CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

Kuna watu wanaandikaga vitu havina miguu wala kichwa. Kwanza kasema Chadema hawana chao katika utawala wa huu, kisha anahitimisha kwa kusema tukutane 2020! Kwa kusema hawana chao, alikuwa na maana hawaruhusiwi kufurukuta, na bado anahitimisha kwa kusema wakutane nao 2020? this is bull Sh***t
 
Kama hawana Sera kwa nini mnatumia bunduki,mabomu na magari ya deraya kuwazuia wasiongee na wananchi? Waoga wakubwa nyie.
Tufuate taratibu kanuni na sheria tulizojiwekea. Kila uhuru una.mipaka yake. Na hiyo ndio itakuwa demokrasia iliyokomaa siyo hiyo unayoidhani ya kuigaiga
 
refa wenu(tume),uwanja wenu(polisi),kocha wenu(jeshi),vibendera wenu(mahakama),jezi zenu(magari ya washawasha),firimbi yenu(wizi),halafu mko mwinukoni mnafunga bondeni.lazima mshinde hata kama mmerogwa.leteni tume huru ya uchaguzi.mtabakwa mchana kweupe huku mkikata kiuno.mfyuu
 
Umetenda vyema, na hapa ndipo nilipokuwa napataka.Katiba imeelekeza kufuata sharia ya vyama vya siasa. Katiba pia imetuelekeza kufuata sharia na kanuni za nchi. Je hizo sharia tunazifahamu? Hizo kanuni za nchi zinapatikana vipi? Lengo la kukuuliza kuhusu wabunge ni kutaka wewe uone uongo unaolishwa kuhusu kuipiwa kura. Wingi wa wabunge angalau unge reflect kama kweli mliibiwa kura. Hebu ongeza wabunge ishirini wa kuchaguliwa na rais vipi mngeweza kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba? Mlikuwa uwezo wa kupata wabunge wengine ishirini? Huko mlipoibiwa kwa nini msiende mahakamani?
embu acha kujitoa ufaham we mwenyewe unajua wazi kabisa kuwa wana ccm wengi sana walimchagua lowassa so its possible majimbo mengi mfano ya dodoma ambapo huwa wanachaguaga wabunge wa ccm tu miaka yote lakini bado walimpigia kura lowassa ni kma tu 2010 walivyomchoka kikwete ccm walimpigia mbunge wa ccm ila urais walimpa slaa so its possible rais kupata kura nyingi afu ubunge akaanguka nafkiri mlishuhudia hilo 2012 obama alishinda ila wawakilishi walikuwa pungufu hata kenya ODM ya odinga ndio chama chenye wabunge wengi zaidi kenya lakini mbona hakikutoa rais??? vile vile hata maalim aliwagaragaza zanzibar ila amewazidi wawakilishi na wabunge??? hata hillary clinton kashinda popular vote ila senate na wawakilishi kaachwa mbali sana na trump so hiyo sio hoja kabisa.
lakini cha pili wewe mwneyewe ulijionea mwenendo wa uchaguzi ulivyokuwa yaani majimbo waliyoshinda upinzani ilikuwa mpka mabomu yapigwe na watu kuandamana ila lasihivyo tusingeambulia hata jimbo moja ila tume huru ingekuwepo trust me UKAWA tungevuna almost half ya majimbo yote tz kiukweli kabisa hata lindi kagera mtwara na mbeya ccm wasingebeba hata jimbo moja maana huko kuna majimbo mmeiba kura waziwazi. so kwa mfumo wa sasa hatuwezi kuja na conclusions kuwa mlitushinda ubunge wakati mlifanya figisu nyingi sana hivyo nachoomba uwaambie waliokutuma kuwa waweke tume huru, katiba mpya ya warioba itakayoruhusu kuchallenge matokeo mahakamani na pia nguvu ya dola isitumike na ccm wakati wa uchaguzi trust me wabungr watapukutika mpaka hutoamini, mark my words ila kuendelea kutukebehi wakati unajua kabisa uchaguzi hauwagi huru na haki ni kujenga hasira tu kwenye mioyo ya wazalendo na siku mtasababisha uhsama wa kisiasa mwishowe amani ipotee wakati mngeweza kuyazuia haya mapema.
20.-(1) Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo.
(2) Bila ya kujali masharti ya ibara ndogo ya (1) haitakuwa halali kwa chombo chochote cha siasa kuandikishwa ambacho kutokana na Katiba au sera yake-
(a) kinakusudia kukuza au kupigania maslahi ya- (i) imani au kundi lolote la dini;
(ii) kundi lolote la kikabila pahala watu watokeapo, rangi au jinsia;
(iii) eneo fulani tu katika sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano;

(b) kinapigania kuvunjwa kwa Jamhuri ya Muungano:

(c) kinakubali au kupigania matumizi ya nguvu au mapambano kama njia za kufikia malengo yake ya kisiasa;

(d) kinapigania au kinakusudia kuendesha shughuli zake za kisiasa katika sehemu moja tu ya Jamhuri ya Muungano;

(e) hakiruhusu uongozi wake kuchaguliwa kwa vipindi na kwa njia za kidemokrasia.

(3) Bunge laweza kutunga sheria inayoweka masharti yatakayohakikisha kuwa vyama vya siasa vinazingatia mipaka na vigezo vilivyowekwa na masharti ya ibara ndogo ya (2) kuhusu uhuru na haki ya watu kushirikiana na kujumuika.

(4) Bila ya kuathiri sheria za nchi zinazohusika ni marufuku kwa mtu yeyote kulazimishwa kujiunga na chama chochote au shirika lolote, au kwa chama chochote au cha siasa kukataliwa kusajiliwa kwa sababu tu ya itikadi au falsafa.
soma hapo (3) wamesema bunge laweza tunga sheria inayoweka masharti ......... sasa ni lini waliokutuma kuwatetea hapa wamepeleka muswada bungeni kuweka masharti ya mipaka ya shughuli za kisiasa??? sawa basi tufanye rais ana haki ya kutubana kisiasa hadi 2020 nimeshauri apeleke mswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa ili muwe ma msingi wa kisheria kuliko sahivi mnapotuzuia kwa kauli ya mtu mmoja tu amabye anahisi yupo juu ya katiba hicho ndo ninachpogia kelele ili sasa huko bungeni ndio tujue mbivu na mbichi kama mnasigina katiba na uhuru wa vyama vya siasa ama lah maana shughuli za kisiasa zipo kisheria sasa wewe ndo uniambie mnatumia mamlaka gani kutuzuia???
 
CHADEMA kwa sasa wamepoteana.

Hakuna cha Mwenyekiti wala Katibu Mkuu.

Makamanda wao kwa sasa wamefarakana.

Wale nguli wa sheria waliokuwa wanawategemea kwa sasa hawana lolote. Ni baada ya Kisutu Kufumuliwa

Utawala wa Magufuli waliuchukulia poa sana na sasa unawatokea puani.

Mijadala mingi ya wafuasi wa CHADEMA mitandaoni ni ya malalamiko. Hata wale waliokuwa wanajenga hoja kama Malisa Godlisten, Ben Saanane na wengineo wamekata tamaa na sasa wamejiweka pembeni.

Ufipa hakukaliki tena. Kumekuwa ni hame la watoto wa jandoni.

Kelele nyingi kuhusu udikteta wa Rais Magufuli zimezimika mithili ya moto wa njiti ya kiberiti.

Asiyechaguliwa na wanachama na ambaye hakijui chama ndiye anayesimamia harakati za chama kwa sasa

Wale waliokuwa wanajiita CHADEMA Diaspora kwa sasa wameamua kususia chama. Hata yale matawi ya DMV na London kwa sasa yamebaki makumbusho tu.

Yule cha Mdomo na mtukanaji wao Mange Kimambi kwa sasa ameamua kujiweka pembeni kwa kisingizio eti bwana wake kamnyang'anya simu. Wanaona aibu

Ni mwaka mmoja tu wa Magufuli CHADEMA wapo hoi bin taaban. Wapo nyaka nyaka. Hawajiwezi.

Niwakumbushe tu kuwa siasa si mihemko. Siasa ni mikakati na mbinu za medani. CCM tuna mbinu zaidi ya 2000 za kutuwezesha kufanya siasa. Hata hii mbinu ya kuwaacha mjazane mitandaoni nayo ni mbinu. Kupitia humu kila mnachotema kinakuwa na tija kwetu.

Tukutane 2020

CCM oyeeeeee!!!
 
Hawana chao??? Mmewadhulumu au mmewalipa ??
 
embu acha kujitoa ufaham we mwenyewe unajua wazi kabisa kuwa wana ccm wengi sana walimchagua lowassa so its possible majimbo mengi mfano ya dodoma ambapo huwa wanachaguaga wabunge wa ccm tu miaka yote lakini bado walimpigia kura lowassa ni kma tu 2010 walivyomchoka kikwete ccm walimpigia mbunge wa ccm ila urais walimpa slaa so its possible rais kupata kura nyingi afu ubunge akaanguka nafkiri mlishuhudia hilo 2012 obama alishinda ila wawakilishi walikuwa pungufu hata kenya ODM ya odinga ndio chama chenye wabunge wengi zaidi kenya lakini mbona hakikutoa rais??? vile vile hata maalim aliwagaragaza zanzibar ila amewazidi wawakilishi na wabunge??? hata hillary clinton kashinda popular vote ila senate na wawakilishi kaachwa mbali sana na trump so hiyo sio hoja kabisa.
lakini cha pili wewe mwneyewe ulijionea mwenendo wa uchaguzi ulivyokuwa yaani majimbo waliyoshinda upinzani ilikuwa mpka mabomu yapigwe na watu kuandamana ila lasihivyo tusingeambulia hata jimbo moja ila tume huru ingekuwepo trust me UKAWA tungevuna almost half ya majimbo yote tz kiukweli kabisa hata lindi kagera mtwara na mbeya ccm wasingebeba hata jimbo moja maana huko kuna majimbo mmeiba kura waziwazi. so kwa mfumo wa sasa hatuwezi kuja na conclusions kuwa mlitushinda ubunge wakati mlifanya figisu nyingi sana hivyo nachoomba uwaambie waliokutuma kuwa waweke tume huru, katiba mpya ya warioba itakayoruhusu kuchallenge matokeo mahakamani na pia nguvu ya dola isitumike na ccm wakati wa uchaguzi trust me wabungr watapukutika mpaka hutoamini, mark my words ila kuendelea kutukebehi wakati unajua kabisa uchaguzi hauwagi huru na haki ni kujenga hasira tu kwenye mioyo ya wazalendo na siku mtasababisha uhsama wa kisiasa mwishowe amani ipotee wakati mngeweza kuyazuia haya mapema.
soma hapo (3) wamesema bunge laweza tunga sheria inayoweka masharti ......... sasa ni lini waliokutuma kuwatetea hapa wamepeleka muswada bungeni kuweka masharti ya mipaka ya shughuli za kisiasa??? sawa basi tufanye rais ana haki ya kutubana kisiasa hadi 2020 nimeshauri apeleke mswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa ili muwe ma msingi wa kisheria kuliko sahivi mnapotuzuia kwa kauli ya mtu mmoja tu amabye anahisi yupo juu ya katiba hicho ndo ninachpogia kelele ili sasa huko bungeni ndio tujue mbivu na mbichi kama mnasigina katiba na uhuru wa vyama vya siasa ama lah maana shughuli za kisiasa zipo kisheria sasa wewe ndo uniambie mnatumia mamlaka gani kutuzuia???

Watu gani hao waliochaguliwa kuwa wabunge ambao wapo upinzani wangefikia idadi ya ishirini au tufanye hata arobaini? Fungua akili, fikiri tafakari uone ukweli. Nimekubali kuwa CCM wengi walimpigia kura Lowassa lakini je waliwapigia kura watu wabunge? Lowassa amepata kura za kuwa rais angekuwa na wabunge wangapi? Kwa nini kwingine wabunge washinde na kwa nini kwingine waibiwe kura? Mbona hawakuiba Arusha, Mikumi, Kawe, Iringa waibe huko mnakodhani wameibiwa. Dogo wewe bado sana, siku utakayojua chairman alimalizia kidato cha nne shule gani utakuwa angalau unajua unachokiongea na sio huu unyumbu unaouonesha
 
nmeshasema wekeni tume huru kwanini mnaogopa?? kawe yenyewe si mpaka watukushikana mashati na halima mdee kukomaa alsihivyo kipi warioba angeshinda. hivi unajua hata majimbo mengi mfano wa momba mlikwisha chakachua na kama sio nguvu ya uma kutumika na wananchi kuwa wehu leo hii silinde angekuwa mahakamani kama mwakalinga na mwang'ombe. huku mbagala kwa mfano CUF walikuwa wanaongoza kwa mbali sana mkarusha mabomu mara sijui funga barabara na kwa mabavu mkamtangaza huyo kibaraka wenu mangungu same case kyerwa na muleba nako mlitumia maguvu kujitangazia ushindi kwa hiyo mifano ni mingi and trust me majimbo mengi sana mliiba.
pia kingine necesaarily sio mpaka muibe kura ila mchakato mzima wa kampeni huwa mnauvuruga mfano kuwaweka ndani wapinzani, mara sijui polisi wazuie mikutano na misafara mara cjui muhonge wananchi sijui muhonge mawakala kwa ufupi ccm mnacheza rafu nyingi ikiwemo kuwatisha wanaowapinga eti wasipowachagua akishinda rais wa ccm wasitegemee kitu refer igunga 2011/12. haya pia yanachangia uchaguzi kutokuwa huru na wa haki.
kuhusu kura za urais sijui ambacho huelewi ni kipi? nmekupa mifano inayoonyesha clinton,obama walishinda kura nyingi za urais ingawa wawakilishi na seneti walikuwa wanaowachache kulinganisha na republicans both 2012 na 2016 so inawezekana kabisa mtu kushinda urais hata kama ana wabunge wachache.
so nashauri ili tuache kubishana hapa mlete tume huru afu jeshi la polisi wawekwe pembeni wasiwabebe wawe katikati then tukutane 2020.
 
Mwenyekiti amemalizia wapi kidato cha nne? Tuonane ukipata jawabu, kama mambo madogo hatuyawezi, makubwa tusiyakimbilie
 
Watu gani hao waliochaguliwa kuwa wabunge ambao wapo upinzani wangefikia idadi ya ishirini au tufanye hata arobaini? Fungua akili, fikiri tafakari uone ukweli. Nimekubali kuwa CCM wengi walimpigia kura Lowassa lakini je waliwapigia kura watu wabunge? Lowassa amepata kura za kuwa rais angekuwa na wabunge wangapi? Kwa nini kwingine wabunge washinde na kwa nini kwingine waibiwe kura? Mbona hawakuiba Arusha, Mikumi, Kawe, Iringa waibe huko mnakodhani wameibiwa. Dogo wewe bado sana, siku utakayojua chairman alimalizia kidato cha nne shule gani utakuwa angalau unajua unachokiongea na sio huu unyumbu unaouonesha
pia kitu kingine mkuu mie sio mfuasi wa mbowe ni mfuasi wa sera za chadema kwa hiyo iwe mbowe aliishia darasa la tatu au chekechea thats not my problem maadam nilimchagua mwenyewe pale mlimani city sijawahi kujutia kura yangu maana numbers dont like toka ashike uongozi kila uchaguzi tunazidi kupaa tu kwa mafanikio so hata kama hana uprofessor au udoctor it doest matter coz ametufkisha mahali tulitaka kufika kwenye siasa za nchi hii. hao madoctor kma lipumba wana impact gani positive wakati anachochea migogoro na kuua chama chake so mbowe namjudge kwa uongozi wake na mafanikio based on objectives sio elimu yake.
 
Wewe unafikiri humu duniani idadi ya wajinga inazidi kupungua au kuongezeka?
 
haaaahaaaaa inazidi kupungua mkuu huoni mnavyokataliwa kila uchaguzi maana watu wameamka kielimu wameenda shule na wamesoma masomo ya uraia wakajielewa na kujua historia yao na uchumi wa nchi yao ndio maana hawadanganyiki tena na propaganda za kiccm za sijui maisha bora mara cjui kilimo kwanza n.k kufkia 2020 waliofunguka akili watakuwa wengi zaidi
 
Kweli idadi ya wajinga inazidi kupungua ndio maana watu wanaweza kudharau Phd na kuheshimu standard seven leaver aliyefika form six. Watu wanaweza kuwachukua girl friend zao kuwafanya wabunge. Watu wanaweza wakawa wanasema uzushi wakaaminika hata kesho wakiamua kuukana bado wataaminika. Wakiwaua na kuwaumiza wanaowapinga bado wataabudiwa. Wakipokea ushwa ili wasisimamishe wagombea watapigiwa makofi, wakipokea pesa za msaada kwa niaba ya chama wakizipeleka chamani kama mkopo kutoka mfukoni mwao bado wataaminika. Wakisema CCM hakuna mtu hata mmoja lakini wakati huo huo wapo tayari kuwamwaga wanachama wao ili wawapishe wagombea kutoka CCM watu wanawaamini. Tunakoenda huko 2020 wajinga watakwisha kabisa na Chadema watachukua nchi. Teh, teh, teh! Peopleeeeeeees'! Zungusha mabadiliko
 
mbona umeongea nonsense?? kama chadema haiembrace wasomi kwanini wamuweke professor safari professor baregu na doctor mashinji kwenye summit ya uongozi wa chama. wapi kina ben saanane na dk marcus albanie au umewasahau ambao wanaongoza kurugenzi tofauti tofauti ndani ya chama. Ila what u should know ni kuwa uongozi is all about delivering na kufkia malengo so kama mbowe ameyafikia malengo sioni shida hata kma haitwi professor au doctor maana hta kipindi cha kupigania uhuru wazee wetu wengi waasisi wa TANU na TAA walikuwa hawana elimu za juu lakini waliweza kutukomboa toka mikono ya wakoloni.
pia kuhusu hizo tuhuma eti kupokea pesa na kuziingiza kwenye chama kama mkopo?? hivi CAG si alikuwa ordered kukagua vyama vya siasa?? mbona hilo hakuliona?? au ni vyema kma mnaushahidi basi mthibitishe beyond reasonable doubt kuwa mbowe alifanya uhuni huo lasihivyo zitabalia kuwa propaganda maana CAG hakulisema hilo kwenye ripoti ya ukaguzi wa vyama vya siasa?. ccm kwa propaganda hamjambo ila wajinga mliyofkiri wapo wameisha siku hizi ndio maana mliongea propaganda nyingi ila bado mwaka jana mkaangukia pua.
 
CAG anaakaagua hela ulizopewa kwa ajili ya chama by people with good faith ukadanganya zako na kuzikopesha kwa chama? Anyway kwa kuwa shule sio muhimu tuendelee. Kwa hiyo kati ya CCM na CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka jana CCM ndio iliyoangukia pua? aisee!

Kwa hiyo kipindi cha kupigania uhuru na sasa ni sawa, mahitaji ni yale yale, adui ni yule yule? Kumbe kuna watu nchi hii walipigania uhuru na wakashinda, duh, kwa nini uhuru uje mwaka 1960 na si kabla ya hapo? Wale wazee hawakuwa na elimu? Walikuwa na fursa ya kusoma hayo madarasa? Wale walikuwa na elimu na maarifa yao waliyoyatafuta na kufuzu sio ambao wameyatafuta maarifa wakathibitishwa wamefeli. Una haki ya kufikiri tofauti. Halafu hii tabia ya kuhesabu maprofesa kwa vidole vya mkono hii sijui itaisha lini. Lakini kama watu wazuri wapo CCM na sisi tunawasubiri mpaka CCM iwateme ndipo waje kwetu, we unafikiri wazuri wengi wako wapi? Ule mtaji aliousema anakuja nao mzee kutoka CCM we unafikiri ni nini? Uko wapi umekuja au bado upo CCM? Fikiri tena.

Nakubaliana na wewe kuwa wajinga wameisha wamebaki werevu. Kwa kuwa mtaji wa CCM umeisha basi CHADEMA njia nyeupe kuchukua dola hata kama mikutano ya vyama vya siasa itazuia, tusipaniki, CCM imeshajifia labda tatizo tulilonalo sisi ni kujiuliza akina nani wataunda baraza la mawaziri? Watu hao tunao kweli, Lema, Lisu, Mdee, Sugu, Msigwa watatosha au tunangoja wengine watoke CCM?

Halafu kawaida yangu mimi ni kuongea nonsense, kama unataka sense kawaulize wanaoamini mwenyekiti wao and degree lakini hawataki hata kujua kidato cha nne alimalizia shule gani, tena wala hawataki kuihoji serikali kwa nini walimpa uafisa benki kuu standard Seven leaver! Angalau wangeihoji serikali basi. Hao ndio wanaozungumza sense. Wengine sisi ni nonsense tu, kazi yetu ni kuwatundika vitambi wabunge wetu wa viti vya marumaru
 
sijui nianzie wapi?? anyway nachojaribu kukuelewesha ni kuwa kama mnaushahidi wa madeni hewa mlete ushahidi mezani mkamshtaki mbowe kwa kuibia hela chama cha siasa hoja yangu ndio hiyo kuliko propaganda za kila cku eti mikopo hewa sijui kapewa na wadhamini ila kaigeuza yake maana tumechoka na propaganda za maneno bila ushahidi maana hata nikikuuliza wwe wakati ananegotiate kupewa hela na watu wenye nia njema ulikuwepo?? are u sure alipewa kwa ajili ya chama au yeye binafsi kama mwenyekiti??
pia unaanza kejeli sijui lema msigwa baraza la mawaziri litatoka wapi??? hivi nikuulize nyie ambao mnadai mna wasomi kipi kilimpa mwenyekiti wenu kigugumizi kuteua mawaziri kiasi kwamba akaacha wizara kma 3 au 5 hivi bila mawaziri hadi ikabidi awateue wasiokuwa wabunge kina mpango na ndalichako??? kama nyie mmejaa wasomi si angechukua bila kuhitaji kwenda kuwatafuta huko nje ya bunge??

kuhusu chadema tuna timu kubwa ambayo ingeweza kutengeneza baraza la mawaziri afterall toka uchaguzi 2010 tuliweka wazi kuwa tungekuwa na baraza dogo sana la mawaziri lenye ufanisi kama tungepata nchi na sasa kama sahivi chadema tuna wabunge zaidi ya 70 kweli tukose baraza DOGO la mawaziri??u cant be serious... basi nikubaliane na wwe kuwa kama tungeona bungeni hatuna experience za kutosha tungeteua hta nje ya bunge maana tuna wasomi wengi tu wanaotuunga mkono walio tayari kulitumikia taifa hili kizalendo na ndio maana chadema tuliitaka katiba ya warioba maana ilitaka mawaziri wasitokane na wabunge ili kusiwepo na uchama kwenye mambo ya kimaendeleo upo hapo??

na kuhusu kuwataja wasomi kwa pointing ni kwa sababu wwe umesema chadema haiwekei mkazo elimu lwenye uongozi so nimekutajia wasomi viongozi tu. maana huku chini wasomi tunaoisupport tupo wengi sana nafkiri hata we shahidi wakati wa uchaguzi mavyuo makubwa ndo huwa chachu ya kuwapa ushindi wapinzani kwenye maeneo yao rejea wenje na mnyika 2010.
 
yeah mliangukia pua maana tanganyika mlifanikiwa kuiba kura maana mlivamia kitu cha kukusanya matokeo cha UKAWA hata LHRC, kma mlishinda kwanni hamkutaka wengine wawe na data za matokeo?? kwa kuwa mliweka nguvu zote bara mkashindwa kuiba zenji ikabidi mfute matokeo kuepusha aibu ya karne. Kama una ndugu ambaye yupo usalama wa taifa mtafute akupe ukweli wa kilichotokea kuliko mnavyoaminishwa eti magufuli alishinda. ok basi let me assume nikubaliane na wwe kma hamkuangukia pua 2005-80+%, 2010-62%, 2015-58 hapo takwimu zimekaaja. alafu unaodai wameamgukia pua 2005-5%, 2010-27%,2015- 40%...... anayeongeza na anayepungukiwa nani kaangukia pua??? jibu unalo moyoni nafkiri.
pia hoja ya elimu wakati wa uhuru najaribu kujenga hoja kuwa elimu necessarily haileti uongozi imara lahasha inaongeza maarifa tu ila other skills ni naturally inborn na mtu. so nachoeleza ni kuwa mbowe anaweza asiwe na elimu kubwa ila akawa na skills za leadership ambazo nimesema ni inborn kama ambazo walikuwa nazo kina chief mkwawa au kina abushiri amabao hawakupita shule ila walikuwa viongozi imara kwenye enzi za ukoloni.
 
Wewe una akili sana, una uelewa wa hali ya juu hasa kuhusu skills za leadership ambazo ni inborn, shule haina umuhimu. Kweli ccm iliangukia pua ndio maana wameiba mandate ya kuzuia mikutano ya siasa. Rais si Magufili wala, ipo siku walioshinda watakabidhiwa nchi yao sio? Halafu uelewa wako wa utawala wa sharia upo juu sana. Unakubali na kuelewa kuwa wengine wana haki ya kuvunja sharia kwa vile ashki zao na zako zinawataka wafanye hivyo na wakifanya hivyo kwa kuwa ni wao na LHRC hakuna tatizo, hapo hakuna katiba wala sharia ya nchi. Wewe ni mchambuzi mzuri sana na kama chama kitakutumiavizuri utawafikisha mbali sana ni haya maono yako ya ki lay man, kwani ni 'very inborn' kabisa. Nimependa sana mchango wako wa kuwailimtu ashindwe katika uchaguzi ni lazima apitwe kwa mamilioni ya kura, kura mbili si kitu chochote katika demokrasia. Bravo, keep it up dogo kwani una naturally inborn skills. Kile kitabu cha historia darasa la tano umekielewa vizuri sana, hongera
 
sijui nianzie wapi?? anyway nachojaribu kukuelewesha ni kuwa kama mnaushahidi wa madeni hewa mlete ushahidi mezani mkamshtaki mbowe kwa kuibia hela chama cha siasa hoja yangu ndio hiyo kuliko propaganda za kila cku eti mikopo hewa sijui kapewa na wadhamini ila kaigeuza yake maana tumechoka na propaganda za maneno bila ushahidi maana hata nikikuuliza wwe wakati ananegotiate kupewa hela na watu wenye nia njema ulikuwepo?? are u sure alipewa kwa ajili ya chama au yeye binafsi kama mwenyekiti??
pia unaanza kejeli sijui lema msigwa baraza la mawaziri litatoka wapi??? hivi nikuulize nyie ambao mnadai mna wasomi kipi kilimpa mwenyekiti wenu kigugumizi kuteua mawaziri kiasi kwamba akaacha wizara kma 3 au 5 hivi bila mawaziri hadi ikabidi awateue wasiokuwa wabunge kina mpango na ndalichako??? kama nyie mmejaa wasomi si angechukua bila kuhitaji kwenda kuwatafuta huko nje ya bunge??

kuhusu chadema tuna timu kubwa ambayo ingeweza kutengeneza baraza la mawaziri afterall toka uchaguzi 2010 tuliweka wazi kuwa tungekuwa na baraza dogo sana la mawaziri lenye ufanisi kama tungepata nchi na sasa kama sahivi chadema tuna wabunge zaidi ya 70 kweli tukose baraza DOGO la mawaziri??u cant be serious... basi nikubaliane na wwe kuwa kama tungeona bungeni hatuna experience za kutosha tungeteua hta nje ya bunge maana tuna wasomi wengi tu wanaotuunga mkono walio tayari kulitumikia taifa hili kizalendo na ndio maana chadema tuliitaka katiba ya warioba maana ilitaka mawaziri wasitokane na wabunge ili kusiwepo na uchama kwenye mambo ya kimaendeleo upo hapo??

na kuhusu kuwataja wasomi kwa pointing ni kwa sababu wwe umesema chadema haiwekei mkazo elimu lwenye uongozi so nimekutajia wasomi viongozi tu. maana huku chini wasomi tunaoisupport tupo wengi sana nafkiri hata we shahidi wakati wa uchaguzi mavyuo makubwa ndo huwa chachu ya kuwapa ushindi wapinzani kwenye maeneo yao rejea wenje na mnyika 2010.

Unateua mwanachama wa chama chako kuwa mbunge baadae waziri. Ukitaka kumpa upendeleo mwanamke wa upinzani unampa na imeshawahi kufanyika.

Wabunge 70 ndio, lakini walipopangwa kwenye kamati wenyewe wwenye chama walikataa, eti wameteuliwa wenye uwezo mdogo. Anyway CHADEMA itakuwa chama cha mfano, baraza dogo la mawaziri wenye inborn skills za uongozi kama za Sugu au Jay wa mitulinga.

Kumbe na wewe ni msomi? Ndio maana hatuelewani, mimi nimemzidi chairman kitu kidogo tu, naikumbuka shule yangu niliyomalizia kidato cha nne japo matokeo yetu yanaweza yakafanana! Sijui bwana siku akiyatoa nitalinganisha, kama ni ya 33 au 34!
 
Back
Top Bottom