CHADEMA Haiko na Raila, please...

CHADEMA Haiko na Raila, please...

CHADEMA na CCM waache kujiozesha kwa wakenya, wakomalie nchi yao

tupo hatua laki moja nyuma ya wakenya, tusimame wenyewe, sio kujiwekesha kwenye kila kitu kinachokamata media attention

CCM na CHADEMA hawahitaji siasa za kenya kuongoza Tanzania, wanahitaji uwezo na utashi

upuuzi mwingine humu JF unakera sana

Umeongea 'pwenti' sana kwenye bandiko lako ila hapo kwenye red naomba nikubishie kwa nguvu zangu zote Sir!
 
naona kuna upotoshaji mkubwa sana wa baadhi ya members humu jf........this is for the record!

attachment.php
kinana ndio mkuu wa waangalizi wa uchaguzi huo kutoka jumuhiya ya a. Mashariki ngoja nipite zangu kama nilivyo.
 
Watu wengine ni kama hawajielewi elewi humu ndani, wanakurupuka tu na kudhani kila mtu anakurupuka tu.
 
Hahahahaaa, CDM bwana wamembwaga jamaa yao.

Hakuna jamaa wa CDM hapo wote matatizo matupu,Kenyatta Fisadi wa ardhi na mlevi,na
Odinga ameingia mkataba wa kuifanya Mombasa ijitenge na kuwa nchi ya kiislam ili apate kura za
watu wa coast, na amepata lakini hazijamsaidia kwani Christian wengi wa bara wamepiga kura za
chuki dhidi yake.Kwa hili hata mimi nilitaka Odinga apigwe chini"
 
Chadema sio ustarabu kumkimbia Raila wakati huu wa kipindi kigumu! Yametokea haya Raila ameshakua Raia msimuache alone!
 
Hakuna jamaa wa CDM hapo wote matatizo matupu,Kenyatta Fisadi wa ardhi na mlevi,na
Odinga ameingia mkataba wa kuifanya Mombasa ijitenge na kuwa nchi ya kiislam ili apate kura za
watu wa coast, na amepata lakini hazijamsaidia kwani Christian wengi wa bara wamepiga kura za
chuki dhidi yake.Kwa hili hata mimi nilitaka Odinga apigwe chini"

.......

Duh Raila ni hatari! Kweli ana uchu wa madaraka anaweza muuza hata mama yake mzazi ili apate Urais!
 
Chadema watabaki na mshirika wao mmoja tu kule Ujerumani Christian Democratic Movement huku kila pande wanawakataa
 
Hakuna jamaa wa CDM hapo wote matatizo matupu,Kenyatta Fisadi wa ardhi na mlevi,na
Odinga ameingia mkataba wa kuifanya Mombasa ijitenge na kuwa nchi ya kiislam ili apate kura za
watu wa coast, na amepata lakini hazijamsaidia kwani Christian wengi wa bara wamepiga kura za
chuki dhidi yake.Kwa hili hata mimi nilitaka Odinga apigwe chini"

......

Udini kama rafiki zake aliowaalika...
 
kinana ndio mkuu wa waangalizi wa uchaguzi huo kutoka jumuhiya ya a. Mashariki ngoja nipite zangu kama nilivyo.

Atapigwa mapanga kule, hashindwi kuacha kusimamia uchaguzi na kwenda kuwinda tusker
 
WanaJF,
Kutokana na uchaguzi mkuu wa Kenya unavyoendelea, mengi yamekuwa yakisemwa kwa kuhusisha wagombeaji wa uraisi na vyama vya siasa hapa Tanzania. Baadhi wamesema kwamba CDM ipo nyuma ya Raila Odinga na CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta. Kulingana na uchanguzi unavyokwenda sasa hivi, kama kweli CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta na akaendelea kuongoza kama ilivyo sasa na kushinda uchaguzi huo.
Basi CCM itaonekana ni Dume la Afrika.
Kwani nchi nyingi duniani zinainterest sana na uchaguzi hasa kwa kujua kwamba mgombea aliyekuwa na nguvu uchaguzi uliopita ndo anapambana tena.
 
WanaJF,
Kutokana na uchaguzi mkuu wa Kenya unavyoendelea, mengi yamekuwa yakisemwa kwa kuhusisha wagombeaji wa uraisi na vyama vya siasa hapa Tanzania. Baadhi wamesema kwamba CDM ipo nyuma ya Raila Odinga na CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta. Kulingana na uchanguzi unavyokwenda sasa hivi, kama kweli CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta na akaendelea kuongoza kama ilivyo sasa na kushinda uchaguzi huo. Basi CCM itaonekana ni Dume la Afrika. Kwani wengi wanainterest sana na uchaguzi.

Dume La Afrika Ni Mzungu!
 
Uchaguzi wa Kenya bado haujaonyesha sura ya kujivunia maana tunaambiwa vituo vingine hata kura ya mgombea haipo maana kapata sifuri. Tusubiri tathimini kujua yaliyojiri huko
 
WanaJF,
Kutokana na uchaguzi mkuu wa Kenya unavyoendelea, mengi yamekuwa yakisemwa kwa kuhusisha wagombeaji wa uraisi na vyama vya siasa hapa Tanzania. Baadhi wamesema kwamba CDM ipo nyuma ya Raila Odinga na CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta. Kulingana na uchanguzi unavyokwenda sasa hivi, kama kweli CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta na akaendelea kuongoza kama ilivyo sasa na kushinda uchaguzi huo.
Basi CCM itaonekana ni Dume la Afrika.
Kwani nchi nyingi duniani zinainterest sana na uchaguzi hasa kwa kujua kwamba mgombea aliyekuwa na nguvu uchaguzi uliopita ndo anapambana tena.

CCM haina uwezo wa kumwezesha Kenyatta kushinda. Makabila na Ukabila wa Kenya ndio watamfanya Uhuru ashinde. Jiuliza kwa nini Ruto waliuungana na Uhuru? Je bila Ruto Uhuru angepata kura alizopata hadi sasa? Jibu ni hapa kwa sababu siasa za Kenya zinategemeana na namba na namba hizo zinatokana na nani wa kabila gani wameungana na nani. Au ni makabila gani yameungana ili kufikisha percent ya ushindi
 
Magamba ujingaujinga tu, hivi kenya chni ya uhuru itaisaidia vp ccm kuiletea maendeleo tz au kubadili hali za maisha za watz? Au atasaidia vp masisiemu kushinda 2014-2015? Tutaona si nilimskia magufuli kaalikwa na odinga kpndi fulani inamaana magufuli si masisiemu syo?
 
Back
Top Bottom