CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

Habari yako bana! Rev Masanilo aina majotooooo!! Unanikumbusha ile stori ya Nyerere na Kawawa!! Ahahahaha!!
Nilitoka kidogo kwenye forum nilikuwa nasikiliza muhadhara wa waislamu hapa mtaani, kwakweli huwezi kuamini kile anachokiongea muhadhili mkuu wa huu muhadhara.
Kwanza anawalaumu maimamu baadhi sio wote, kwamba mateso wanayopata leo Watanzania ni matunda yao ya kuwadanganya waislamu kwamba wampigie kure Kikwete eti kwa sababu ni muislamu mwenzao, huku wakijuwa wanakwenda kinyume na koran, kwani koran hairuhusu mtu anadondoka dondoka ovyo kupewa uongozi, na koran inawaelekeza waislamu wanapotaka kiongozi lazima wazingatie yule mwenye elimu zaidi na ambaye afya yake haina mgogoro.
Nimeupenda sana huu muhadhara wa leo, kumbe masheikh wana uelewa mkubwa sana ila wanaangushwa na masheikh ubwabwa.
 
Kijana mbona unaweweseka na mimi? unadhani mimi kutokuwepo hapa JF kwa kitambo unadhani hii ni multi ID ya mtu mwingine? wewe kama huna shughuli za kufanya ndio utakaa hapa JF 24/7. mimi ni mtu mzima na nina familia inahitaji nitoe huduma na sio kuja kutumiwa na wanasiasa hapa JF.So watch ur mouth.
Ebu angalia unavyojitetea kinyonge, eti una familia inahitaji utoe huduma unanyonyesha? Rev Masanilo bana!!
 
Nilitoka kidogo kwenye forum nilikuwa nasikiliza muhadhara wa waislamu hapa mtaani, kwakweli huwezi kuamini kile anachokiongea muhadhili mkuu wa huu muhadhara.Kwanza anawalaumu maimamu baadhi sio wote, kwamba mateso wanayopata leo Watanzania ni matunda yao ya kuwadanganya waislamu kwamba wampigie kure Kikwete eti kwa sababu ni muislamu mwenzao, huku wakijuwa wanakwenda kinyume na koran, kwani koran hairuhusu mtu anadondoka dondoka ovyo kupewa uongozi, na koran inawaelekeza waislamu wanapotaka kiongozi lazima wazingatie yule mwenye elimu zaidi na ambaye afya yake haina mgogoro.Nimeupenda sana huu muhadhara wa leo, kumbe masheikh wana uelewa mkubwa sana ila wanaangushwa na masheikh ubwabwa.
Utajijua wewe na Kikwete wako! Rev Masanilo nani kakuambia mimi CCM? Ahahahaha! Niazime basi ID moja jamani niwe nagongea Thanks na Like
 
hapa umenena kabisa! Chadema ni kama kichwa cha mwendawazimu!
Nadhani kichwa cha mwendawazimu ni wewe pamoja na mleta mada coz inaonyesha mna support ujinga wa chama cha mafisadi(ccm)
 
Ebu angalia unavyojitetea kinyonge, eti una familia inahitaji utoe huduma unanyonyesha? Rev Masanilo bana!!
mimi sina la kujitetea kwa mtu mpuuzi kama wewe na hata kama unataka kuhakikisha mimi ni nani REPORT ABUSE kwa mods ndio watakuambia kama hii IP na ya huyo mchungaji anaekutia kiwewe ni moja?
Mimi niwe na ID zaidi ya moja kwa ajili ya nini? unadhani mimi nipo hapa kama kibaraka kama wewe unaelipwa kwa kuandika upupu hapa kila siku?
Ushauri wa bure: vijana tafute shughuli halali za kuwaingizia kipato hiyo kazi unayofanya wewe, baadae utakuwa na maisha magumu sana hapa duniani, jitume kwa bidii ukiwa bado una nguvu zako. utakuja kuyakumbuka haya maneno ninayokwambia sasa hivi.
 
Utajijua wewe na Kikwete wako! Rev Masanilo nani kakuambia mimi CCM? Ahahahaha! Niazime basi ID moja jamani niwe nagongea Thanks na Like

Wewe ni mpuuzi sana aisee!
 
Wewe ni nouma yaani unajijibu posts zako!
Mkuu, Sokomoko,Ujue nilikuwa nafikiria muda mwingi sipati jibu humu JF, Yaani unakuta mtu ni bingwa wa kuandika pumba halafu anagongewa Thanks nyingi ukiangalia profile yake utakuta thanks nyingi, kumbe anajigongea mwenyewe bana!!
 
Maana ya kalikenye huku kwetu, tunamaanisha ni mtu kama chizi fresh. Yaani mtu asiye eleweka.
 
mimi sina la kujitetea kwa mtu mpuuzi kama wewe na hata kama unataka kuhakikisha mimi ni nani REPORT ABUSE kwa mods ndio watakuambia kama hii IP na ya huyo mchungaji anaekutia kiwewe ni moja?Mimi niwe na ID zaidi ya moja kwa ajili ya nini? unadhani mimi nipo hapa kama kibaraka kama wewe unaelipwa kwa kuandika upupu hapa kila siku? Ushauri wa bure: vijana tafute shughuli halali za kuwaingizia kipato hiyo kazi unayofanya wewe, baadae utakuwa na maisha magumu sana hapa duniani, jitume kwa bidii ukiwa bado una nguvu zako. utakuja kuyakumbuka haya maneno ninayokwambia sasa hivi.
Ingorance is bliss!! Ahahah! Ngoja nikugongee Thanks
 
Mkuu, Sokomoko,Ujue nilikuwa nafikiria muda mwingi sipati jibu humu JF, Yaani unakuta mtu ni bingwa wa kuandika pumba halafu anagongewa Thanks nyingi ukiangalia profile yake utakuta thanks nyingi, kumbe anajigongea mwenyewe bana!!

Majuha wawili wanapoelekezana ujanja!
 
  1. Kila mtoto atakuwa na Laptop
  2. Umeme wa mgao utakuwa ni Historia
  3. Dodoma kutatengenezwa Ziwa na Meli kubwa italetwa
  4. Mwanza Itakuwa California
  5. Kigoma itakuwa Dubai
  6. Flyovers Dar es Salaam
  7. Ajila mpya kwa vijana Mil 2
  8. Bajaj kila kituo cha Afya
Inahitajika uwe taahira kama wewe ndipo utaelewa na kukubaliana na M.kwere
KASULU itakuwa kama Paris ya TZ. Umeme utakao toka Mto Malagalasi, wakubwa wa dunia walisema kuna viumbe wanaishi humo na wanathamani kuwashinda ninyi. Hivyo vuteni subira. JK said.
 
Habari yako bana!! Ahahaha! Log out rudi kwenye ID yake ingine then ujibu sisi tupo tu, Ahahaha

Nimeweka laptop na desktop so Im reponding in tandem! Id 2 zipo online
 
Back
Top Bottom