CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

Kwani na wewe unakubaliana na hoja ya mtu aliyepata asilimia moja ya kura kuibuka mshindi akimshinda yule wa asilimia 84?
Mbona na nyie zanzibar mlifanya hvyo?malipo hapa hapa duniani.
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020
Wanatweta tu.
 
Wekeni uwanja Sawa wa Demokrasia muone nguvu ya Chadema...

Mmekalia kusigina Katiba ya Nchi na ndio mana mnapata laana ya Mungu mambo hayaendi nchi nzima.

Utawala wenu huu hauwezi kupata mafanikio kwenye jambo lolote.. Sekta zote ambazo JK alijaribu kuzinyanyua nyie ndio mmeziuwa kabisa.

Si mnasema anainyoosha nchi, sasa ivi mtabadili na kusema Nchi inamnyoosha yeye.
WAFANYE UCHAGUZI LEO KAMA WATU HAWATACHANGANYIKIWA CHALI WATU WAMECHOKA KABISA
 
Tumlipe kwa kazi gani aliyofanya? Tutalipa wangapi?
WEWE NA YEYE HAMNA TOFAUTI ........... KAZI YENU NI MOJA KUSAMBAZA UDAKU MAJUNGU SASA WEWE UNASHANGAAJE MWENZIO KULIPWA ..........? WACHA ROHO MBAYA WEWE MAMA

KISHA NYIE NDO MNAFANYA WATANZANIA miaka 54 na ushei bado tunahangaishwa na umasikini kwasababu ya uhuni wenu kwahiyo wacha shigongo na mashabiki wote wa ccm wapate adhabu kama hizi ili kwa njia zilezile mnasotemia kuwalaghai wananji mzitumie vizuri ili watanzania wajue ccm ni chama cha aina gani.. huyu shiigongo akae sasa awaelimishe wananji ubaya wa ccm..........
 
Ni mtu mjinga tuu,hawezi kuona chuki na hasira inayosamba dhidi ya utawala nchi nzima
Ni kama petroli inamwaga nchi nzima taratibu,itafika siku Kuna mtu atawasha kiberiti
Hali ya maisha ni gesi inayovuja
 
Huu ni wakati wa kuchapa kazi. Si porojo za kisiasa. Ndo maana hata wazee wetu Mangula na Kinana wapo benchi. Tunatekeleza kwanza ilani yetu. Mtusamehe tu kwani kwa hii miaka iliyobaki hatutakuwa na mzaha
ha ha jamani nitafurahi sana siku makonda atakapokalishwa chini, hizi gebe zote ni kwa sababu watu wamemstiri magufuli kwa sababu tukio moja la pressure lazima afe hana kifua ustadi wala nguvu ya kuhimili vishindo unataka uambiwe chadema wanafikiri nini sasa hivi maana wewe si ndio mkono wa kulia wa magufuli kwa hadithi za kitaa
 
Mi nawashangaa mawakili nguli wa chadema wameshindwa kumnasua lema aliyenasa kwenye tope zito sana
atatoka tu ndio sharia kwani kuna ubaya gani kufuata taratibu za sharia magufuli aangalie tu aliyetangulia miezi 12 kikwete na familia yake si walitamba sana nani hata anajuwa wapo wapi the same it will happen to magufuli
 
Kosa walilofanya na hawato lisahau ni kumsema vibaya JK mbali na mazur mengi aliyofanya...aliwapa uhuru wa kufanya siasa nyakati zoote. Mzee wetu alitoa ajira kwa muda muafaka,pia alituongezea mishahara sisi watumish,,,hayo yotee hayapo saiv.
Maguful kawapiga BAN la hatar...NO SIASA.
 
Ccm Inajivunia Lipi Haswa Hadi Sasa? Wengi Wao Ambao Ni Wazee Na Akina Mama Wasio Na Elimu Ya Kutosha Ndio Wanaoburuzwa Kuitikia Hata Wasichokielewa. Wacha Uisome Namba T 000, Mzee Wa Lumumba Hivi Sasa Mnawadhulumu Waliowasaidia Kupga Kelele 2015! Kule Kagera Pia Mmehujumu Wananchi.
 
ha ha jamani nitafurahi sana siku makonda atakapokalishwa chini, hizi gebe zote ni kwa sababu watu wamemstiri magufuli kwa sababu tukio moja la pressure lazima afe hana kifua ustadi wala nguvu ya kuhimili vishindo unataka uambiwe chadema wanafikiri nini sasa hivi maana wewe si ndio mkono wa kulia wa magufuli kwa hadithi za kitaa
Amekuwa mamvi sasa!!!!!!
 
Ni sawa na MTU umejifungia ndani na kufuli LA solex unamtukana uliyekuwa unapigana nae na kumtaka akufuate kama anaweza, kama ww kidume mruhusu aingie ndani au wewe toka mfuate mzichape ili tujue mbabe nani, huku ni sawa na kijiyekenya alafu unacheka mwenyewe
 
Kosa walilofanya na hawato lisahau ni kumsema vibaya JK mbali na mazur mengi aliyofanya...aliwapa uhuru wa kufanya siasa nyakati zoote. Mzee wetu alitoa ajira kwa muda muafaka,pia alituongezea mishahara sisi watumish,,,hayo yotee hayapo saiv.
Maguful kawapiga BAN la hatar...NO SIASA.
Hahaha kawapiga.... Usijitoe kundini
 
Sio chadema,cha bukoba mmechukua(mchango wa maafa),cha erick shigongo mmechukua pia

Siasa maneno kisha yanatengeneza pesa, hiyo ndio raha ya kushika dola hata ukipata maafa ya wanachama wa chadema pesa unapewa ccm, subiri mshike dola muone wakina mangi watakavyokuwa. Wengine walijifanya eti hawatumii VX kwa kubana matumizii, aaa kumbe wapiiiiii, wameenda kuliomba kinyemela. Chezea mangi wewe, kodi ya nyumba halipi, mikopo ya benki halipi, hata demu wake kumuhonga hataki anampa viti maalum ahongwe na posho za bunge. Nyumbu mpo tu!
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020
mnakera sana kukuta mtanzania kama wwe unashindwa kutumia logic ndogo tu kuwa wapinzani wanafanya kazi kwa kubanwa sana tofauti na tawala zilizopita. narudia tena mruhusu mikutano ya kisiasa ndio tupime kama chadema imekufa ama la
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020
Alafu mbona kama unawapa makavu live wanajifanya wababe sasa huu moto wa safari hii kila wakigusa unawachoma Wanabaki Vuvuzelaaaaa
 
Siasa maneno kisha yanatengeneza pesa, hiyo ndio raha ya kushika dola hata ukipata maafa ya wanachama wa chadema pesa unapewa ccm, subiri mshike dola muone wakina mangi watakavyokuwa. Wengine walijifanya eti hawatumii VX kwa kubana matumizii, aaa kumbe wapiiiiii, wameenda kuliomba kinyemela. Chezea mangi wewe, kodi ya nyumba halipi, mikopo ya benki halipi, hata demu wake kumuhonga hataki anampa viti maalum ahongwe na posho za bunge. Nyumbu mpo tu!
Kama den la taifa tu mbona hata watoto wenu wanadaiwa huko helsb?
 
Back
Top Bottom