CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

Khaa!! Hisabati ndiyo msingi wa maisha ya mwanadamu. Kama huzijui basi wewe jihesabu kama ni BOYA tu
 
Tanzania kuna wanasayansi? wameshindwa hata kutengeneza kiwembe? Tanzania kuna wahandisi? barabara zote zinatengenezwa na wachina? wanasayansi gani na wahandisi gani unaowazungumzia wewe mbweha?

Kwa CCM ukiwa na uwezo wa kuiba rasilimali za taifa basi wao wanakuita mwana sayansi au injinia.
 
Swali kwa mtoa mada!!

Unataka wanasayansi wa aina gani??

Unataka wahandisi wa aina gani?

Unataka wana mahesabu wa aina gani???

Maana kama unataka uwaone kama walioko CCM hutawapata.
 
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!

Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha , wa na wanachama Wahandisi au sio Wahandisi inakusaidia nn?
Hao waandisi kwenye chama hadi serikali ya ccm imewasaidia nn??
 
DSC_1006.JPG

Hehehehe ndo mainjinia anaowataka hao duu
 
Km siasa inafanyika muhimbili, kcmc, Bugando na keingineko basi ni muhimu kupata wanasayansi. Km siasa inapima majengo marefu na barabara basi muhimu kupata wahandisi. Ila sikuhukumu kwani hata yesu alislitiwa na mwanafunzi wake Yuda iskariot, licha wewe kuisalit chadema. Uelewa wako ndio mdogo kwa sababu mlipomteuwa kuwa waziri mkuu hamkujua kasoma sanaa ila sasa ndio mnajua kasoma sanaa. POLE.

Jibu sahihi kwa wakati sahihi
 
Mkuu hoja ya jamaa inamashiko. Hawa wanasiasa ndio watakuwa mawaziri wa ujenzi, waziri wa afya, waziri wa fedha nk. Sasa kama hatutakuwa na mawaziri waliosomea masuala haya ni viepesi kudanganywa na wataalam (wahandisi, wachumi na madokta).
 
Jamaa badala ya kupewa majibu kwa swali alilouliza matokeo yake anaambulia matusi tu hii maana yake nini sasa?
 
hapo hukutenda haki au hukuielewa kabisa mada .yeye ameuliza kwa nini hakuna kiongozi mwana sayansi ,sio hakuna mwanachama mwanasayansi hivyo ni vitu viwili tofauti

Kwani wewe umeisoma mada na kuielewa vizuri?hebu rudia kusoma!
 
Mbunge wa Bihamulo Dr Anthony Mbasa ni daktari wa binadamu!
 
Mkuu hoja ya jamaa inamashiko. Hawa wanasiasa ndio watakuwa mawaziri wa ujenzi, waziri wa afya, waziri wa fedha nk. Sasa kama hatutakuwa na mawaziri waliosomea masuala haya ni viepesi kudanganywa na wataalam (wahandisi, wachumi na madokta).
Historia inatujuza, sio lazima waziri awe amesomea fani flani ndio aweze kufanya vizuri kwenye hiyo wizara.

Mfano UK, Exchequer imeongozwa na ma secretary ambao awajasomea uchumi na wamefanya vizuri. Hapa kwetu Ngeleja na Chenge ni wasomi wazuri wa sheria, bila kusahau Chenge ni matunda ya Harvard University lakini wamesainishwa mikataba mibovu!
Magufuli ana PHD ya Chemisty lakini amefanya vizuri wizara ya ujenzi zaidi ya waliosomea Civil Engineering!

Kikwete amesomea Uchumi na alishawai kuwa waziri wa fedha lakini amekiri kwenye chombo cha habari kwamba HAJUI NI KWANINI SISI BADO NI MASKINI.
 
Back
Top Bottom