Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
- Thread starter
- #61
...Umeangalia taarifa ya habari ya ITV jana usiku? CHADEMA wamesema CAG asiishie kwenye hela za ruzuku akague pesa zote! I hope UMEELEWA SASA msimamo wa CHADEMA.
Sio msimamo wa chadema. Ndio sheria inasema hivo na Mwanaukweli amesha tufafanulia. Sema chadema wameamua kuunga mkono sheria. Bahati mbaya sikuona hiyo taarifa huku hakuna umeme. Kama walisema hivo basi my assumption kua hawajui sheria is correct maana hawawezi kupendekeza kitu ambacho tayari ni sheria na kusema eti ndio mapendekezo ya chama. Si waseme tu kua chama kinapendekeza sheria iwe applied. Nani alisema hapo itv? Soma sheria kwanza:
18A. Notwithstanding the provisions of sections 14 and 18, every political party receiving subvention in accordance with this Act shall, not later than 3151 October every year, submit to the Registrar financial statements and audited accounts reflecting any other source of funds and details regarding the manner in which such funds were used. (became law in 2009)
Last edited by a moderator: