CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

wewe mwenyewe unatuangusha mambo ya chama kuyaleta hapa kama vipi nawewe tukutimue
 
Speaker,
Nakubaliana kabisa na utaratibu wa kutoa adhabu ya kumfukuza mtu uanachama pale anapokiuka taratibu. Ninaamini pia kuhusu kuonya kwanza kabla ya kutoa adhabu hiyo. Ndio maana naamini kuwa, kutokana na uchanga wa Shibuda ndani ya chama na malengo ya chama kwa hv sasa, anastahili kupewa ONYO kwa sasa! Ni mtazamo wangu huu! Kwenye soka kuna kadi ya njano na nyekundu hata kama ni mechi ya kirafiki! Na refa ananafasi ya kuamua kulingana na alivyoona kosa lilivyofanyika aina ya adhabu ya kutoa. Ndio maana nasisitiza kuwa kamati iangalie kanuni, taratibu na katiba, kisha waangalie mkosaji na namna kosa lilivyofanyika ndio watoe maamuzi. Kwa maoni yangu wampe onyo kali tu kwa sasa!
 
Nyie CDM hamna ubavu wa kumfukuza Shibuda; maana mlipomchukua mlifikiri mmefanikiwa; lakini sasa akiwa ndani au nje ya CDM atawamaliza maana mmemeza ndoano. Hahaha! Tusubiri maana ndoa sasa imekuwa ndoano.
Tangu shibuda aingie cdm, alichukuliwa kwa tahadhari zote. Hivyo usitegemee atakuwa ana impact yoyote zaidi ya hicho kiti cha ubunge!
 
Zitto amepotoka kidogo kwenye hili, hamuwezi mkajenga chama chenye watu wenye mawazo sawa, utakapokuwa na chama cha upinzani na viongozi wake wakawa wanakubaliana kila wakati, fahamu kuwa chama hicho bado hakina wigo mkubwa wa kiuongozi,na kadri kitakavyoendelea kuwa hivyo ndivyo kinavyozidi kufunga milango kwa watu wengine kujiunga na chama hicho na hivyo kujifungia milango ya kuuonyesha umma mtandao mkubwa wa kiuongozi uliotayari kuchukua nchi...

Hii sio issue yenye hadhi ya kujadili kwenye kikao kikubwa kama cha kamati kuu, unless kama hawana vitu vya maana vya kuongelea so wameamua wauze chai tu...; ingetosha tu kupotezea kwa kusema msimamo wa chama ni kufutwa kwa posho zotejapo mbunge mmoja mmoja anaweza akawa na mawazo yake binafsi, unless kama kuna hoja nyingine kubwa kuliko hii na hili la posho linatumika tu kama kisingizio cha kumfukuza...
 
kama hyo ilikua ilani ya cdm, kwa nini zito alikua anawakilisha kama hoja yake? akawapa kazi ngumu akina mbowe kutangaza kuwa ni mpango wa cdm sio ya mtu mmoja, naona sasa cdm wanazidiwa na power strugleendeeni kumalizana tu ccm hamitoi kwa style hii
Ipi imetangulia kwako...ilani ya CDM au kauli ya Zitto?
 
Jiangalie wewe ndo unaangusha chama.shibuda inabidi atoke na nimaamuzi yatakayotolewa na mkutano mkuu.acha uchonganishi wewe.
 
katika kushughulikia jambo hili wahusika wa cdm need be very carefull.,indeed carefull!!!!!
 
Umepotoka na kinyume chake ni sahihi...Tunahitaji wanasiasa wenye mawazo huru wengi zaidi ili tutoke hapa tulipo kama taifa, ule wakati wa fikra sahihi kwa jina la chama umekwisha...
Tunahitaji nguvu ya pamoja tunapokuwa kwenye mapambano kama ilivyo sasa cdm dhidi ya magamba. Hatuwezi kufikia malengo ya vita hii kwa kurudishana nyuma sisi wenyewe kama anavyofanya shibuda.Anastahili kusamehewa iwapo ataomba msamaha kwa wanachama wotw na kuahidi kutopingana tena na mwelekeo wa wengi.Hivi unadhani kama wanachama na wapenzi wa cdm wakilipigia kura swala hili kuna mtu wangapi wata unga mkono kauli ya shibuda eti ni uhuru wa mawazoa? Ni lazima tukubaliana pia kuwa siyo kila mtu anaweza kutoa wazo la kujenga nchi yetu hata kama kuna uhuru wa mawazo!Je wazo la shibuda linajenga nchi yetu au linabomoa japo ni wazo huru?Tuwe wakweli katika dhamiri zetu na siyo kutetea kila kitu.Tuwaache cdm waamue hatima ya shibuda wanayohaki ya kumpa adhabu yoyote na kusiwe na impact yoyote kwenye chama.
 
Kumbuka alichokisema Shibuda ni kinyume na sera za CHADEMA hivyo kuchukuliwa hatua ni wajibu halafu angalia msimamo wake naona kwa hisia ni wa kiccm zaidi hana dhati ya kulikomboa hili taifa kutoka mikononi mwa mafisadi ni mchumumia tumbo kama walivyo wengine.

Kumbuka alichokisema Shibuda QUOTE=ibange;2238613]Nimesoma mwananchi uk wa 4 nashangaa zitto anasema shibuda afukuzwe kwa kutofautiana na chama. mimi naona tofauti za mawazo ni kawaida. kama basi ni kosa la kufukuzwa zitto awe wa kwanza maana alizungumza na waandishi kupinga msimamo wa chama wakati shibuda alizungumza bungeni anakolindwa na sheria. zitto anataka chadema ianguke nimwonavyo[/QUOTE]
 
Shibuda bado ni CCM ingawa alitoswa na kuhamia CDM ili aingie bungeni. Nadhani akifukuzwa atarejea CCM na anao uwezo wa kurejea bungeni kwa tiketi ya CCM. Nashauri CDM wamchukulie kama gugu lililoota kwenye ngano safi lisubiri muda wa mavuno (2015) ili lichomwe moto!
 
Tutakapoacha kuabudu watu au kuweka watu mahala pa Taasisi ndipo CCM na mafisadi wake watakapotuchukulia serious!

Tutakapoanza kujenga taasisi zenye demokrasia ya kweli katika misingi ya haki na uwajibikaji ndipo tutakapokuwa na imani isiyo na mashaka kwamba tunaweza kuunda taifa moja lenye nguvu na mafanikio.

Msingi wa maamuzi yenye tija na uzito stahiki hauhitaji mhemko au chagizo la hisia na matamanio ya mioyo ili kukidhi dhana nzima ya demokrasia katika falsafa ya kusahihishana na kuwajibishana kwa viwango tofauti
 
By the way zitto is not trusted!!! anaonekana kuanzisha makundi ndani ya cdm just kwa kutumia ushawishi kidogo alio nao...Lakini sishangai just see the following analysis of kigoma politicians in cdm
Dr Aman Walid Kaburu------from kigoma....was in CDM kwa unafiki akarudi CCM
David Kafulila....From kigoma.....Was in CDM umbea na kutoa siri za chama caused him to go to NCCR MAGEUZI
Zitto Kabwe...From kigoma.....In CDM now but not Trusted.......to no one knows but i dought magamba part
from above analysis i don't tust zitto
 
Nadhani Colin Powel angekuwa mwanachama wa chama cha siasa Tanzania angekuwa ameshafukuzwa,pia Julius Malema mwenyekiti wa vijana wa chama cha ANC angekuwa mwanachama wa chama cha siasa Tanzania angekuwa ameshafukuzwa.
 
Hebu tuendeleze mjadala kama wachangiaji huru.ni kwa nini Shibuda afukuzwe? mtindo gani utumike kumfukuza? Je kuna madhara yoyote politically kwa wananchi na chama chake?Na je,asipofukuzwa kuna madhara yoyote kwa chama na wafuasi wake?Je,njia ya kumfukuza kupitia matamshi ya viongozi au kamati kuu tu inatosha kuonyesha dhamira ya dhati ya uwajibikaji kwa wapiga kura na matumizi mazima ya Demokrasia huru kupitia mfumo wa vyama vingi na mawazo huru?
 
Speaker,
Nakubaliana kabisa na utaratibu wa kutoa adhabu ya kumfukuza mtu uanachama pale anapokiuka taratibu. Ninaamini pia kuhusu kuonya kwanza kabla ya kutoa adhabu hiyo. Ndio maana naamini kuwa, kutokana na uchanga wa Shibuda ndani ya chama na malengo ya chama kwa hv sasa, anastahili kupewa ONYO kwa sasa! Ni mtazamo wangu huu! Kwenye soka kuna kadi ya njano na nyekundu hata kama ni mechi ya kirafiki! Na refa ananafasi ya kuamua kulingana na alivyoona kosa lilivyofanyika aina ya adhabu ya kutoa. Ndio maana nasisitiza kuwa kamati iangalie kanuni, taratibu na katiba, kisha waangalie mkosaji na namna kosa lilivyofanyika ndio watoe maamuzi. Kwa maoni yangu wampe onyo kali tu kwa sasa!
Hatukatai Shibuda asipewe onyo..lakini huyu jamaa amepitiliza hata hiyo adhabu unayosema apewe maana jana TBC Taifa wameripoti alikuwa Mbeya kwenye mkutano wa CCM..pia hatukatai aende kwenye mikutano ya chama chochote ila kinanisikitisha mimi huyu jamaa huwa hahudhurii maandamano ya CDM sasa swali la kujiuliza hapa ni kweli Shibuda mfuasi mwaminifu wa CDM?..mimi binafsi naona hapana huyu ni mwongo tena asipofukuzwa kuna siku ataleta madhara hasa chama kinapotaka kufanya mamuzi magumu shibuda atatutenga..jamani nasema tena tunarudia kusema BORA AFUKUZWE SASA KULIKO AENDELEE KUWEPO halafu 2014 ajiuzulu then atupake matope tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu
 
Back
Top Bottom