Ni kazi sana kuutetea uongo, kuna member mmoja huwa anasema kuitetea CCM lazima uwe na akili yamaiti. Tukiondoa ushabiki kama hali itaendelea hivi na CDM waka-maintain speed hilo jimbo litakwenda CDM. Kwa nini nasema hivyo,Mkuu kila mtu imemshangaza.Labda wameona aibu kwa habari yao ya wiki iliyopita
Nimepata tetesi kwamba iwapo Upepo utaendelea hivi Basi CCM itamkafara mgombea wake uhamiaji ili wamwengue Kwa kigezo cha kutokukana uraia wa nchi mojawapo. Hii italeta heshima Kwa Chama Kwamba walishindwa Kwa kutoshiriki of which ni katika harakati za kufuta mtazamo Kwa watanzania kwamba sasa CCM kwishaee Kama wakishiriki Na kushindwa.. Ila mpaka sasa bado timu iliyotumwa Na Chama bado wanatoa majibu yenye utata kwamba CCM inakubalika Na kundi la wazee wengi Na kinabibi ambao Kwa mtazamo wao wanadai ndio waliotunza shahada za kupigia Kura. Wanasema CHADEMA kinaungwa mkono Na Kundi kubwa la vijana ambao wengi hawana Shahada za kupigia Kura Na wale wachache wenye shahada wameshazipoteza.. Ni tetesi jamani sina uhakika zina ukweli kiasi gani
Gazeti la Rai limeripoti kuwa chama cha CDM kinakipeleka puta chama cha mapinduzi huko Arumeru kutokana na mikutano ya CDM kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu katika maeneo ya vijijini tofauti na idadi ndogo ya watu wanaohudhuria katika mikutano ya CCM.
Kwa mujibu wa maripota wa RAI hali hii si ishara nzuri hata kidogo kwa chama hicho tawala.
Habari hii iliyotolewa na gazeti hili imewashangaza wengi kwani ni gazeti hilihili liliripoti wiki iliyopita tu kwamba wamefanya utafiti katika kata zote 17 na kugundua kuwa mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia 61% huku mgombea wa CDM akiambulia asilimia 38.5%
Mkuu, vipi tena si wewe wiki iliopita ulilishambulia gazeti la Rai kwa la kinafiki.
Leo limeiandika habari njema kwa Chadema limekuwa Gazeti pendwa.
Chadema bana wanatapata tu kama pweza anaetaka kufa.
Tofautisha kati ya maoni na utafiti, kilichokuwa kinashambuliwa ni procedures za utafiti kama walivyouita hatukuwa tunashambulia gazeti bila sababu. Haya ya leo ni maoni si utafiti kama wangeita utafiti tungehoji vile vile.Mkuu, vipi tena si wewe wiki iliopita ulilishambulia gazeti la Rai kuwa la kinafiki.
Leo limeiandika habari njema kwa Chadema limekuwa Gazeti pendwa.
Chadema bana wanatapata tu kama pweza anaetaka kufa.
Mkuu, vipi tena si wewe wiki iliopita ulilishambulia gazeti la Rai kuwa la kinafiki.
Leo limeiandika habari njema kwa Chadema limekuwa Gazeti pendwa.
Chadema bana wanatapata tu kama pweza anaetaka kufa.
Tuna faamu we niwali wa mtu,so atuna shida na wewe.Kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali atawaza kama wewe
Tuna faamu we niwali wa mtu,so atuna shida na wewe.
Gazeti la Rai limeripoti kuwa chama cha CDM kinakipeleka puta chama cha mapinduzi huko Arumeru kutokana na mikutano ya CDM kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu katika maeneo ya vijijini tofauti na idadi ndogo ya watu wanaohudhuria katika mikutano ya CCM.
Kwa mujibu wa maripota wa RAI hali hii si ishara nzuri hata kidogo kwa chama hicho tawala.
Habari hii iliyotolewa na gazeti hili imewashangaza wengi kwani ni gazeti hilihili liliripoti wiki iliyopita tu kwamba wamefanya utafiti katika kata zote 17 na kugundua kuwa mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia 61% huku mgombea wa CDM akiambulia asilimia 38.5%
Hadi gazeti la Rai likaja na utafiti mwingine ulio na mtazamo tofauti na walioutoa wiki moja iliyopita utambue kwamba wameelekezwa na ccm ama gamba kuu rost tamu kubadilisha aina na mbinu za propaganda. Makamanda mkijisahau tu kidogo na ku relax ccm watatumia nafasi hiyo vizuri, hawawezi kufanya kosa kuacha kutumia upenyo wa ninyi kurelax. Kilichopo hapo ni Nassari kuendelea na kampeni ya mtaa kwa mtaa na kwa baadhi ya watu/wazee mashuhuri kama alivyofanya kwa kuitembelea familia ya shujaa wa Tanganyika na Meru, Marehemu Japhet Kirilo.
Ni kweli kwamba mikutano ya chadema inakusanya watu wengi sana kuliko ccm lakini hilo litoshe kuwapa ujumbe makamanda walioko mstari wa mbele kwamba ccm lazima watakuwa na plan B, plan c na hata ikiwezekana plan D. Na kwa sehemu kubwa hii mechi ya arumeru mashariki wataicheza nje ya uwanja, kwahiyo ni lazima wapiganaji wa chadema huko mstari wa mbele wajipange kukabiliana na hujuma za ccm nje na ndani ya uwanja.
Kwakweli sitarajii kabisa this time around nisikie habari ya kwamba ccm wamechakachua, kwakuwa naamini sasa mbinu zao zote zinafahamika na uwezo wa kuzikabili na kuzishinda uko ndani ya chama.
Wanasema CHADEMA kinaungwa mkono Na Kundi kubwa la vijana ambao wengi hawana Shahada za kupigia Kura Na wale wachache wenye shahada wameshazipoteza.. Ni tetesi jamani sina uhakika zina ukweli kiasi gani
Gazeti la Rai limeripoti kuwa chama cha CDM kinakipeleka puta chama cha mapinduzi huko Arumeru kutokana na mikutano ya CDM kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu katika maeneo ya vijijini tofauti na idadi ndogo ya watu wanaohudhuria katika mikutano ya CCM.
Kwa mujibu wa maripota wa RAI hali hii si ishara nzuri hata kidogo kwa chama hicho tawala.
Habari hii iliyotolewa na gazeti hili imewashangaza wengi kwani ni gazeti hilihili liliripoti wiki iliyopita tu kwamba wamefanya utafiti katika kata zote 17 na kugundua kuwa mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia 61% huku mgombea wa CDM akiambulia asilimia 38.5%
hawa jamaa zetu wa chadema huwa na matamnio ya mvuta bangi.wakishashindwa wanadai ura zilichakachuliwana pia inabidi tukubali kuwa ushindi hautokani na mauzulio ya mikutano ya kampeni cz kuna watu wanaattend kampeni while wameshauza shahada zao na fomu no 16 lubuva kakataa kuitumia la msingi hapo ni kukomaa na kampeni ya nyumba kwa nyumba na elimu ya uraia itolewe kwa nguvu zote makamanda coz kwenye hii game yupo taikuni mwenye nywele nyeupe anainterst zaidi ya kimtandao na amesharejea na anasema yupo tayari kwa mapambano ya aina yoyoyte so lets be carefull makamanda