, You either give the evidence about the rigged election of 2010, or you keep Quite on the Issue, and humbly apologise to the President of the United Republic of Tanzania for walking out of his speech without the Concrete reasons of doing so incase you dont have any evidence whatsoever.

Patience is running out, and I want to tell CHADEMA leadership that nobody is going to go to street and Commit crime for giving out the evidence as soon as possible.

I hope you say this having in mind what the law says and what Chadema has so far presented to NEC. There are procedures of doing it and not just showing it to people at a public rally. After all, who will know what is given is true or false?
 
Gamba la nyoka

Inaonekana kabisa wewe sio creative kabisa na hii nitabia ya vibaraka hufanya kadri walivyo tumwa! hii thread yako umkopi thread zilizopita ambazo ziliandikwa kwa kiswahili wewe ume geuza na kuandika kwa kingereza cha shule ya kata.Propaganda za run out of patience inalenga nini?
hawa watu ambao uvumilivu unawaishia yaani kikwete na shemeji yake mwema wanataka kufanya nini? maana hawa nimabigwa wa kupromote udini na uvunjivu wa amani hapa nchini vitu ambavyo havipo....

Unatishia hamtatoka mitaani kwenda barabarani ilogical thinking ...nani ana plan yakuingia barabarani, barabarani kufanya nini? sasa kamwambie huyo mwema kama alivyo tumwa nashemeji yake kuwa hali ya utulivu na usalama imepotea nchini azuie mikutano ya vyama vya siasa aendelee kutusubiri barabarani......

Unazungumzia evidence,bila kuelewa una zungumzia nini unataka tu waonyeshe evidence then? hata hujui niwakati gani evidence zinatakiwa na wala hujui tatizo la nchi yako ni nini wakati mwingine watu wajinga kama nyie mnadhani tatizo la nchi hii ni CDM na Dr. Slaa maana hamelewi kinacho endelea mkisha pewa vibia na vitisheti na vikofia basi maisha yenu yako sawasawa.sikunyingine ukitumwa utumie akili yako na ya mbayu wayu wa mkwere.
 
Dar-Es-Salaam ,
Thanks ni imani yangu kuwa siku ya kesi utatokea kama shahidi namba moja, ndio ngoma itakuwa tamu, Eh! Kwanza sijui kama unajua kesi iliko, naona umejaa ushabiki zaidi. Itakapoisha usivyotegemea naamini siku hiyo pia utakuwa na ujasiri wa kutokea hadharani! Kila la heri mkaiandae kesi vizuri.
 
Gamba la Nyoka,
i) Kwanza ni vema tukajua "Patience "ya Nani ina "Run out"? Na unamwakilisha Nani. Sisi tunaowasiliana na Watanzania wa kila kona ya nchi hawajachoka na wanaimani na hatua tunazochukua. Wewe umewasiliana na nani au ni mawazo yako?
ii) Je unafahamu mchakato unaoendelea sasa? Kama haujui unahaki gani kusema ..keep quite or apologize? "Rais" kakutuma, na kama kakutuma ni vema utueleze hivyo na hapo tutajua kuwa hata patience inayo run out ni ya "Rais" au ni ya kwako au ni ya watanzania wepi? Na kama hujui mchakato unaoendelea ni nani wa ku "keep quite" wewe usiyejua kitu au Chadema wanojua wanachodai na wanajua wanachofanya? Uchochezi huwa unaanza katika madogo kama haya ndio maana nimeona ni vema nikaweka hizi point hapa jamvini ili wapenziwetu pia wajue kama tunajua kinachojadiliwa na wenye nia njema na wasio na nia njema.
iii) Kama ni ushahidi tuliisha kuuweka hadharani, tena kwa barua kwa Tume. Sasa unataka tukuandikie au tumwandikie mtu mmoja mmoja. Tume ilikiri imekosea kwa case ya Geita na kunyamazia matokeo ya maeneo mengine. Unataka ushahidi gani zaidi ya huo? Au neno Evidence kwako ina maana tofauti? Tumesema kuna Uchakachuaji Mkubwa, unataka kila kitu kimwagwe mahali pasipo penyewe na kwa wakati usio wenyewe?
iv) Watanzania tunaozungumza, wanaotupigia simu, sms, emails wote wako patient kwa kuwa hakuna mtanzania anayetaka damu imwagike, na ndiyo dhamira ya Watanzania. Unaposema hakuna atakayetoka mitaani unajizungumzia wewe au unamzungumzia nani na kwa mandate ipi? Kila siku tunawatuliza Wananchi na wako tayari kutusikiliza ndio maana hakuna watu barabarani. Ukichezea moshi unajua kinachoweza kutokea.

Kwa majibu haya inaonyesha jinsi gani kunatofauti ya akili na busra kati ya mtoa maada na aliye ijibu. Ukiwa una akili ndogo kila siku mwenye akili zaidi yako atakuwa anakutesa na kukufanya udharaulike mbele ya jamii. Kuna mtu mmoja alishahawi kuniambia kuwa kukaa kimya nayo ni busra.
 
Dr.Slaa.

Achana na huyo jini.

Anaitwa Malaria Sugu. Kabadili ID tu. Hana akili.

Tumia computer yako vizuri Doctor. Achana na chizi.

Huyo tutamalizana naye sisi.

huyu ni mmja kati ya wale waliolewa vidonge vya siasa chafu za TZ & Afrika @large
 
Mimibaba,
Thanks Babangu. Lakini mimi napenda hata wale wanaopotoka tuwarudishe kwenye line. Kupotoka ni hulka tu ya binadamu na wanaweza kubadilika. Kumbuka nilifunzwa kama Padre kama walivyosema, na kazi ya Padre si kutafuta tu watakatifu, ni pamoja na kuwaokoa waliopotea na wenye dhambi. Tuwe wavumilivu tutafika tu, ila wanawapotezea wenzao walio serious muda na resources. Kimsingi wanachofanya ni ufisadi, lakini tunahitaji kuwabadili kama watabadilika, wakishindikana watajijua wenyewe. Hivyo ninapojibu hapa Jamvini ni kwa sababu tu ninapenda kuwathamini wote na kuthamini mawazo yao kwa vile nao ni binadamu na wana vionjo na maonjo yao. Jambo muhimu ni kuwajua na kujaribu kufahamu malengo yao, uharibifu wanaotaka kufanya na namna ya kujaribu angalau damage yao isiwafikie walio wasio na hila bali huchangia kwa lengo tu la kutaka kupata ufumbuzi wa jambo au kwa lengo la Ukombozi wa Taifa letu kama tulivyosema siku zote.
 
Dar-Es-Salaam,
Nadhani position ya Chadema iliwekwa wazi toka mwanzo na hatujayumba katika hilo. Tumeeleza ubovu wa Katiba. Jana kwenye mdahalo position yetu iliwekwa wazi pia. Kama kuna swali specific na liko kwenye eneo ambalo kwa sasa linaweza kujibika niko tayari kulijibu. Taifa ni letu, nchi ni yetu, na wote tunajukumu la kuisaidia nchi yetu kusonga mbele. Swala la mgomo nadhani litajibiwa kwa kadiri matukio yatakavyokuwa na mchakato unaoendelea unavyopiga hatua. We dont have to put a cart before the horse. Lets move slowly but cautiously, tuna deal na jambo linalohusu maisha ya binadamu na halihitaji masihara wala papara.

Position hiyo ikoje maana ipo ktk dilema, mbona bosi wako mkuu ktk chama anajikanganyaka, tuelewe vipi kuwa hamtambui matokeo ila raisi mnamtambua au hamtambui matokeo na raisi kwa pamoja na matokeo. 2- je serikali ya mkwele nayo hamuitambui ila mnashirikiana nayo maana kateua waziri mkuu mmeshiriki kupiga kura sasa kama hammtambui mnashiriki vipi ktk mambo aliyotia mkono wake, 3- Bunge haliwezi kwenda bila kuwepo upande wa serikali bungeni, nyinyi hamutambui mkuu wa serikali je bungeni mtaingia kufanya nini cozi mkishiriki bunge tayari mmeitambua serikari, au mmeamua kuratify makosa. hebu tudadavulie hapo docta tujuwe tunakwenda vipi
 
Ferds

Hivi kweli ummeshindwa kabisa kuelewa msimamo wa CDM mpaka sasa? .........hivi kweli nchi hii vilaza ni wengi .....
 
kwa hiyo wewe ni zec? au nec?

mbona nec hawajaweka matikeo kwenye website.

wametupa matokeo ya rashid shamte tu.

hahaha!

munateseka. hamlali. hamli mkashiba. hamuishi kushikwa na matumbo ya kuharisha. kwa sababu tanzania hatimaye imepata chama cha upinzani makini. munabaki kupiga magitaa tu.

kwani munafikiri watu walikwenda shule kufanya nini? si kupata maarifa. sasa maarifa wamepata. wanajua pumba na mchele.

hatudanganyiki.

Dr. shililia uzi.

mbona jk hasafiri?

libaba lizima unakuja kutudanganya jamvini. mwulize huyo daktari wa ukweli kama nani aliongoza zanzibar.

tatizo lenu hamna ushahidi na mnatumia ushahidi wa kuchakachua ambao mnautengeneza hapa jamvini kuwa ndio ushahidi wenu.

huoni sasa bila hata aibu unasema profesa alipata asilimia 60 zanzibar. hii ni kama yale matokeo ya turnout 65% ambayo mlitaka kuonyesha ni ushahidi wa kuchakachua.

huyo daktari wa ukweli kafulia, alisema ana ushahidi kumbe hana hata mwenyekiti wake anamruka kwa kusema anamtambua rais

daktari wa ukweli ana busara zake na wananchi tunamheshimu ila bora atubu kwamba alitudanganya hana evidensi
 
Ferds

Hivi kweli ummeshindwa kabisa kuelewa msimamo wa CDM mpaka sasa? .........hivi kweli nchi hii vilaza ni wengi .....

mmoja wa vilaza ni wewe ulielewa no! elewa ambacho hujakielewa na kiuhalisia hukijui.................. bisha sasa
 
Back
Top Bottom