Hahahahahaaaaaaaaa! Pole zenu aiseeeeinafurahisha. Bondia mmoja kafungwa mikono na mwingine anayepambana nae ulingoni hajafungwa kisha wanaambiwa wapambane ulingoni. Eti watu wanashangilia huyu aliyefungwa mikono kuwa kimya kwa kutorusha ngumi. Hapo tayari anajulikana ni nani anayetisha kabla hata ya matokeo.