Jambo la kusikitisha sana hapa ni kwamba kuna kamati kadhaa ambazo ziliundwa katika wakati mbali mbali ili kuchunguza swala la madini na mikataba yake.
Sasa tujiulize:
1.Kamati hizi zote lazima zimetowa repoti zao. Hizo repoti ziko wapi?
2. Lazima kamati hizi zimetowa mapendekezo.Hayo mapendekezo yako wapi?
Pengine wasaidizi wa rais J.Kikwete hawakumpa habari kamilifu kuhusu kamati hizo za awali ambazo zilifanya shunguli kama hizo amazo kamati hii ya sasa itazifanya.
Kwa nini tupoteze wakati wetu ambapo kazi tayari imekwisha fanywa na ni utekelezaji tu ndio ambao unazorota?
Mwanakijiji hebu tafuta repoti za kamati zote hizo nne/tano ambazo zilihusika na utafiti wa mikataba ya madini. Lazima kuna nakala katika Wizara na Ofisi ya MADINI huko Dodoma.
HAWA WANASIASA WANATUTIA SISI WATANZANIA KIINIMACHO KWA MANUFAA YAO WENYEWE.WENGI WAO WANAHUSIKA NA HIYO MIKATABA MIBOVU YA MADINI.