Kwa hizi masters na phd za google mkuu??!! Msomi ni yule mwenye kutumia taaluma yake kwa kuleta maendeleo chanya kwa watu wake...Lema ni kiboko ya CCM ameifuta rangi ya kijani kwanzia njiapanda mpaka Namanga...!!?
Fact imekaa vizuri mkuu hongera
Kwa hizi masters na phd za google mkuu??!! Msomi ni yule mwenye kutumia taaluma yake kwa kuleta maendeleo chanya kwa watu wake...Lema ni kiboko ya CCM ameifuta rangi ya kijani kwanzia njiapanda mpaka Namanga...!!?
Km siasa inafanyika muhimbili, kcmc, Bugando na keingineko basi ni muhimu kupata wanasayansi. Km siasa inapima majengo marefu na barabara basi muhimu kupata wahandisi. Ila sikuhukumu kwani hata yesu alislitiwa na mwanafunzi wake Yuda iskariot, licha wewe kuisalit chadema. Uelewa wako ndio mdogo kwa sababu mlipomteuwa kuwa waziri mkuu hamkujua kasoma sanaa ila sasa ndio mnajua kasoma sanaa. POLE.
Umeambiwa CHADEMA NI MAABARA yenye kuhitaji hao profesionals.Hebu nitajie hao unaowaita mapadri au wanasheria kwani isije ikawa una majina ya watu wawili au watatu ndo unatumia kama hoja ya kuwakilisha mamilioni ya watu.Did u conduct a research,if yes what was the methodology and sample size.Huku JF kuna usemi ...No research No right to speak.Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!
Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!
1Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!
Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!
Mm ni mhandisi na nimwanachama wa cdm
unawajua wanachama wote Wa chadema au unaropoka tu
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!
Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!
Hivi ni kwa nini kwanini CHADEMA hakuna Kiongozi wala Mwanachama aliyesomea Uhandisi, Hisabati au Sayansi? Wote ni aidha Sheria, Upadri au sasa hivi wanataka kuleta mwingine kasomea sanaa!
Kuna nini kinawachofukuza au kuwaogopesha Wanasayansi/Wahandisi au Wanahisabati huko CHADEMA? Hebu wajaribuni hawa jamaa labda mtatoboa!
Baba zima linabembeleza kura kwa kupiga magoti bora ingekua kanisani ila sio hapo.
Hatari sana tu