CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

Mi sijasema kua kosa ni la chadema. Nimesema tu Chadema haijakaguliwa. Kaka wewe ni msomi naomba urejee kipengele #14 na unambie kama chadema walifuata hiyo sequence.

Tatizo ni kua over defensive, people end up missing on opportunities. Chadema ipo ahead of all other parties in this matter, but wamekwama katika kujitetea kua wamekaguliwa. Wakubali tu kua hawajakaguliwa ila wanaomba ukaguzi uje haraka kwao na kwa vyama vingine. Then wapeleke hii agenda bungeni. Kwani kuna ubaya gani kufanya hivo?

14. -(1)-Every political party which has been fully registered shall—-a) maintain proper accounts of the funds and property of the party;-b)-submit to the Registrar-–“(i) an annual statement of the account of the political party-audited by the Controller and Auditor-General-and the report of the account.” (This became law in March, 2009)ii) an annual declaration of all the property owned by the party.(2) The Registrar, after inspecting any accounts or report submitted pursuant to this section may, for the benefit of the members or the public, publish any matter relation to the funds, resources or property of any party or the use of such funds, resources or property.(3)-The Registrar shall publish in the official Gazette, an annual report on the audited accounts of every party.
...Umeangalia taarifa ya habari ya ITV jana usiku? CHADEMA wamesema CAG asiishie kwenye hela za ruzuku akague pesa zote! I hope UMEELEWA SASA msimamo wa CHADEMA.
 
Naomba jambo hili liwekwe wazi je ni CAG kupewa hesabu hizo akague ama Msajili kupewa hesabu hizo ili aziwasilishwe kwa CAG. Ikumbukwe kuwa ofisi ya Msajili ndiyo Ofisi ya Serikali yenye dhamana ya kulea vyama kama Trustes ambapo atahakikisha kila Chama kimewasilisha Hesabu zake kwa wakati na kama wameshindwa kufanya hivyo je ni hatua gani msajili amechukua kwa mujibu wa sheria. Pia Napata taabu kuwa CAG yeye kwenye taarifa yake ya mwaka amesemaje kuhusiana na Hesabu za vyama kwani PAC inajadili Taarifa ya CAG. kwakuwa vyama vina vyanzo mbalimbali vya mapato je sharia hiyo iko wazi kuhusu kipi kiwasilishwe kwa ukaguzi je ni ruzuku tu pekee inayotakiwa kukaguliwa ama hesabu zote hata za wafadhili wengine. Mhe Zitto Hebu nipe ufumbuzi huo huenda umenunukuliwa vibaya.Nasema hivyo ikizingatiwa kuwa hesabu sahihi za vyama ndizo zinazopaswa kukaguliwa na sio ruzuku pekee. Wadau wasiasa tunataka uwazi ushabiki pembeni
 
Kama CAG ameshindwa kukagua sioni tatizo kwa Chadema kuamua kuchagua Auditor ili kukaguliwa maana hiyo haizui CAG kukagua pale atakapotaka.

Ukaguzi unafaida kwa taasisi yoyote na CAG asipokagua mkaamua pia kutotaka kujua status yenu halisi hilo nalo ni tatizo.Lakini kimsingi Msajili anapaswa kupokea Financial Statement zilizokaguliwa na CAG.
Point ni kwamba msajili anataka vyama vikague kwa kutumia gharama zao na vyama havitaki kwa kua sheria inatka CAG ndo akague. sasa hapa tujiulize je msajili anavyoeenda kukagua halmashauri za wilaya au mashirika ya Umma nani analipia gharama za ukaguzi?
 
Kinachonikera ni wale wanaojifanya siku zote wana uchungu na nchi na huchukia UFISADI wa fedha za UMMA wako mstari wa mbele kuhalalisha uharamia huu wa vyama vya siasa! Huu ni unafiki, undumilakuwili na upuuzi first class!

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai. Lengo kuu la Chadema ni kupata fursa ya kushika dola ili watafune mali ya umma.
 
Hili swala CCM hawawezi kulichokonoa sana maana wanajua outcome yake na huwezi kuwaona wakishadadia hii thread.
 
Kwa mujibu wa barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa:

1.
Vyama vilivyowasilisha hesabu zilizokaguliwa kwake kuwa ni CHADEMA na NCCR-Mageuzi tu.

2.
CUF waliwasilisha hesabu kwa msajili bila kukaguliwa.

3.
CCM, TLP, APPT- Maendeleo, UDP na DP havikuwasilisha hesabu zao kabisa.
Mwali unazifahamu hizi facts? Any comments.
bado hapo barua haijaeleza ni ukaguzi wa mwaka upi ndo walipeleka, kama unacho hicho kipengele hebu kiweke haya mahesabu yaliokaguliwa ni ya mwaka upi? maana unaweza kuta labda ni ya mwaka 2008 hiyo report
 
Point ni kwamba msajili anataka vyama vikague kwa kutumia gharama zao na vyama havitaki kwa kua sheria inatka CAG ndo akague. sasa hapa tujiulize je msajili anavyoeenda kukagua halmashauri za wilaya au mashirika ya Umma nani analipia gharama za ukaguzi?

CAG hapewi fungu la ukaguzi vyama vya siasa kwa manufaa ya CHAMA CHA MAPINDUZI! Zitto lazima ukaguzi ufanyike komaa nao hawa.
 
Last edited by a moderator:
bado hapo barua haijaeleza ni ukaguzi wa mwaka upi ndo walipeleka, kama unacho hicho kipengele hebu kiweke haya mahesabu yaliokaguliwa ni ya mwaka upi? maana unaweza kuta labda ni ya mwaka 2008 hiyo report
Hesabu za mwaka wa fedha zilizokaguliwa za miaka yote ya nyuma na 2009/2010, 2010/2011 na 2011/2012 zilishawasilishwa kwa msajili wa vyama vya siasa.
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai. Lengo kuu la Chadema ni kupata fursa ya kushika dola ili watafune mali ya umma.
Daktari wa binadamu anayeshinda mitandaoni ndie mlaghai mkubwa.
 
Muhusika mkuu yupo hapa, ila hathubutu kutia neno kwa sababu anajua makosa yake.

Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
 
Kwa mujibu wa barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa:

1.
Vyama vilivyowasilisha hesabu zilizokaguliwa kwake kuwa ni CHADEMA na NCCR-Mageuzi tu.

2.
CUF waliwasilisha hesabu kwa msajili bila kukaguliwa.

3.
CCM, TLP, APPT- Maendeleo, UDP na DP havikuwasilisha hesabu zao kabisa.
Mwali unazifahamu hizi facts? Any comments.

Ndio nimesoma magazetini ila swali langu ni: ukaguzi huo uliendeshwa na nani? Maana mkaguzi ni CAG na anasema hajakagua chama hata kimoja. Inamaana ni internal audit na sio audit inayo pendekezwa na art 14. Au?
 
Muhusika mkuu yupo hapa, ila hathubutu kutia neno kwa sababu anajua makosa yake.

Slaa ni mwanasiasa mlaghai...

Mlaghai or not, lakini Dr Slaa amekuwa na ujasiri kuwa hapa jamvini na hata kutoa michango. Ingekuwa vema kama mataktibu wa vyama vingine vya siasa wangefanya hivyo, starting with ndugu Kinana, au vipi?
 
Mwali, ina maana bado ulikuwa una-doubt kauli ya Zitto? Yaani kabisa ulitarajia CHADEMA au CCM wawe wamekaguliwa na CAG wakati hata hiyo internal audits yenyewe ni obvious itakuwa imefanyika kimagumashi huku ikiwa imejaa stakabadhi za magumashi tupu!!! Nina uhakika kwa 100%, ukienda ofisi za CCM, CHADEMA na CUF huko kuna vitabu kibao vya stakabadhi ambavyo hutumika kufanyia magumashi yao.
 
Last edited by a moderator:
Mlaghai or not, lakini Dr Slaa amekuwa na ujasiri kuwa hapa jamvini na hata kutoa michango. Ingekuwa vema kama mataktibu wa vyama vingine vya siasa wangefanya hivyo, starting with ndugu Kinana, au vipi?

Umeshasahau mara hii kuwa Slaa amesema kuwa JF ni mtandao wa uzushi na majungu? Hii ni baada ya ufisadi wake kujadiliwa hapa JF.

Siku hizi hachangii tena, amekuwa msomaji tu. Zitto kavumilia kashindwa, sasa anataka hesabu za chadema zikaguliwe kitaalam sio kimagumashi.
 
Kinachonikera ni wale wanaojifanya siku zote wana uchungu na nchi na huchukia UFISADI wa fedha za UMMA wako mstari wa mbele kuhalalisha uharamia huu wa vyama vya siasa! Huu ni unafiki, undumilakuwili na upuuzi first class!

Kwa maana nyingine hawa ndugu wanamaanisha kuwa ufisadi ukifanywa na CHADEMA ni sawa!
 
Ndio nimesoma magazetini ila swali langu ni: ukaguzi huo uliendeshwa na nani? Maana mkaguzi ni CAG na anasema hajakagua chama hata kimoja. Inamaana ni internal audit na sio audit inayo pendekezwa na art 14. Au?

Ukaguzi wa hesabu za Chadema unafanywa na Mtei Auditing Company Ltd.
 
Back
Top Bottom