domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,760
Kama den la taifa tu mbona hata watoto wenu wanadaiwa huko helsb?
Ahha kumbe unayafahamu mambo yake vizuri eenh? haya sema form four alimalizia wapi tuendelee na mengine
Kama den la taifa tu mbona hata watoto wenu wanadaiwa huko helsb?
CHADEMA kwa sasa wamepoteana.
Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.
Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.
Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa
Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.
Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.
Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.
Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.
Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa
Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.
Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu
Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.
Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.
Tukutane 2020
mnakera sana kukuta mtanzania kama wwe unashindwa kutumia logic ndogo tu kuwa wapinzani wanafanya kazi kwa kubanwa sana tofauti na tawala zilizopita. narudia tena mruhusu mikutano ya kisiasa ndio tupime kama chadema imekufa ama la
Sio chadema,cha bukoba mmechukua(mchango wa maafa),cha erick shigongo mmechukua pia
WEWE NA YEYE HAMNA TOFAUTI ........... KAZI YENU NI MOJA KUSAMBAZA UDAKU MAJUNGU SASA WEWE UNASHANGAAJE MWENZIO KULIPWA ..........? WACHA ROHO MBAYA WEWE MAMA
KISHA NYIE NDO MNAFANYA WATANZANIA miaka 54 na ushei bado tunahangaishwa na umasikini kwasababu ya uhuni wenu kwahiyo wacha shigongo na mashabiki wote wa ccm wapate adhabu kama hizi ili kwa njia zilezile mnasotemia kuwalaghai wananji mzitumie vizuri ili watanzania wajue ccm ni chama cha aina gani.. huyu shiigongo akae sasa awaelimishe wananji ubaya wa ccm..........
Ila Raisi kabla hajaanza kaz si aliwaita wafanyabiashara akawauliza kama kuna m2 kanichangia kampeni ananidai ajitokeze jaman maana sitakuwa na huruma na m2 so Erick ulikuwa nje wakati anatangaza ama?
sasa kma tusubiri hadi 2020 muache kejeli sasa kuwa chama kimekufa maana kwa ushahidi wa statistics chadema inakuwa kila uchaguzi. basi na nyie mkae kimya muache kusema tumefilisika wakati mshasema siasa ni 2020 this is so annoying and provoking. yaani unamwambia mayweather apigane na wwe ila awe amevaa minyororo then bado unamkejeli eti mayweather hana nguvu.... kwa kweli inaudhi sana. yaani mmehalalisha kabisa vyama vya siasa kupigwa lock up hadi 2020 as if katiba inasema hivyo sasa si muende bungeni mlete mswada wa kufuta vyama vingi nashauri mbane matumizi mfute ruzuku za vyama vya siasa hadi 2020Subiri mshike dola, huu muda waache walopewa ridhaa wafanye yao. Ulikisikia walichoambiwa wafuasi wa Hilary Clinton waliokuwa wamejikusanya kwenye camp ya Clinton baada ya kufahamu wanaelekea kushindwa? Jifunze kitu pale. Mtambuen kwanza JPM kuwa ni rais wa nchi kisha nendeni mkamuombe baba yenu yule.
sasa kma tusubiri hadi 2020 muache kejeli sasa kuwa chama kimekufa maana kwa ushahidi wa statistics chadema inakuwa kila uchaguzi. basi na nyie mkae kimya muache kusema tumefilisika wakati mshasema siasa ni 2020 this is so annoying and provoking. yaani unamwambia mayweather apigane na wwe ila awe amevaa minyororo then bado unamkejeli eti mayweather hana nguvu.... kwa kweli inaudhi sana. yaani mmehalalisha kabisa vyama vya siasa kupigwa lock up hadi 2020 as if katiba inasema hivyo sasa si muende bungeni mlete mswada wa kufuta vyama vingi nashauri mbane matumizi mfute ruzuku za vyama vya siasa hadi 2020
maana sasa havina kazi.
next time jifunze ku argue kwa hoja sio mipasho haisaidii kuondoa ukweli kuwa katiba mnaiburuza sasa bila shughuli za kisiasa vyama vinapataje wafuasi na vinauzaje sera zao kwa wananchi. alafu pia unaposema tumeshindwa unatumia muktadha upi zile kura ambazo dunia nzima inajua mlichakachua mkaona haitoshi zenji mkafuta kabisa the mnajisifu mmeshinda sasa kama mnajiamini mmeshinda kwanni hamjiamini sasa mkaacha tufanye siasa zetu bila bugudha?? kwa kweli watu kama nyie mnasikitish sana mnaturudisha nyuma enzi za chama kimoja ambapo fikra za mtu mmoja ndio zinatawala na sio mawazo mbadala.Huu wakati wa kazi baba, hatuwezi kuwa taifa la kufanya siasa, siasa zina mwisho wake. Nafahamu kushindwa kunauma lakini waungwana wenye kujua demokrasia wanamuacha aliyechaguliwa afanye yale aliyoahidi. Sasa nyinyi mnadanganywa weee kama vile hamjui kusoma. Wapi kwenye katiba kunapo wapa mamlaka ya kufanya kampeni kila siku? Wamejipanga, awamu hii mtaisoma na bado. Vilaza wote wanaojifanya wasomi, wadaiwa kodi, wadaiwa mabenki, kamata tia fimbo. Dawa inaingia taratibu lazima muisome. eti ushindwe halafu uongee na wananchi, ungekuwa mjanja ungewaambia wakuchague, narabuku!
Unafikiri kesi inafunguliwa kama unafungua mlango wa chooni?rambi rambi wamekula viongozi wako.watu wa kagera wanakufa njaa.rambi rambi.mmezikalia.Mbona hafungui kes ya madai///na rambi rambi nan alikula???
Hihii,kwan mm mmoja wao mkuuHahaha kawapiga.... Usijitoe kundini
Tunampigia wote uwe Chama chakavu ama ufipani.....Hihii,kwan mm mmoja wao mkuu
Kiumweli Lizaboni sijaelewa. Chadema kwa sasa inaweza kuja na sera gani maana sera zile na ajenda zile muhimu zote Magufuli ndio anazisimamia na kwa nguvu zote. Hatari ninayoiona ni kwa vyama hivi sasa kuyumba na hata kufa. naomba ushauri wa kizalendo kabisa kabisa. Mparaganyiko unaousema ni kweli bila kuficha. Ni heri Dr Slaa angekuwepo kusukuma gurudumu hili. Sasa hivi baada ya kuwapokea na kuwasafisha wale watuhumiwa wa ufisadi, tulilazimishwa kuua zile ajenda na kuambiwa Shut-up!CHADEMA kwa sasa wamepoteana.
Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.
Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.
Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa
Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.
Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.
Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.
Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.
Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa
Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.
Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu
Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.
Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.
Tukutane 2020
Kwahiyo unachukua uamzi gani???Unafikiri kesi inafunguliwa kama unafungua mlango wa chooni?rambi rambi wamekula viongozi wako.watu wa kagera wanakufa njaa.rambi rambi.mmezikalia.
Mumlipe shigongo hela zakeeeKwahiyo unachukua uamzi gani???
wewe una chako kipi,na tunakujua kila siku kuombaomba tuCHADEMA kwa sasa wamepoteana.