muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
- Thread starter
- #41
sio kila wanalofanya masheikh liwe ndio, maana hata wakija mapadri na kauli zisifaa hujadiliwa na kutupwawewe unatakajifanya ni zadi ya mashehe wa arusha?
sio kila wanalofanya masheikh liwe ndio, maana hata wakija mapadri na kauli zisifaa hujadiliwa na kutupwawewe unatakajifanya ni zadi ya mashehe wa arusha?
hayana tofauti na ya Pemba.Kisheria mazishi haya yamechelewa kwa sababu hayakutokea kwenye mazingira ya kawaida ....kuna mambo ya kipolisi lazima yalibidi yafanyike kable ya kuuzika miili....tofauti ya watu wanaokufa natural death......sidhani CHADEMA wanaingiaje kwenye mambo ya kipolisi .....ilibidi wasubiri .
sio kila wanalofanya masheikh liwe ndio, maana hata wakija mapadri na kauli zisifaa hujadiliwa na kutupwa
sio kila wanalofanya masheikh liwe ndio, maana hata wakija mapadri na kauli zisifaa hujadiliwa na kutupwa
Ukifa wewe kwa kujilipua utazikwa baada ya sekunde chache!
tatizo sio kujilipua, tatizo jee chadema hawajui kama maiti ya madhehebu ya kiislam haitakiwi kukaa sana kabla ya kuzikwa?
Ukifa wewe kwa kujilipua utazikwa baada ya sekunde chache!
tatizo sio kujilipua, tatizo jee chadema hawajui kama maiti ya madhehebu ya kiislam haitakiwi kukaa sana kabla ya kuzikwa?
hata iweje lkn kwa hili chadema imechemkaHahahaha sasa si anakuwa ametawanyika kinyesi kule miguu kule mikono kule utumbo kule watakusanya vyote wataweza?
tatizo sio kujilipua, tatizo jee chadema hawajui kama maiti ya madhehebu ya kiislam haitakiwi kukaa sana kabla ya kuzikwa?
Wewe utazikwa kabla hujafa!
Hivi wewe kichwa chako kina mchanga au?ili suala lilikua chini ya uchunguzi wa polisi,si kwamba ni natural death,ilikua haina jinsi mpaka police na motury waidhinishe uchukuliwaji wa miili hiyo,na kwa taarifa yako waliokabidhiwa miili ni ndugu wa marehemu ambao waliamua kutoa ushirikiano na cdm,sasa unapolaumu cdm kama kichwa chako kimejaa maji vile,ulitaka cdm wavamie mochwari siku ile ile kabla ya miili haijafanyiwa uchunguzi wala kuidhinishwa kuchukuliwa?tumia akili hata kidogo wewe usiwe mvivu wa kufikiri
kama mazishi ya chadema yalipangwa leo, ni wazi hata mwili umetolewa leo
hata iweje lkn kwa hili chadema imechemka
tusicheze na imani za dini, naamini chadema wamekosea, inaweza ikaomba radhi
tatizo sio kujilipua, tatizo jee chadema hawajui kama maiti ya madhehebu ya kiislam haitakiwi kukaa sana kabla ya kuzikwa?
nasikia Bakwata na madhebu mengine ya waislam yanapanga kutoa kauli
Mbona Waislam kupitia masheikh wao hawakutoa tamko? au wewe ndo wamekutuma uje utoe tamko?