CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

Mkuu upo sahaihi hapo kwenye RED, Sijui kwa nini hili swala lije muda huu wakati utaratibu upo wazi. Kushindwa kwa CAG kufanya kazi zake isiwe adhabu kwa vyama vya siasa.



very simple.

Mtoto wa kiume kapelekwa jandoni na sasa mdogo wake wa kike ana malaria! !!!!!!

Wote wanatibiwa kazini utaenda na mama yao haki yake utampa!!!!

Homa ya mtoto wa kike haiwezi kuwa sababu ya kusahau kuwa mtoto wa kiume yupo jandoni
 
Pamoja na hayo kwani Zitto anadhani ruzuku inayotolewa kwa vyama siasa inatumika kwa namna gani??
Zitto kwa kutumia kiti cha mwenyekiti wa PAC anadiriki kusema,+(Niko tiyari kunyongwa kwa ajili ya pesa za umma)
Cha kujiuliza kwanini aanze kusema yuko tiyari kunyongwa ili hali ukweli ni yeye anaujua,
Hata kama ni kweli vyama havijakaguliwa yeye zitto na kamati yake.Wanataka vyama vimkumbushe CAG kuja kufanya ukaguzi wakati ni kazi yake??
Wenye kuubeba mzigo huu kama kweli vyama vyote havijakaguliwa ni officer ya CAG.
Ni nadra sana kwa viongozi wanaosimamia mashirika ya umma kusema uhalisia, ukizingatia ni mangapi zitto ameyasema tu kwa mdomo ilihali hatuoni report inayoletwa??
Zitto kama ana uhakika na anachodai aseme kwanza pesa za uswiswi zimekuaje!?!?!
 
Mwali kama nakuelewa vizuri unamaanisha kwamba kama Chadema hawajakaguliwa na CAG basi audit youote iliyofanyika kwa wao wenywwe kuhire auditor ni sawa na kutokukaguliwa?

Mwita kwa sheria za Nchi ni sawa na kutokukaguliwa, labda kama huyo Auditor aliwekwa na CAG! Huyo ndo utaratibu!
 
Wapi CDM wamesema kua wamekaguliwa na CAG? mbona unapindisha mambo? Walichosema ni kua wao hesabu zao zipo vizuri sijasikia popote pale wamesema wamekaguliwa na kwa kufuata sheria, nilichomsikia komu jana ni kua CAG alitaka chadema watumie mkaguzi mwingine kwa gharama zao na CDM hawataki hii kitu kwa kua sheria inasema kua CAG ndo anatakiwa akague, kwa hiyo KOMU akasema toka wakati huo hawajakaguliwa na CAG ila awanatumia wakaguzi wao wa ndani kufanya ukaguzi.

Kwa mujibu wa Tz daima CDM wana mwawasiliano na msajili wa vyama vya siasa kuwa atawasiliana na CAG ili ateue mkaguzi kwa mwaka 2012/13. Sasa CDM wanasibiri 'response ' ya wakubwa hawa. Kwa Maelezo ya Komu tunaona dhamira ya uwajibikaji CDM.
 
5. Zitto na kamati yake walishawasiliana na ofisi ya msajili kujua ni kitu gani kimewasilishwa huko, lini na katika hali gani (kama mahesabu yako audited au la)?
He inadvertently puts himself and the registrar in a compromising situation while missing his target which is obviously CHADEMA
 
Hapo kwenye RED ni porojo za kisiasa...danganyaneni wenyewe kwa wenyewe. Na pesa zote zipi? Including ile michango ya papo kwa papo kama ile through M4C? Wewe binafsi unafahamu huwa zinakusanywa kiasi gani? Utafahamu vipi matumizi kabla hujafahamu mapato?
...samahani, mimi nilidhani wanaokagua wamesomea kazi yao? una maana wakaguzi ni aina ya NasDaz?
 
Mwita kwa sheria za Nchi ni sawa na kutokukaguliwa, labda kama huyo Auditor aliwekwa na CAG! Huyo ndo utaratibu!

Kazi ya vyama vya siasa inaisha pale hesabu zao zinaeasilishwa kwa msajili,jambo ambalo CDM eamrshalifanya,kinachofuata ni msajili kueasiliana na CAG kwa ajili ya ukaguzi,ndio maana Komu alitaja Ref.No za barua za mawasiliano waliyokuwa wakifanya.Lkn pia hatuwezi kuwadharau ma-auditor wa kujitegemea wakati ni serikali hii hii ndio inawasajili.na mwisho,aulizwe CAG kwa nini hakukagua kwa muda wote huo?
 
Umeshasema sheria imeainisha kwamba Mkaguzi wa hesabu za serikali anatakiwa akague, je alienda kukagua? Kama hakufanya hivyo huyo mkaguzi ndiye awajibike katika hilo, vyama havina makosa kwa vile ni jukumu la mkaguzi. Acheni siasa na itikadi, hii kesi ikipelekwa mahakamani itamtokea puani mkaguzi wa serikali na serikali yek.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kama sijakuelewa vema kwenye bandiko lako... Unamanisha kuwa CAG ndio mwenye mamlaka ya kukagua mahesabu ya hela yote ya umma... Natamani kujua zaidi,ni nani kati ya vyama na CAG anatakiwa kuwajibika kwenye sakata hili? Kwanini awajibike? Majibu hayo yatanipa mwanga wa nani anasema ukweli kati ya Kamati(Zitto) na Vyama...

Ni kazi ya CAG kufanya ukaguzi, unless aseme alizuiliwa na CDM kufanya hivyo
 
Sio msimamo wa chadema. Ndio sheria inasema hivo na Mwanaukweli amesha tufafanulia. Sema chadema wameamua kuunga mkono sheria. Bahati mbaya sikuona hiyo taarifa huku hakuna umeme. Kama walisema hivo basi my assumption kua hawajui sheria is correct maana hawawezi kupendekeza kitu ambacho tayari ni sheria na kusema eti ndio mapendekezo ya chama. Si waseme tu kua chama kinapendekeza sheria iwe applied. Nani alisema hapo itv? Soma sheria kwanza:

18A. Notwithstanding the provisions of sections 14 and 18, every political party receiving subvention in accordance with this Act shall, not later than 3151 October every year, submit to the Registrar financial statements and audited accounts reflecting any other source of funds and details regarding the manner in which such funds were used." (became law in 2009)
...sasa hapo tatizo lako ni nini dada. Zitto aliishia kwenye ruzuku wao wakamkumbusha sheria yote, bado hutaki tu?
Hebu turudi kwenye katiba mpya sasa.
 
Nani anakumbuka 'tulivyowatukana' akina 'Mzee wa Upako' kwa kupinga kukaguliwa mahesabu ya makanisa yao??!! Kwanini leo tunataka kufanya kosa hilo hilo?
 
Mwali , hivi kwanini uakuwaga Kimyaaaaaa, Yakijaga Mambo ya Zitto na wewe huyooo.
Binafsi hata kama unakuwaga na Point lakini based on this, Huwaga najikuta tu naenda Kinyume na wewe.
Niwie Radhi kwa hili lakini
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ben Saanane
Swala hapa sio siasa hatutaki maneno tu. Jana nilisikiliza kwa makini na nimesoma sehemu mbali mbali. Na nimegundua kuwa kuna madudu mengi sana kwenye vyama vya siasa wanatumia vibaya pesa zetu.
Ninawaomba tumwache Zitto afanye kazi yake.

Katika yale niliyosoma nimegundua kuwa:- Vyama vya siasa wanatafuta mkaguzi wao wenyewe halafu anathibitishwa na CAG. Kwa mujibu wa suala hili CDM hawajafanya hivyo nivyama viwili tu vilivyo fanya hivyo ni TLP na CCM.

Lakini hata vivyo TLP na CCM pamoja na mkaguzi wao kuthibitishwa na CAG hawajapeleka ukaguzi wa hesabu zao.


Sasa nikuulize Ben na unijibu je CDM hawanakosa? na kwanini sasa wasikaguliwe na CAG kwa sababu wameshindwa kutafuta mkaguzi wao wenyewe?

CDM wanasema hawana pesa za kumlipa mkaguzi!!!! Zitto aliwajibu hapo wana bwabwaja kikundi kidogo cha Tumbaku kinakuwa na mkaguzi iweje wao?

Tuache mahaba na vyama yanapokuja mambo serious ya pesa zetu tunazokatwa kwenye kodi (PAYE).

Pamoja na kumtaja Zitto kwenye bandiko lako ukitaka aachwe afanye kazi yake,napata impression kwamba watu wengi wanamsifia Zitto kwenye hili,lkn amini amini nawaambieni,hapa bosi wangu Zitto,naibu katibu mkuu,hakuna anachowaambia watanzania,kwa walio makini bado hajaji-exonarate from mistake.yeye ni mtendaji ktk chama,je gakuwahi kuliona hilo kwenye chama anachokiongoza?iweje akae kimya kwa muda wote huo kama nia yake kweli ni kutetea maslahi ya umma?au jambo hili pamoja na umuhimu wake ktk kujua matumizi ya fedha za walipa kodi,lkn ana maslahi nalo binafsi?let us think twice.
 
Pamoja na kumtaja Zitto kwenye bandiko lako ukitaka aachwe afanye kazi yake,napata impression kwamba watu wengi wanamsifia Zitto kwenye hili,lkn amini amini nawaambieni,hapa bosi wangu Zitto,naibu katibu mkuu,hakuna anachowaambia watanzania,kwa walio makini bado hajaji-exonarate from mistake.yeye ni mtendaji ktk chama,je gakuwahi kuliona hilo kwenye chama anachokiongoza?iweje akae kimya kwa muda wote huo kama nia yake kweli ni kutetea maslahi ya umma?au jambo hili pamoja na umuhimu wake ktk kujua matumizi ya fedha za walipa kodi,lkn ana maslahi nalo binafsi?let us think twice.
Nikuulize maswali.
1. Je unataka Zitto akae kimya kwa sababu yeye ni katibu msaidizi wa CHADEMA?
2. Je unajuaje kama Zitto jitihada zake ndani ya kukinusuru chama hazijazaa matunda?
3. Je nani unataka nani aseme sasa kuhusu ubadhilifu wa pesa zetu ndani ya vyama vya siasa?
4. Je Zitto kaongea uongo au kweli?

Ukinijibu maswali hayo nitakuona wewe ni GT.
 
Nikuulize maswali.
1. Je unataka Zitto akae kimya kwa sababu yeye ni katibu msaidizi wa CHADEMA?
2. Je unajuaje kama Zitto jitihada zake ndani ya kukinusuru chama hazijazaa matunda?
3. Je nani unataka nani aseme sasa kuhusu ubadhilifu wa pesa zetu ndani ya vyama vya siasa?
4. Je Zitto kaongea uongo au kweli?

Ukinijibu maswali hayo nitakuona wewe ni GT.

Zitto hana uwezo wa kufikiri na kutime mambo yake propaganda zake kila siku zimemuangusha vibaya sana kila mtu anajua target yake ni kuichafua chadema sasa unaona wewe unasema jitihada za kunusuru chama hazijaa matunda who is Zitto kati ya wananchama wa chadema na wafuasi wao nchi nzima iwe yeye as a single person anusuru chama tulijua tu at the end of the day kwa jinsi alivyo na panic atakuja na matusi saa hizi kasha anza kumnanga Dr Slaa jioni atakuja na Mbowe wenziwe wanamfahamu ,Kuhusu kusemea ubadhirifu wa fedha za umma bila kuwa na vielelezo hizo ni propaganda za kuchafua chama chake na hili limeshajulikana kwa sababu mjadala sasa umegeuka ameuspin ameuelekeza uwe kati yake na chadema huu ni unafiki na uzandiki kiongozi unayesimamia maswala ya nchi huwezi kuwa kiwavi wa kula kitunga chako kama anadhani atamshushia mtu credibility kwa kweli kajishua kwa sababu yuko kwenye hizo kamati za mashirka ya umma na ukaguzi wa mahesabu ya serikali miaka mbona alinyamaza leo kwa nini katumwa na usalama kushusha hadhi ya chama chake kuhusu katiba hasemei kitu huyo ni mumiani wa demokrasia nchini ,Zitto kaongea uongo na ni muongo kwa sababu hana evidence tunaona anatuonyesha mahesabu ya tanesco yamegongwa muhuri wa CAGlakini hatuelezi CAG kwa nini hajakagua mahesabu ya hivyo vyama yeye sasa kama anavyotumiwa siku zote anataja chama chake tu wakati yeye ni sehemu ya maamuzi ya chama hicho tatizo la akili ya zitto
 
Mwali , hivi kwanini uakuwaga Kimyaaaaaa, Yakijaga Mambo ya Zitto na wewe huyooo.
Binafsi hata kama unakuwaga na Point lakini based on this, Huwaga najikuta tu naenda Kinyume na wewe.
Niwie Radhi kwa hili lakini
hahaha Mkuu kuna kitu nimekusoma hapa between lines
 
Inamaana chadema ndio chama pekee ambacho hakijakauliwa au chadema ndio habari ya mjini ka
 
Back
Top Bottom