alexpeter0657
New Member
- Jun 11, 2011
- 3
- 0
hama kwel umekurupuka kaa chn ufkr,maana ungeangalia taarfa ya habar ya jana ucngeongea haya unayoongea na kuadika,ungemsikiliza mbowe na lema nafkr ungeelewa ucngeandika upuuzi huu!!!!!!!
da hicho kingereza ''i do not support neither party''"I thought hii ni forum ya the inteligent ones, kumbe ni forum ya Chadema, I do not support neither parties, Lakini what i see here ni Biasness, akiyukanwa wa ccm , wengi wamapiga vigelegel, Chadema ikiguswa kidogo MARUNGU MIKONONI. fOR YOUR INFORMATION Chadema has its short commings also. Yes wamekua na kigeugeu Arusha, na hatukubali kuharibiwa mji wetu"Huyu ni yule mbeba mbuzi mgongoni karudi na staili nyingine ya kutokuwa na chama. Jahazi la CDM linakata maji kwa kasi kuelekea magogoni!!
Teh! teh! teh! teh! teh!............Magamba yanapata stress!Nina ID 23 pamoja na niliyofungua leo! Saigon wewe ichue tu nakutumia password hapa hapa.......Username: Saigon, Password: Jakaya
Kijana mbona unaweweseka na mimi? unadhani mimi kutokuwepo hapa JF kwa kitambo unadhani hii ni multi ID ya mtu mwingine? wewe kama huna shughuli za kufanya ndio utakaa hapa JF 24/7. mimi ni mtu mzima na nina familia inahitaji nitoe huduma na sio kuja kutumiwa na wanasiasa hapa JF.Ahahahah!! Nikipata muda taipitia
Unaposema wamesema ni nani na nani? post za kifaruku hazikubaliki hapa jamvini.Leo wamesema bungeni posho ziongezwe mpaka ifike shs laki tano!
Kijana mbona unaweweseka na mimi? unadhani mimi kutokuwepo hapa JF kwa kitambo unadhani hii ni multi ID ya mtu mwingine? wewe kama huna shughuli za kufanya ndio utakaa hapa JF 24/7. mimi ni mtu mzima na nina familia inahitaji nitoe huduma na sio kuja kutumiwa na wanasiasa hapa JF.
So watch ur mouth.
Kuuumaaa-aanisha weeeewe eee!Leo wamesema bungeni posho ziongezwe mpaka ifike shs laki tano!
Kuuumaaa-aanisha weeeewe eee!
Wewe ndiye huaminiki na MAGAMBA wenzako mana zimebaki siku 9 za kujivua gamba na hakuna lolote,KAGODA,MELEMETA,DEEP GREEN,MINING DEVELOPMENT,RICHMOND,EPPA,vyote hivyo watu wa magamba nani atawaamini,ANGUKO LA CCM LIMETIA.Kwa Imani yangu nilijua watu wanaochambua siasa hasa matukio yanaendelea kujitokeza kuhusu mambo yasiyofurahisha ndani ya CCM ni watu wanaopenda mstakabali wa nchi yetu uende vizuri kumbe ni ile ya kipendacho roho ula nyama mbichi ile dogo la umeya wa Arusha mnashindwa kulijadili kwa kina mnaanza kejeli.
Kama mnapenda ustawi wa nchi kimeeni yote yajitokezayo bila kujali limetoka upande upi, km CDM imejichanganya katika hili tukubali hakuna haja ya kutoleana kashfa ama kwa HAKIKA KTK HILI CHADEMA HAWAAMINIKI, na linalonitia hofu zaidi mpaka washabiki wao wanaojifanya JF walizaliwa nayo au walituma maombi kwa njia ya posta HAWAAMINIKI PIA sababu hawapendi ukweli.
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Ahahahaha!! Nimecheka! Mbona unaangaika naona unaandika post halafu unajibu mwenyewe! Ahahahah! Rev Masanilo bana!!Hahahahaha Jamaa kiazi huyo! kanipachika ID ya Mchungaji Masanilo na ya Saigon, Kumkata ngebe nimempa kuwa nina ID 23, Kamikaze Tactics
Habari yako bana! Rev Masanilo aina majotooooo!! Unanikumbusha ile stori ya Nyerere na Kawawa!! Ahahahaha!!Kijana mbona unaweweseka na mimi? unadhani mimi kutokuwepo hapa JF kwa kitambo unadhani hii ni multi ID ya mtu mwingine? wewe kama huna shughuli za kufanya ndio utakaa hapa JF 24/7. mimi ni mtu mzima na nina familia inahitaji nitoe huduma na sio kuja kutumiwa na wanasiasa hapa JF.So watch ur mouth.
Sasa wewe na CHADEMA nani haaminiki? watu wengine bwana sijui mna matatizo gani..Acheni kuwa watumwa wa CCM na uchafu wake....