Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 130
kwani hii forum ilitengenezwa kwa ajili ya kuponda ccm na kuktetea chadema. tupeni majibu mimi naunga mkono hoja tupewe cost nina machungu ya kukesha kulinda kura ukonga
Kafie mbele huko
kwani hii forum ilitengenezwa kwa ajili ya kuponda ccm na kuktetea chadema. tupeni majibu mimi naunga mkono hoja tupewe cost nina machungu ya kukesha kulinda kura ukonga
kafie mbele huko
Mlicho tegemea sio mlicho kipata, urais kwa kutumia helikopter tena hamkuupata, mmebwagwa kwa 80% mpaka sasa, and then wabunge angalau one third (80) mliyokuwa mwategemea hamkuipata , mmepata 25 tu ambayo ni ndogo sana. kwa hiyo twaweza sema mmepata HASARAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Kwa kweli limbukeni hawezi jihisi! Shame upon you always!:A S angry::A S angry:
Mbona unalia sasa ? jifute machozi nenda kalale huna lako 2010, subiri 2015 ulie tena eeeeeeeh.
Leteni data acheni longo longo ili tujue. CCM za kwao tumeisha ona wana faida kwani wana RAIS, Wabunge wa kumwaga na madiwani kibao. Leteni za Chadema sasa waungwana
nachelea kuamini kama wewe ni mtanzania halisi bila kujali dini, kabila wala chama. pengine wewe una uwezo kimaisha na hata kifedha laiti ungekuwa unajua jinsi mtu anayekosa huduma muhimu za kibinadamu kama vile afya, chakula, elimu bora na malazi anvyojisikia usingethubutu kukejeli watu wanaotoa maoni yao. kama wewe huathiriki waache wanaoathirika waongee pengine hii inaweza kuwasaidia kuwafuta machozi yao...dnugu, huyo huyo ambaye anakufanya wewe leo hii ucheke ndio huyo huyo aliyewafanya wengine walie leo hali inaweza kubadilika muda wowote. we ulishapata waache wanaotafuta nao watafute, hata kama wakikosa basi japo haki yao ya kimsingi waipate
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?
Akili -Mgando/Muozo.
Naogopa kuongea mengi zaidi kwa sababu najua una familia inakutegemea!
Kupewa zile truck-suit na vibaka wenzio ndo unaona maisha...bogus you!
I wanna Kill right Now!
Mbona unalia sasa ? jifute machozi nenda kalale huna lako 2010, subiri 2015 ulie tena eeeeeeeh.
Yaaaaaah, wana hasara kwa hiyo chama kivunjwe hakina tija kwa wanachama wake wameshindwa kufanya kinacho takiwa.
Swali liko palepale mtawalipa nini wafanyabiashara waliowachangia?jibu hili.