Wakuu nashangaa sana Pro-Chadema JF hawajui habari za ndani za chama chao mpaka Ritz anaingia jikoni kuchukuwa data na kuleta JF subiri basi habari kutoka kwa Tumaini Makene.
naamini mtu akiwa ccm,kuna kitu kinaathiri mfumo wao wa kufikiri!coz vitu wanavyoongea hata chekechea hawezi!
Wanabodi.
Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.
Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.
Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.
Hakuna kitu kama hicho kaka. Msiwadanganye watu kwa habari za kupikwa. Hivi mkisema au kuandika ukweli mnaugua. Narudia kusisitiza hakuna kitu kama hicho ulichoandika hapa ritz, pia weka chanzo cha taarifa yako plz kama unataka kuonekana genuine na unakitu arguable. Come plz.
Mkuu Tumaini Makene,Hakuna kitu kama hicho kaka. Msiwadanganye watu kwa habari za kupikwa. Hivi mkisema au kuandika ukweli mnaugua. Narudia kusisitiza hakuna kitu kama hicho ulichoandika hapa ritz, pia weka chanzo cha taarifa yako plz kama unataka kuonekana genuine na unakitu arguable. Come plz.
Tunasuburi ripoti ya kikao cha chama (Chadema) kama usipoileta humu jamvini nadhani tutaipata kupitia kwenye magazeti ya kesho na nataileta humu Jamvini tuone kama hii habari sio ya kweli.
Sinta- huyu ni Bongo CelebretySinta shiriki
Bila kuitaja Chadema kwako siku haijapita, jana CC ya CCM imekaa hatujakuona kukimbilia kuanzisha thread leo hata kikao cha Chadema hakijaisha unakimbilia kuanzisha usiyoyajua, pole sana.
Anyway una taarifa ya matokeo ya hukumu ya Lissu nisaidie tafadhali.
Bila kuitaja Chadema kwako siku haijapita, jana CC ya CCM imekaa hatujakuona kukimbilia kuanzisha thread leo hata kikao cha Chadema hakijaisha unakimbilia kuanzisha usiyoyajua, pole sana.
Anyway una taarifa ya matokeo ya hukumu ya Lissu nisaidie tafadhali.