The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,551
- 20,346
Tutaishi kama tunavyoishi sasa. Sisi ni wazalendo tunataka chama kisonge mbeleKama unawaza kuziba nafasi za kazi pale chadema kisa ujobless basi hautakua tofauti na hao G55
Naunga mkono hoja kama alivyosema Wenje alunta continue...GT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu mtakapojirizisha wadudu.wote wameshaondoka.
Hawa wanaoondoka ndio waliokijenga chama. Wengi wana miaka zaidi ya 20 ndani ya chama. Acha uropokaji dogo chama sio sawa na harakati.GT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu mtakapojirizisha wadudu.wote wameshaondoka.
Hawajawahi kupata challenge kama sasa ndio maana wanajiumaumaHawa wanaoondoka ndio waliokijenga chama. Wengi wana miaka zaidi ya 20 ndani ya chama. Acha uropokaji dogo chama sio sawa na harakati.
GT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu mtakapojirizisha wadudu.wote wameshaondoka.
Hakuna mshahara. Upo tayari kufanya kazi kwa kujitolea?GT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu mtakapojirizisha wadudu.wote wameshaondoka.
ukijaribu kubomoa ulichokijenga ni kama kula kinyesi chakoHawa wanaoondoka ndio waliokijenga chama. Wengi wana miaka zaidi ya 20 ndani ya chama. Acha uropokaji dogo chama sio sawa na harakati.
Kama unakipenda chama unaondokaje kisa Kambi yako imeshindwa kwenye uchaguzi???Hawa wanaoondoka ndio waliokijenga chama. Wengi wana miaka zaidi ya 20 ndani ya chama. Acha uropokaji dogo chama sio sawa na harakati.
wanatumika kiboya sana! watafedheheka sana, soon!Kama unakipenda chama unaondokaje kisa Kambi yako imeshindwa kwenye uchaguzi???
Husikii wanavyotukanwa na yule matonya na mdudu wa Arusha. Kwa kifupi walioshinda bado wanaendeleza vita ya uchaguziKama unakipenda chama unaondokaje kisa Kambi yako imeshindwa kwenye uchaguzi???
Hawa wasaka ruzuku wako radhi kula vinyesi vyao.ukijaribu kubomoa ulichokijenga ni kama kula kinyesi chako
Hakuna kitu kama hicho, hakuna mtu aliyeshambuliwa kama lissu na Bado yupo...Husikii wanavyotukanwa na yule matonya na mdudu wa Arusha. Kwa kifupi walioshinda bado wanaendeleza vita ya uchaguzi
Amejibu vizuri sanaHawajawahi kupata challenge kama sasa ndio maana wanajiumauma
View: https://youtu.be/MD9OSzuQ9TE?si=EL2CsfetAY1i4FIK
Mimi niko tayari huku temeke.kuna maeneo mengine ni ya kujitolea. utakuwa tayari?
Amesema nini?Amejibu vizuri sana