Roga Roga
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 655
- 500
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!
Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!
dk mbassa mbunge wa biharamulo aliyemaliza muda wake ni daktari wa kutibu