Chadema chamjadili Shibuda na kuandaa maandamano nchi nzima

Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikimchunguza huyu John Magale Shibuda nyendo zake na misimamo yake katika katika jamii. Nimegundua kuwa huyu bwana ni gamba damudamu tena lililo na mshipi hadi kiunoni! Nia kubwa ni kuviza harakati za CHADEMA katika ukombozi wa taifa maskini Tanzania!
Kwa kipindi kirefu tangu ajiunge na CHADEMA alijitahidi sana kuivuruga kwa misimamo ya kimagamba na alikuwa na intimate relation na CCM pamoja na wakuu wa magamba. Amejaribu kutikisa kiberiti amekuta kimejaa, amejaribu kupanda chuki za kifirauni ndani ya CHADEMA akashindwa na sasa ana mkakati wa siri na kagenge kadogo kutoka CDM na CCM wenye ya kuipunguza nguvu CHADEMA, bahati yake mbaya ame-prove failure!
My take;
CHADEMA pungezeni mawasiliano naye kabsa, ikiwezekana muwekeni kando kwakuwa hana nguvu ya kushindana nanyi pamoja jitihada zake zote!

ulikokatia kuni ndiko wenzio walikokati kamba!!!!
 
Mbunge amewashinda halafu wanasema Rais ameshindwa kuwatoa mawaziri. Nani legelege sasa?
 
MTACHONGA SANA LAKINI CCM ITABAKI KUWA NUMBERI ONE SIKU ZOTE MPAKA MWISHO WA DUNIA..ONA WATU NA RAHA ZETU 2FWATE ZAKO SIDA ILI SIWEJE...ona kwenye picha 2nafurahia Maisha Ww kila wakati unalia na kununa2

Dah!! Huyu nae ni GT kachangia hapa jamani!!!!!!

Kuna umuhimu wa kutafta jinsi ya kuwa-filter member wa JF ili kupunguza takataka za namna hii!!!
 
Kweli Shibuda ni mzigo, ila na wewe hujaeleza hasa huo uchunguzi wako umebaini nini??
Funguka Mtu mzima.
 
Shibuda ni kweli haeleweki, lakini kukurupuka kumtosa yaweza kuwa madhara makubwa kwa uhai wa CDM. Hapa kikubwa ni kumfuatilia nyendo zake na pia asishirikishwe sana kwenye vikao vya juu vya mikakati ya CDM.
Huyu bwana inaonekana kama bado ni mtiifu kwa serikali ya CCM. Haya wakuu wa CDM kazi kwenu kumchunguza huyu virus aliyeingia kwenye system ya CDM.
 
Attachments

  • victory_001.jpg
    victory_001.jpg
    3.9 KB · Views: 33
Shibuda, mwaka jana wakati wa kuchangia makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2011/2012.

Shibuda alipinga waziwazi sera za kupinga posho kwa wabunge.

Lakini mwisho wa siku wabunge wote wa Chadema wanachukuwa posho isipokuwa mbunge mmoja tu ndio kakataa kuchukuwa posho hizo Zitto Kabwe.

Inashangaza kumjadili Shibuda peke yake wakati wote wanachukuwa posho.
 
Inashangaza sana Chadema kinamjadili Shibuda kuhusu kuunga mkono posho bungeni wakati huo huo Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika wote wanaendelea kuchukuwa posho bungeni.
Kwa nini watu kama wewe mnaupotosha umma kwa maslahi yenu? Hivi maisha magumu watanzania wa kawaida wanaopata wewe unanufaika na nini? Kuwa na moyo wa kizalendo kwa nchi yako na pia uwe na huruma kwa waliochini yako. Hayo malipo unayolipwa kwa ajili ya kazi unayofanya faida yake ni nini kwa kizazi cha baadae? Kweli kwa sasa hakuna usalama wa taifa bali kuna usalama wa CCM. Haya bwana tumieni kodi za wananchi kwa manufaa yenu ila ikifika wakati mungu ndio anasema imetosha utalia na kusaga meno. Ninyi wana usalama wa namna hii ndio mnaipeleka nchi yetu kusikoeleweka kwa sababu mnalinda maslahi ya kikundi fulani cha watu wachache badala ya kuweka mbele maslahi ya taifa.
 
MTACHONGA SANA LAKINI CCM ITABAKI KUWA NUMBERI ONE SIKU ZOTE MPAKA MWISHO WA DUNIA..ONA WATU NA RAHA ZETU 2FWATE ZAKO SIDA ILI SIWEJE...ona kwenye picha 2nafurahia Maisha Ww kila wakati unalia na kununa2
Kweli Nape ana kazi kurecruit mpaka vichaa mwaka huu

Join Date : 26th April 2012Posts : 25
Rep Power : 306
Likes Received2
Likes Given0
 
CHADEMA tupeni burudani, tusije kufika Juni 2012 bila ya maandamano; mie nafurahi mnaposhindwa KUTII SHERIA!! Hatahivyo nawapa pole watanzania wamechoka maandamano yenu yasiyo na tija
Kweli wewe sifuri, wasichoshwe na wizi unaopelekea umasikini wao, wachoshwe na maandamano ya kuwatetea.Watake radhi watz wote sio mashabiki kama wewe
 
Kwa nini watu kama wewe mnaupotosha umma kwa maslahi yenu? Hivi maisha magumu watanzania wa kawaida wanaopata wewe unanufaika na nini? Kuwa na moyo wa kizalendo kwa nchi yako na pia uwe na huruma kwa waliochini yako. Hayo malipo unayolipwa kwa ajili ya kazi unayofanya faida yake ni nini kwa kizazi cha baadae? Kweli kwa sasa hakuna usalama wa taifa bali kuna usalama wa CCM. Haya bwana tumieni kodi za wananchi kwa manufaa yenu ila ikifika wakati mungu ndio anasema imetosha utalia na kusaga meno. Ninyi wana usalama wa namna hii ndio mnaipeleka nchi yetu kusikoeleweka kwa sababu mnalinda maslahi ya kikundi fulani cha watu wachache badala ya kuweka mbele maslahi ya taifa.

Mkuu kusema Mbowe, Shibuda, Mnyika, Lissu, wote wanachakuwa posho ni kupotosha? Ebu tufahamishe wewe nani ambaye achukui posho kwenye wabunge wa Chadema.
 
Wakuu nashangaa sana Pro-Chadema JF hawajui habari za ndani za chama chao mpaka Ritz anaingia jikoni kuchukuwa data na kuleta JF subiri basi habari kutoka kwa Tumaini Makene.

Prematurity at best. CCM pekee ndio wanaoweza kukupongeza. And in fact wao ndo watengenezaji na wasambazaji pekee wa prdouct kama wewe.
 
Wanajamvi hatuhitaji kuumiza vichwa kuhusu hili pandikizi ndani ya CDM!
Jounegwalu, huo ndo uchunguzi wangu kuhusu huyu bwana magale!
This man amejipambanua kwa tabia zake, hana hata sifa moja ya kuwa mpiganaji ndani ya CDM!
 
nyie hamjamuelewa ritz nia yake ni kumchokonoa makene aje amwage habari za hicho kikao hapa ili azijue na habari zingine ambazo ni siri za kikao...by the way cdhan kama zinawahusu magamba,wabaki huko na gamba lao nape..
 
Back
Top Bottom