CHADEMA Haiko na Raila, please...

CHADEMA Haiko na Raila, please...

nadhani heading iwe :KAMA UHURU KENYATTA AKISHINDA, BASI CCM KIBOKO KWA WIZI WA KURA.
 
....Hili la kuuziwa vifaa vya kupigia kura na vifaa vya mtandao na RA una ukweli wowote?
 
Kumbe John Pombe Magufuli ni mwakilishi wa CHADEMA kwenye kumsapoti Odinga nchini Kenya?
 
Magamba ujingaujinga tu, hivi kenya chni ya uhuru itaisaidia vp ccm kuiletea maendeleo tz au kubadili hali za maisha za watz? Au atasaidia vp masisiemu kushinda 2014-2015? Tutaona si nilimskia magufuli kaalikwa na odinga kpndi fulani inamaana magufuli si masisiemu syo?
Taratibu mkuu, kuwa na upande hakuaanza leo hata historia inaonyesha kabisa. Kwa sasa hivi, katika jumuiya ya Afrika ya Mashariki kunahaja ya kujua raisi wa nchi jirani ni nani na misimamo yake katika mambo fulani fulani. Hukumbuki Nduli Idd Amini Dada walivyokorofishana na JKN mpaka kupelekea vita. Kwa maana hiyo nchi ni muhimu sana kuwa karibu nazo. Kuhusu Magufuli, kuna mmoja alichangia kwamba ni classmate wa Raila, sina uhakika sana. Ila yawezekana CCm wakawa kotekote kwa ajili kutega upepo kwa njia mbalimbali. Lakini kwa Uhuru Kenyatta naona ni wazi kabisa.
 
CHADEMA nao wasubiri muda wao wa kunyolewa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
....Hili la kuuziwa vifaa vya kupigia kura na vifaa vya mtandao na RA una ukweli wowote?

Wenye taarifa washuke hapa. Lakini RA ni vehicle kubwa sana kwa East and Central Africa, kwa hiyo siyo wakuchezea sana kwani anweza kupata sehemu yoyote hivyo vitu.
 
WanaJF,
Kutokana na uchaguzi mkuu wa Kenya unavyoendelea, mengi yamekuwa yakisemwa kwa kuhusisha wagombeaji wa uraisi na vyama vya siasa hapa Tanzania. Baadhi wamesema kwamba CDM ipo nyuma ya Raila Odinga na CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta. Kulingana na uchanguzi unavyokwenda sasa hivi, kama kweli CCM ipo nyuma ya Uhuru Kenyatta na akaendelea kuongoza kama ilivyo sasa na kushinda uchaguzi huo.
Basi CCM itaonekana ni Dume la Afrika.
Kwani nchi nyingi duniani zinainterest sana na uchaguzi hasa kwa kujua kwamba mgombea aliyekuwa na nguvu uchaguzi uliopita ndo anapambana tena.

Labda likuoe wewe!..
 
Heading nyingine zinachekesha, kama ingekuwa tunamtaja Nyerere na Jomo Kenyatta pengine ningeelewa. Ili chama kiitwe dume lazima kiwe chini ya viongozi shupavu. Sasa hiki kilichochini ya wanamagamba unawezaje kukiita chama dume? Sound mind in sound body. Huko Kenya hakuna fukia fukia za kitoto kama hapa kwetu na hivyo hakuna lolote wanaloweza kusema wamejifunza toka Tanzania. Ukiwaletea wizi wa kitoto wanakutoa roho siyo kama hapa kwetu
 
kama ccm ni dume we mleta mada ni jike endelezeni starehe masika hii
 
Labda likuoe wewe!..

Du! Siyo lazima ukomenti. Kipi hukitaki sasa kuisema CCM au CDM? Mbona kuna threads nyingi za CCM na CDM zikihusishwa na siasa za Kenya? Umekomment hivi zote? Jiulize kabla ya kukomenti kijana wangu.
 
Vijana wenye upeo mdongo wamevamia Thread hii, kwa mapenzi ya vyama vyao, wamepeleka likizo akili zao. Wanachoona mbele yao ni kampeni ya CCM tu.
 
Kawaida ya magamba na watu wake ni uzushi na uzandiki. Nadhani sasa wameumbuka.
 
Kuna kitu hakiko sawa mahali fulani. Zinapokuja siasa za nje ya nchi kila mtu ana uhuru wa kimtazamo au hisia kuelekea upande fulani na sidhani kama vyama vyetu vitatupangia nani wa kumuunga mkono na nani wa kutomuunga mkono.

Mimi kwa sababu binafsi (zina mantiki kwangu) sikuwahi kumuunga Raila Odinga mkono 2002-2007-2013. Mwaka 2002 nilimuunga Kibaki mkono, 2007 sikuwa na mtu kama ilivyo kwa 2013.

Hivyo nawasihi wanajamvi wenzangu tusiwe na haraka ya kuchora mstari na kuelekeza wengine kwenye lindi la hisia zetu binafsi.

I believe sometimes you just have to sit and watch as neutrals do......just enjoy the game of politics!
 
Nilimsikia kwa masikio yangu kiongozi wa Chadema akijinasibisha na ODM ya Odinga sasa wameona kimenuka wanaanza kukimbia kimbia kama sungura aliyekoswa na risasi. Huo ni unafiki Chadema kama mlimpa support toka mwanzo why you abandon him now?

Basi kama ham support Odinga tuambieni who are you supporting. Poleni Chadema asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.

aneneo hayo yamesemwa fuatilia mwisho wa picha hizi uamini nani wana Uhusiano na Raila na Nani wana uhusiano na Kenyatta Kwa nini tusisubiri matokeo?

hmpg221012_01.jpg

+kenya.jpg


kikwete.jpg
DSC07600-508x600.jpg




Kwenye facebook na Radio za kenya friends of Raila Odinga wametangaza wazi kwamba bosi wao ameshinda nafasi ya Urais baada ya wao kujumlisha kura za nchi nzima za vituo vyote. Hii ndo habari mpya ya mchana huu. Hongera kwa Chadema waliomsapoti Odinga.


20052_125-200x150.jpg

quote_icon.png
By xxxxx


Mzee Jommo Kenyatta ambaye anadaiwa kupalilia ukabila nchini humo kwa kuwabeba Wakikuyu aliwahi kunukuliwa akisema "Jaluo Jinga Jeusi haiwezi ongoza Kenya"
Na hicho ndicho kinachomcost Odinga. KILA LA HERI KENYA.

Magari ya M4C yaliyokwenda kumsaidia ODINGA hayajarudi? Hii dhambi ya kuwasakizia wengine kuwa wanaeneza ukabila ndiyo itakayowatafuna hata hawa wachagga wetu, subirini tu 2015 na sera yao ya umajimbo kmbe inatumika tu kama kufuniko, lengo hasa ni kutaka kuutukuza ukaskazini, kwishne Odinga bado Ninyi. Hayo magari yenu sijui mtayapitishia wapi?
 
Hawa jamaa waloluwa wanaitaja CHADEMA hawakuwa na data!!!!!
 
Back
Top Bottom