Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Hivi kile ki thread cha kipuuzi cha Yericko Nyerere kimeishia wapi?
Kipo na kinaendelea kuchangia tu na waijuayo michezo ya siasa, lakini vichwa pasi mapovu yanawatoka.
Hivi kile ki thread cha kipuuzi cha Yericko Nyerere kimeishia wapi?
Haikatazwi individual kuwa na msimamo wake katika hili.........hoja yangu ni MaCCM kutaka hoja ya YERICKO kuwa ya kichama na si ya binafsi....Raila huyuhuyu alipokuja Tanzania akiwa Waziri wa Moi alikataa katakata kukutana na wapinzani akidai yeye yuko katika serikali na amekuja kama mgeni wa serikali......na ndipo alipoanzisha rasmi urafiki na Magufuli......sasa leo iweje ahusishwe na CHADEMA?

lowasa kafika dau acha awaleHii barua ya kutengeneza tu. Tangu mwanzo mliandika wenyewe CHADEMA(RAILA) vs CCM(UHURU) yamewafika shingoni sasa, haya ogeleeni tuone kama mtafika ng'anmbo