Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 945
Lissu toka miaka ya tisini ndiye aliyefanya barrick igeuze baadhi ya vitendo vyake vya unyonyaji Tanzania, hata katika ripoti zao utaona wamemtaja by name kuwa he is a pin in their asses! Huyu ndiye mtetezi wa wanyonge, kumbuka sakata la Bulyankulu. Huyu ndiye aliyeingiza Tanzania kwenye ramani ya wanaharakati wa kimataifa wa masuala ya madini. Yeye na Rugemeleza Nshala. Hawa wawili ndio wamelifanya shirika la LEAT kuwa upande wa kuwatetea wananchi. Ukitaka kujua mchango wa Lissu kwa taifa waulize wachimbaji wadogo wa madini nchini. Wamachinga wawezi kumjua na wakaa ofisini kama wewe hamwezi kumjua lakini nenda maeneo ya migodi kwenye migogoro, his name is household. Nenda Nyamongo, Mererani. He is their man. He is also my man. I love him, find his documentary film- I am sure it is available on line, you will agree that he is also your man. Hata kama ni mwanaume mwenzio.
Asha
Bulyankulu kama sikosei alileta Mrema. Mimi sibishi nini Lissu kafanya dada Asha, mimi shida yangu ilikuwa records, nashukuru umeelezea records zake kuhusu madini.
Inaonyesha unapempenda Lissu sababu unampenda. I will try to find his documentary and see what inside. But at this particular moment we just agree that Lissu is another attorney, who specialized on contracts. Also we just agreed that Lissu is an intern in politics, and he will get better if he will start listen before he respond.
Again, i dont under estimate the guy, i salute him on several things concern Mikataba. However he shows lack of experience in political forum, and this is normal for any intern in politics. He will need adviser who will tell him what to talk, and when to talk and what to say. It take a while to be a good experiancial politician, it take nothing to stand on the podiums and say your opinions.