Elections 2010 CHADEMA - Cost benefit analysis

Wabunge 22 toka 5 si mtaji? madiwani kibao wataongoza majiji na miji. We kijana pevuka!!!!!!!!!
 
Hebu tunaomba tupewe gharama za uchaguzi za CHADEMA walizotumia na kilicho patikana ili tujue kama kuna faida au hasara ?

Wewe ni moja ya watanzania wasio na uzalendo au hawajui umuhimu wa mabadiliko! sijui kama ulishafanya cost benefit analysis ya uwepo wa ccm madarakani? je cb anaylsis ya maisha yako umeshafanya, mi naona watu kama nyie hamna faida kwa kizazi hiki. chunga kauli yako!:tape::tape::tape::tape:
 
kwani hii forum ilitengenezwa kwa ajili ya kuponda ccm na kuktetea chadema. tupeni majibu mimi naunga mkono hoja tupewe cost nina machungu ya kukesha kulinda kura ukonga

ITS TRUE HATA MIMI NINA HISIA HII FORUM NI YA WANACHADEMA TUU.....SAME CHEF...SAME SOUP :A S angry:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom