CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020
CCM wanachao? Wanafunzi?Wazee? Watumishi? Wafanyabiashara? nani mnufaika?..
 
Kweli hawana chao.
Hatutasikia tena LUGUMI, MEREMETA, ESCROW, and the like.
 
Mlipeni kwanza shigongo stahiki zake,
Lasivyo hivyo laana hiyo itaendelea kuwatafuna
 
CCM wanachao? Wanafunzi?Wazee? Watumishi? Wafanyabiashara? nani mnufaika?..
Subiri utekelezaji wa ilani ya CCM. Huko mikoa ya kusini wanachekelea mpaka meno yote 32 yapo nje. Magufuli kamwaga mihela kupitia korosho. Ukifanya kazi lazima utamuona Magufuli ni mtu mwema. Ila ukiwa mvivu na kutaka kuishi kijanja ujanja lazima utamchukia
 
Umesoma na kuelewa nini nimeandika?
Tatizo sio kusoma na kuelewa nini kimeandikwa; tatizo ni kuwa mnakurupuka na kuandika tu lugha za kimaskani na "slogan " za chama bila ya kujua kuwa Kichwa cha habari cha "thread" au maandiko yoyote hubeba dhamira na maudhui halisi wa mtazamo wa muandishi.Kigumu chama cha .......
 
Endeleeni kuisoma namba
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020

Lizaboni wewe ndiyo huna chako kabisa yaani teuzi zooooooooooote zile hujaambulia, umebaki kubweka bweka kwenye korido hapo Lumumba kama kijibwa koko, ulitafuta kiki kwenye tuzo ya Forbes nako umeangukia pua, aidha wewe ni kilazar wa mwendo kasi au una gundu.
 
Akili za kitaahira hizi, ulitakiwa uandike Watanzania hawana chao utawala wa Magufuli, vilio vya hali ngumu ya maisha magumu kila kona ya nchi na hata ndani ya MACCM wameanza kumponda hadharani.

Back
Top Bottom