Chadema hawajakiuka maadili?

View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?

Muulize Maralia Sugu sheria za kiisilam mtu shujaa anazikwaje!
 
nilikua nasikia kuwa muhogo ni miongoni wa magreat sinker ambaye yuko biased na ni mwenye mawazo mgando sasa nimejionea mwenyewe live.
 
tusichanganye siasa na dini. kama ni hivyo hata viongozi wa kiislam wakuu wangalikuwa wanakaa 12 days, lkn sijui kama limewahi kutokea? jee gov haitaki kufanya hivyo kama inavyofanya viongozi wa madhehebu mengine? au wanahsehimu imani zao? jee chadema imeshindwa kuthamini imani zao na kuupeleka mwili wa marehemu mapema?
 
ok, hoja hii inaweza ikawa kubwa mbeleni

Ina maana wewe ni muislamu zaidi kuliko mashekh walioshiriki katika kuaga na kumzika shujaa wetu? Au wewe ni more knowledgeable in Islamic studies than those renown sheikhs walioongoza sala NMC ground? Huna hoja, just understand this fact and swallow your bitter truth if you havr such a capacity....ama kweli unadondoa tu na sio kujibu hoja au kuchangia hoja...pole
 
tusichanganye siasa na dini. kama ni hivyo hata viongozi wa kiislam wakuu wangalikuwa wanakaa 12 days, lkn sijui kama limewahi kutokea? jee gov haitaki kufanya hivyo kama inavyofanya viongozi wa madhehebu mengine? au wanahsehimu imani zao? jee chadema imeshindwa kuthamini imani zao na kuupeleka mwili wa marehemu mapema?

Mbona unaandika maralia Sugu wewe si umefungiwa maisha au macho yangu tu?
 
Ina maana wewe ni muislamu zaidi kuliko mashekh walioshiriki katika kuaga na kumzika shujaa wetu? Au wewe ni more knowledgeable in Islamic studies than those renown sheikhs walioongoza sala NMC ground? Huna hoja, just understand this fact and swallow your bitter truth if you havr such a capacity....ama kweli unadondoa tu na sio kujibu hoja au kuchangia hoja...pole

tatizo sio sheikh au imam, tatizo sijawahi kuona hata mwili mmoja wa kiongozi wa juu nchini ambae anapendwa sana akaweka 6 days. lkn kwa chadema limetokea. jee hawa wengine hawajui?
 
tusichanganye siasa na dini. kama ni hivyo hata viongozi wa kiislam wakuu wangalikuwa wanakaa 12 days, lkn sijui kama limewahi kutokea? jee gov haitaki kufanya hivyo kama inavyofanya viongozi wa madhehebu mengine? au wanahsehimu imani zao? jee chadema imeshindwa kuthamini imani zao na kuupeleka mwili wa marehemu mapema?

we unadhani lengo la kuzika mapema ni nini hasa?
 
Kadhalika Hadiyth hiyo inajulisha umuhimu wa kumzika pale pale alipofariki maiti na si kumchelewesha kwa kumsafirisha eneo jingine au mji au nchi nyingine, kwani kufanya hivyo kutachelewesha kuzikwa maiti na hivyo kutagongana na maamrisho hayo ya kipenzi chetu.
Jaabir bin ‘Abdillaah (Radhiya Allaahu ‘anhuma) anasimulia:
“Katika vita vya Uhud Waislamu waliokufa walikuwa wakibebwa kupelekwa (katika makaburi ya) al-Baqiy’i. Lakini baadaye ikatangazwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kaamrisha nyinyi kuzika waliokufa pale walipofia/walipouliwa. Hapo ni wakati ambao mama yangu alikuwa tayari keshaweka maiti ya baba yangu na mjomba wangu juu ya ngamia. Na hapo wakachukuliwa na kurudishwa kwenda kuzikwa kule walipouliza.” [Ahmad, Abu Daawuud na wengineo. Imethibitishwa usahihi wake na Shaykh al-Albaaniy katika Ahkaamul Janaaiz uk.25]
HUU NI UMUHIMU WA KUMZIKA MAITI MAPEMA
 
tatizo sio sheikh au imam, tatizo sijawahi kuona hata mwili mmoja wa kiongozi wa juu nchini ambae anapendwa sana akaweka 6 days. lkn kwa chadema limetokea. jee hawa wengine hawajui?

CDM doesnt keep corpses, au unadhani CDM ni cold room or some sort of mortuary? Plus hao ndugu wa marehemu si ndio wangepaswa kusema ndugu yao azikwe right away? Unafikiri ni CDM ndio wana=dictate? Kama hujawahi kusikia labda it is out of ignorance, basi usubiri utasikia tu
 
tatizo sio sheikh au imam, tatizo sijawahi kuona hata mwili mmoja wa kiongozi wa juu nchini ambae anapendwa sana akaweka 6 days. lkn kwa chadema limetokea. jee hawa wengine hawajui?
We ni mpuuzi tu umekosa cha kuandika ukaona uje na gia hii, unajidai kuujua uislam kuliko mashehe wako waliousalia mwili kafie mbali usipoangalia na hili jina lako jipya utafungiwa tena maana hujabadilika.
 
tatizo sio sheikh au imam, tatizo sijawahi kuona hata mwili mmoja wa kiongozi wa juu nchini ambae anapendwa sana akaweka 6 days. lkn kwa chadema limetokea. jee hawa wengine hawajui?

Dr Ally Omary Juma alikaaa siku ngapi! wewe MS?
 
hapa sioni hata kinachongelewa! Unataka kuleta malumbano ya kidini tu

no, sio malumbano, ni hoja ya msingi kama chama kimeona hakuna kosa sio tatizo. Lkn jee kwanini tusitumie imani kama wanavyotumia ccm kutochelewesha maiti za wahusika?
 
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini, ndio maana hata viongozi wakuu wa madhehebu hayo mara tu akifa hakai siku nyingi huzikwa
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?

Kisheria mazishi haya yamechelewa kwa sababu hayakutokea kwenye mazingira ya kawaida ....kuna mambo ya kipolisi lazima yalibidi yafanyike kable ya kuuzika miili....tofauti ya watu wanaokufa natural death......sidhani CHADEMA wanaingiaje kwenye mambo ya kipolisi .....ilibidi wasubiri .
 
Jamani hatuhitaji kuongea na kiumbe wa aina hii. Mungu ni mkubwa, ALIUMBA VILEMA, VIWETE, VIPOFU,MABUBU na viumbe wa aina hii. He has no concrete point to substantiate his claim. Anaonyesha how illitrate he is. So why arguing with such creature? Si umeona hata anavyotumia lugha huyu? inaonekana anajua kiarabu tu.
 
Kadhalika Hadiyth hiyo inajulisha umuhimu wa kumzika pale pale alipofariki maiti na si kumchelewesha kwa kumsafirisha eneo jingine au mji au nchi nyingine, kwani kufanya hivyo kutachelewesha kuzikwa maiti na hivyo kutagongana na maamrisho hayo ya kipenzi chetu.
Jaabir bin ‘Abdillaah (Radhiya Allaahu ‘anhuma) anasimulia:
“Katika vita vya Uhud Waislamu waliokufa walikuwa wakibebwa kupelekwa (katika makaburi ya) al-Baqiy’i. Lakini baadaye ikatangazwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kaamrisha nyinyi kuzika waliokufa pale walipofia/walipouliwa. Hapo ni wakati ambao mama yangu alikuwa tayari keshaweka maiti ya baba yangu na mjomba wangu juu ya ngamia. Na hapo wakachukuliwa na kurudishwa kwenda kuzikwa kule walipouliza.” [Ahmad, Abu Daawuud na wengineo. Imethibitishwa usahihi wake na Shaykh al-Albaaniy katika Ahkaamul Janaaiz uk.25]
HUU NI UMUHIMU WA KUMZIKA MAITI MAPEMA

kama kuna sehemu ya kuhifadhia maiti unadhani kuna ulazima wa kuzika mapema?
 
Back
Top Bottom