Mtaka Haki
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 492
- 149
Chadema ni watu makini na lazima ujue kuwa kimya kingi kina mshindo mkubwa
Mimi kama mwananchi nawaunga mkono and my patience will never run out infact ilisha run out kwa same old stories za chama tawalaiv) Watanzania tunaozungumza, wanaotupigia simu, sms, emails wote wako patient kwa kuwa hakuna mtanzania anayetaka damu imwagike, na ndiyo dhamira ya Watanzania. Unaposema hakuna atakayetoka mitaani unajizungumzia wewe au unamzungumzia nani na kwa mandate ipi? Kila siku tunawatuliza Wananchi na wako tayari kutusikiliza ndio maana hakuna watu barabarani. Ukichezea moshi unajua kinachoweza kutokea.
Gamba la Nyoka,
i) Kwanza ni vema tukajua "Patience "ya Nani ina "Run out"? Na unamwakilisha Nani. Sisi tunaowasiliana na Watanzania wa kila kona ya nchi hawajachoka na wanaimani na hatua tunazochukua. Wewe umewasiliana na nani au ni mawazo yako?
ii) Je unafahamu mchakato unaoendelea sasa? Kama haujui unahaki gani kusema ..keep quite or apologize? "Rais" kakutuma, na kama kakutuma ni vema utueleze hivyo na hapo tutajua kuwa hata patience inayo run out ni ya "Rais" au ni ya kwako au ni ya watanzania wepi? Na kama hujui mchakato unaoendelea ni nani wa ku "keep quite" wewe usiyejua kitu au Chadema wanojua wanachodai na wanajua wanachofanya? Uchochezi huwa unaanza katika madogo kama haya ndio maana nimeona ni vema nikaweka hizi point hapa jamvini ili wapenziwetu pia wajue kama tunajua kinachojadiliwa na wenye nia njema na wasio na nia njema.
iii) Kama ni ushahidi tuliisha kuuweka hadharani, tena kwa barua kwa Tume. Sasa unataka tukuandikie au tumwandikie mtu mmoja mmoja. Tume ilikiri imekosea kwa case ya Geita na kunyamazia matokeo ya maeneo mengine. Unataka ushahidi gani zaidi ya huo? Au neno Evidence kwako ina maana tofauti? Tumesema kuna Uchakachuaji Mkubwa, unataka kila kitu kimwagwe mahali pasipo penyewe na kwa wakati usio wenyewe?
iv) Watanzania tunaozungumza, wanaotupigia simu, sms, emails wote wako patient kwa kuwa hakuna mtanzania anayetaka damu imwagike, na ndiyo dhamira ya Watanzania. Unaposema hakuna atakayetoka mitaani unajizungumzia wewe au unamzungumzia nani na kwa mandate ipi? Kila siku tunawatuliza Wananchi na wako tayari kutusikiliza ndio maana hakuna watu barabarani. Ukichezea moshi unajua kinachoweza kutokea.

Any fool can criticize, condemn and complain and most fools do.Usitake kudanganya watu, sema kweli, unangoja kesi ya kupora mke wa mtu iishe kwanza au sio?
Usitake kudanganya watu, sema kweli, unangoja kesi ya kupora mke wa mtu iishe kwanza au sio?
Mkuu, umenena. Nakuunga mkono, kama ni wa kweli watafanya hivyo na kama ni wababaishaji wataanza kupinduwapinduwa maneno kama alivyofanya jana Pro DJ.