CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

Nadhani haya ndio masuala ya msingi. Kwa nini CAG hajakagua mahesabu hayo wakati yapo? Kanuni zinasemaje kama CAG hajakagua/ameshindwa kukagua? Chama ambacho mahesabu yake yanatakiwa kukaguliwa, kinatakiwa kufanya nini (kwa mujibu wa kanuni) endapo CAG ameshindwa kukagua mahesabu yake kwa wakati? Kwa mujibu wa kanuni, ni muda gani CAG amepewa kukagua mahesabu na kutoa report yake?

Mkuu umeuliza maswali ya msingi sana. Tukipata majibu yake basi ndipo tutajua kwa uhakika nano hakutekeleza wajibu wake na anapaswa kuwajibika.
 
Mwanaccm Mwali naona unachanganya soasa za majitaka na ukweli.
Kama unatambua kuwa CAG ndiye anapaswa kuvikagua vyama vya siasa for this case Chadema, Una taarifa yoyote kwamba alimtuma mkaguzi toka ofisini kwake AMA alimteua mkaguzi(outsource) lakini Chadema wakakataa jumps ushirikiano?

Kama wamewwka wazi ripoti Yao ya fedha hats kama haijakaguliwa na CAG kwanini CAG labda na msajili wasianzie halo na kuonyesha mapungufu kama yapo?
Mwali hivi unafikiri unaweza kuinasua ccm na kadhia hii kwa kujaribu kuipaka matope Chadema? Na wananchi wanataka CAG akague fedha tote asioshie kukagua ruzuku peke take, na kwahakika ndivyo sheria ya vyama vya siasa inavyotaka less yoyote inayopokelewa na chama cha siasa lazima ikaguliwe.

Hahahaha kaka Mwita mbona unanidhania vibaya? CCM wakikosea hua nasema pia, ila kwa vile wewe na kaka yangu Matola mnasauti kubwa zaidi nawaachia jukwaa nikiamini ujumbe utawafikia.
Mi sijaleta hii thread kwa kuipaka chadema matope. Wakiwa wachafu nitasema, ila leo sio wachafu. Leo Chadema imetumia nusu umweli na kutaka kuufanya kua ukweli kamili.
Ukweli ni kwamba wamepiga hatua ya kwanza ya ukaguzi ila bado hatua nyingi. Nilitaka kuflag haya, halafu kwa pamoja tujiulize yepi yafanyike.
Ona great thinkers kina SMU na King'asti wameuliza maswali endelevu kabisa, bila ushabiki wowote.
 
Last edited by a moderator:

Dada Mwali wewe mwenyewe ndiye ulijitambulisha hivyo kwahiyo usiogope kutetea kile unachokiamini kwahiyo usikimbie kabla hujajibu maseali ya King'asti na SMU
 
Last edited by a moderator:
Mwali,

Hoja yako inazua maswali kadhaa:

1. Msajili wa vyama vya siasa alishapokea hesabu za chama chochote cha siasa, kipi na lini?

2. Both CCM na CHADEMA wamejibu kupitia media, yeye Msajili anasema nini kuhusu mahesabu ya hivi vyama viwili, na hasa CHADEMA ambao wametoa reference ya barua waliyowasilisha?

3. Kama Msajili anatakiwa kupokea 'audited' report, ilikuwaje akakubali kupokea (according to what you wrote) 'un-audited' report? Na alifanya nini alipogundua kuwa mahesabu hayajawa audited?

4. Na kama CAG anatakiwa ku-audit mahesabu ya vyama vya siasa vinavyopata ruzuku, ni kwanini hajafanya hivyo, na nani alumiwe?

5. Zitto na kamati yake walishawasiliana na ofisi ya msajili kujua ni kitu gani kimewasilishwa huko, lini na katika hali gani (kama mahesabu yako audited au la)?
 
Mwali naomba uwe unakuja na huku sio kuchungulia tu alafu uanrudi kulee,
point zako nimezikubali
 
Last edited by a moderator:
Dada Mwali wewe mwenyewe ndiye ulijitambulisha hivyo kwahiyo usiogope kutetea kile unachokiamini kwahiyo usikimbie kabla hujajibu maseali ya King'asti na SMU

Nijibu nini sasa? Hayo maswali hata mimi najiuliza. Hoja yangu haijakaa kwenye maswali (ila nimependa sana maswali haya na nategemea maswali kama haya kuulizwa na kujibiwa). Hoja yangu ni kua Chadema haijakaguliwa, tofauti na watu humu JF wanavyo taka kutuaminisha.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...

Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.

Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:

-Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
-Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.

Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media.

But a fact is a fact: Chadema hawajakaguliwa. Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi... au mimi sijui kidhungu???

Nakubaliana na wewe kuwa CHADEMA hawajakaguliwa kwa hiyo naomba tuulizane mimi na wewe maswali haya
1. Kisheria Mkaguzi ni CAG je aliwajibika katika hilo kwenda kukagua mahesabu katika taasisi hiyo?
2. Kama ofisi ya CAG haikwenda kukagua mahesabu hayo ulitaka CHADEMA wafanye nini? kwani si wajibu wao kumfundisha kazi CAG.

Tuache longolongo za kushambulia vyama vya siasa wanaotakiwa kulaumiwa na hata kuwajibishwa ni CAG na ofisi ya Msajili wa vymama vya Siasa kwani wao ndio wameonyesha Uzembe.
 
Ccm ndio kabisaaaaa, hata internal audit sijui kama ipo.
Mi sijasema kua kosa la kukaguliwa au kutokaguliwa ni la chadema. Ila ninachosema ni kwamba chadema wasiseme wamekaguliwa wakati hawajakaguliwa. Waseme kua wako tayari kw ukaguzi wakati wowote.
Taarifa wanazo leta kukanusha kauli ya kutokaguliwa zinazidi kuoneaha namna ambavyo hawajakaguliwa.
Wapi CDM wamesema kua wamekaguliwa na CAG? mbona unapindisha mambo? Walichosema ni kua wao hesabu zao zipo vizuri sijasikia popote pale wamesema wamekaguliwa na kwa kufuata sheria, nilichomsikia komu jana ni kua CAG alitaka chadema watumie mkaguzi mwingine kwa gharama zao na CDM hawataki hii kitu kwa kua sheria inasema kua CAG ndo anatakiwa akague, kwa hiyo KOMU akasema toka wakati huo hawajakaguliwa na CAG ila awanatumia wakaguzi wao wa ndani kufanya ukaguzi.
 
Mimi bado naendelea kusisitizi tanzania hatuendelei kwa sababu ya watu kutotii sheria na ukosefu wa uwajibikaji.....hili soo mtaona litakavyomalizwa kipinda pinda!
 
Mwita Maranya haya mambo waachie wataalamu wewe nenda mtaa Ufipa ukahesabu misukule iliyosaini leo katika kitabu cha mahudhurio
 
Mwali,

Hoja yako inazua maswali kadhaa:

1. Msajili wa vyama vya siasa alishapokea hesabu za chama chochote cha siasa, kipi na lini?

2. Both CCM na CHADEMA wamejibu kupitia media, yeye Msajili anasema nini kuhusu mahesabu ya hivi vyama viwili, na hasa CHADEMA ambao wametoa reference ya barua waliyowasilisha?

3. Kama Msajili anatakiwa kupokea 'audited' report, ilikuwaje akakubali kupokea (according to what you wrote) 'un-audited' report? Na alifanya nini alipogundua kuwa mahesabu hayajawa audited?

4. Na kama CAG anatakiwa ku-audit mahesabu ya vyama vya siasa vinavyopata ruzuku, ni kwanini hajafanya hivyo, na nani alumiwe?

5. Zitto na kamati yake walishawasiliana na ofisi ya msajili kujua ni kitu gani kimewasilishwa huko, lini na katika hali gani (kama mahesabu yako audited au la)?

Kaka yangu mimi na wewe tunafuatilia huu mjadala online. Hadi sasa nilicho soma ni kwamba:
1. Sijui kuhusu msajili ila CAG ndie anatakiwa kufikisha audited report na CAG anasema hajakagua chama chochote. Kwa hiyo ripoti zilizo (au zisizo) kwa msajili ni barua za kawaida tu fyi ila sio ripoti za ukaguzi

2. Tunamsubiri msajili. Si unajua tena mambo ya soap opera wanakata pale panapo noga. Usikose toleo lijalo

3. Refer to point 2 hapa juu

4. Anasema hakufanya hivo sababu hana budget. Na hana budget sababu haikupitishwa bungeni. Na haikupitishwa bungeni kwa sababu tusizo zijua. Could it be because wabunge are elected kwa kutumia pesa za ruzuku??? Na hao hao wabunge ndio wanao takiwa kuvote the budget for the audits? Tafakari kaka yangu

5. Kamati ya PAC inawasiliana na CAG kujua what was audited maana CAG ndio anae fanya audit. Chochote kilichopo kwa msajili ni nil kama hakikupita kwa CAG na CAG anasema hajakagua chama HATA KIMOJA (but kuna vyama vimepiga hatua ya kwanza which is internal audit).

Bila kuuliza maswali haya wengi watadhani everything is running smoothly. Ni lazima maswali yaulizwe na tujue nani anaunga mkono audit na nani anapinga.
 
Tatizo ni kua over defensive, people end up missing on opportunities. Chadema ipo ahead of all other parties in this matter, but wamekwama katika kujitetea kua wamekaguliwa. Wakubali tu kua hawajakaguliwa ila wanaomba ukaguzi uje haraka kwao na kwa vyama vingine. Then wapeleke hii agenda bungeni. Kwani kuna ubaya gani kufanya hivo?

Mwali unaweza kuniambia wapi Chadema wamesema wamekaguliwa na CAG?
 
Kuna kila sababu kwa sasa CAG akaongezewa uwezo kwa maana ya watumishi na vitendea kazi! CAG anategemewa kukagua serikali kuu, halmashauri za wilaya na miji, mashirika ya umma na taasisi zingine nyingi za serikali! Huu ni mzigo mkubwa!

Mara nyingi nimekuwa nikitilia shaka utendaji wa taasisi hii na hoja zinazotolewa baada ya ukaguzi! Hivyo katika kipindi hiki ambacho uwezo wa CAG bado mdogo ni budi zikateuliwa kampuni binafsi nyingi ili kazi ya ukaguzi iwe unafanyika kwa wakati.

Hivyo nashauri CAG aache kukumbatia kazi zote!!
 
twendeni polepole watu watatia aibu mpaka wakimbiane mda siyo mrefu.
 
FACT: Chadema haijakagiliwa, vyama vingine vyooote vimekaguliwa
 
Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...

Sheria inataka CAG akague hizo hesabu KABLA hazijamfikia msajili. Amekagua? Chadema wanafanya kazi kwa mazoea. Sheria ya zamani ndio inasema chama kitapeleka kwa msajili wakati sheria ya sasa inasema CAG kwanza kisha msajili.

Turejee sequence ya ukaguzi wa pesa za ruzuku:

-Kwanza mkaguzi wa chadema kathibitishwa na CAG? Ni nani mkaguzi huyu? Hayupo.
-Pili, sheria inasema Msajili anapelekewa audited accounts. CAG is the auditor. CHADEMA is the auditee. How comes chadema wapeleke kwa msajili wakati CAG hajawapa mkaguzi.

Kwa hiyo barua walio peleka kwa msajili ni sawa na barua yoyote tu, sio audited account inayo takiwa kwa mujibu wa kanuni. Wanaweza kujiandikia chochote tu humo. Hiyo barua haina thamani kwa mujibu wa sheria hii, ila wanaweza kuitumia internally ndani ya chama wakitaka, au wanaweza kuzitumia magazetini na social media.

But a fact is a fact: Chadema hawajakaguliwa. Hizi taarifa za Chadema zina chumvi na sukari. Ila chumvi ndio nyingi... au mimi sijui kidhungu???

Naunga mkono harakati za zitto juu ya hiyo sheria

Naunga mkono sababu wananchi wataenda kujua mapato na matumizi ya kila chama, rasilimali ilizonazo.

tuna mengi ya kuhoji baadaye, na pia tutapunguza maswali flani ya kipuuzi

CCM wana vyanzo vingi vya mapato, je binatumikaje?

Chadema wanapokea michango kupitia kampeni ya M4C, je? Zinatumikaje

uwiano wa mishahara ya viongozi wa vyama, na je kwa nini huyu analipwa hivi na kwa nini yule haipwi vile

Naiona hoja ya msingi isiyohitaji ushabiki, kama tulivyoungana kuipigania katiba kwa maslahi ya wananchi, inatupasa tuungane kujua hizi bilions za ruzuku na mapato mengineyo ya chama yanaingiaje na yanatokaje

Thanks
 
Kama CAG ameshindwa kukagua sioni tatizo kwa Chadema kuamua kuchagua Auditor ili kukaguliwa maana hiyo haizui CAG kukagua pale atakapotaka.

Ukaguzi unafaida kwa taasisi yoyote na CAG asipokagua mkaamua pia kutotaka kujua status yenu halisi hilo nalo ni tatizo.Lakini kimsingi Msajili anapaswa kupokea Financial Statement zilizokaguliwa na CAG.
 
Kwa mujibu wa barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa:

1.
Vyama vilivyowasilisha hesabu zilizokaguliwa kwake kuwa ni CHADEMA na NCCR-Mageuzi tu.

2.
CUF waliwasilisha hesabu kwa msajili bila kukaguliwa.

3.
CCM, TLP, APPT- Maendeleo, UDP na DP havikuwasilisha hesabu zao kabisa.
Mwali unazifahamu hizi facts? Any comments.
 
Naunga mkono harakati za zitto juu ya hiyo sheria

Naunga mkono sababu wananchi wataenda kujua mapato na matumizi ya kila chama, rasilimali ilizonazo.

tuna mengi ya kuhoji baadaye, na pia tutapunguza maswali flani ya kipuuzi

CCM wana vyanzo vingi vya mapato, je binatumikaje?

Chadema wanapokea michango kupitia kampeni ya M4C, je? Zinatumikaje

uwiano wa mishahara ya viongozi wa vyama, na je kwa nini huyu analipwa hivi na kwa nini yule haipwi vile

Naiona hoja ya msingi isiyohitaji ushabiki, kama tulivyoungana kuipigania katiba kwa maslahi ya wananchi, inatupasa tuungane kujua hizi bilions za ruzuku na mapato mengineyo ya chama yanaingiaje na yanatokaje

Thanks
Mkuu hapa jinsi hoja ilivyoletwa ni kweli kua tunahitaji kujua pesa zetu walipa kodi zinatumika vipi lakini mi naona kama tunazunguka tu hapa, Zitto alikua anajua kabisa kua vyama havikaguliwi sasa nashindwa kuelwa kwa nini anakomalia vyama vifuate sheria bila kumkomalia CAG nae afuate sheria? Sheria inamtakaa CAG akague mahesabu ya vyama na sheria inawataka vyama vya siasa kupeleka mahesabu yaliokaguliwa kwa msajili wa vyama. kwa nini kelele zinapigwa kwa vyama kutopeleka mahesabu badala ya kupiga kelele kwa nini CAG hakagui hayo mahesabu? kama hakuna Siasa hapa kuna nini? hebu liangalie hili?
 
Back
Top Bottom