CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

Afadhali CDM wabinafsi na tarifa zao..lakini yangekuwa magamba ungesikia waropokaji kama nape anasema lake, mukama kivyake yani hewa tu hawa majaa..ila CDM mpaka watoe taarifa ujue ipo sawa kwa yeyote atakaeisema hata mtoto mdogo atatoa tarifa hiyohiyo

Mbona shibuda ametoa taarifa tofauti mnataka kumfukuza kwa ubinafsi wenu ? acheni ukondoooo Magwanda
 
Pro-CDM-JF wanadhani CDM wana uwezo wa kumfukuza Mtu wa shoka John Shibuda, hawana uwezo huo
 
Nani alikuambia Magwanda 2015 mtaichukua hii nchi ? Hii nchi mtaiona hivi hivi!
Wenye maamzi 2015 kumukabizi nnchi ni wanannchi si ccm au cdm hivi vyama vitaomba na katika kuomba kuna2 kupata au kukosa hakuna aliye funga ndowa ya kudumu na wa tz chama chochote kinaweza ongoza naomba tuleje kwenye swali cha kumusaidia kama talifa zimetoka au bado inatosha ushawishi wa kuwafanya watu waendelee kuwa na imai na cdm nipamoja na maneno/vitendo viwe pacha maneno ya kihuni hayatajenga chama maana ya kipya inatakiwa kiwe tofauti na cha zamani kama hakutakuwa na utofauti nikujivunjia wenyewe
 
msitetee ujinga rejia hua anakurupuka na kuweka matukio ya kamati kuu, msitetee ujinga wa viongozi hao kuropoka sana kuwa watawafukuza shibuda na madiwani, leo wamekaa na wamepima upepo wamegundua watajikaanga wenyewe ndio maana wamenyuti, nilisubiri nikijuahakuna kipya hao magwanda ni bure kabisa, zito akasema ni sera a chama, mbona yeye alikurupuka na kupeleka kama hoja yake?
lema na mbowe wanajua kila kitu kuhusu udiwani arusha wala hawana jeuri ya kuwagusa.....unafiki wa wapinzani huu ni aibu
 
Haya ndio matatizo ya siasa zetu, sijasikia kwingine kokote Mbunge akijadiliwa kuwa na msimamo tofauti na wengine katika chama chake. Shibuda, huko ni matatizo tu, hiyo ni kampuni na ni usultani tu huko, si kama chama cha siasa cha kawaida, kama ulikuwa hujui sasa ndio utajuwa.

Badala ya watu kujadili strategies wanakwenda kumjadili mtu.
Nonsense!! tusidanganyane alifuata shamba la kijani hakujua wakulima tupo gado! Nyani wote waondoke!!!
 
Mbona shibuda ametoa taarifa tofauti mnataka kumfukuza kwa ubinafsi wenu ? acheni ukondoooo Magwanda
Shibuda shushu lenu mliolipandiza cdm..ila ameshaonekana kwamba hawezi kuendana na makamanda cdm...
 
vueni magwanda sasa mkishindwa kuvua magwanda, msituulize kuvua magamba , mmewaogopa madiwani na shibuda leo mlete utumbo wenu hapa? leteni hoja magwanda, acheni propoganda, tuambeni kwa nini mnakuwa wepesi wa kuropoka kuliko kuchukua hatua, maongo makubwa hamuwezi kutwaa nchi maupupu tupu.
eti siri za vikao, mbona nyingine huwa mnaleta haraka humu mnaona aibu sasa!
 
Madiwani nani kawaogopa wewe? kwa tarifa iliyotoka punde CHADEMA TAIFA imeawaamuru madiwani wote wajiuzulu nyadhifa zao hizi kama vile Naibu Meya, Katibu ila sio cheo cha udiwani upo hapo mkuu?
source: TBC Taifa-harakati
 
Back
Top Bottom