Chadema chamjadili Shibuda na kuandaa maandamano nchi nzima

Chadema chamjadili Shibuda na kuandaa maandamano nchi nzima

Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.

maandamano yanayohusu nini?
 
John Magalle Shibuda is neither a factor or an issue in our quest for the total liberation of our mother Tanzania and the economic and social emanicipation of our people.
Comrade do not burden your faculties thinking about shibuda any more; he is in political exile; and self imposed for that matter; R.I.P JOHN MAGALLE SHIBUDA, your hipocricy has been noted and you will go down in history as one of the greatest unpatriotic people Tanzania has ever seen
 
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.

Madaktari tulisema hatumtaki Hadji Mponda Jairo na wenzake. Leo kiko mbona atavuliwa gamba kesho tu
 
Inashangaza sana Chadema kinamjadili Shibuda kuhusu kuunga mkono posho bungeni wakati huo huo Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika wote wanaendelea kuchukuwa posho bungeni.

Hebu kwanza tuwajadili Mawaziri wabadhirifu ambao mtawavuwa gamba kesho. Fedha za miradi hazipelekwi ktk halmashauri wao wananunua mahekalu Mbezi beach! Shibuda atajadiliwa baadaye
 
Ritz, ukisikia umbea ndo huo. Isitoshe umeishaambiwa kuwa Makene atatoa taarifa ya kikao baadae, sasa wewe inakuwashia nini kukimbilia hapa kuleta habari? Huna kazi nyingine ya kufanya? Au unataka tu uonekane we ni mjanja umepata taarifa mapema. Huo si ulimbukeni na utoto? Fikiria kwanza kabla hujatenda ndugu.
 
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.

Na posho ya kikao shing ngapi...mweee...
 
Wakuu nashangaa sana Pro-Chadema JF hawajui habari za ndani za chama chao mpaka Ritz anaingia jikoni kuchukuwa data na kuleta JF subiri basi habari kutoka kwa Tumaini Makene.

Mkuu hili ni tatizo la kichama muda mrefu upashanaji habari si wa kulingana na hadhi na ukubwa wa Chama.Mara nyingi tulizoea kupata madokezo to kwa Mh.Regia RIP
 
Ritz, ukisikia umbea ndo huo. Isitoshe umeishaambiwa kuwa Makene atatoa taarifa ya kikao baadae, sasa wewe inakuwashia nini kukimbilia hapa kuleta habari? Huna kazi nyingine ya kufanya? Au unataka tu uonekane we ni mjanja umepata taarifa mapema. Huo si ulimbukeni na utoto? Fikiria kwanza kabla hujatenda ndugu.

hata kama watatangaza maandamano,RITZ una2chezea kisaikology ili Makene akija na hili 2one kuwa c jipy.hata cdm wakisema 2nywe mikojo ye2 from now 2natekeleza.
 
"You can not weaken the stronger by strengthen the weaker"
 
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.

unampenda shibuda wewe. hivi unaelewa maana ya 'shibuda'?
 
Inashangaza sana Chadema kinamjadili Shibuda kuhusu kuunga mkono posho bungeni wakati huo huo Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika wote wanaendelea kuchukuwa posho bungeni.

Mbona umezunguka sana mbuyu wewe mama MwanaHasha. Si ungeandika tu kichwa cha habari, ''Mbowe, Tundulizu, Mnyika ....., wanapokea posho mbungeni''. Ona sasa umeishia kujikanyagakanya mpaka umejinukisha mwenyewe. Aisee rtz wewe bure kabisa hufai msikitini wala kanisani!!!
 
CHADEMA tupeni burudani, tusije kufika Juni 2012 bila ya maandamano; mie nafurahi mnaposhindwa KUTII SHERIA!! Hatahivyo nawapa pole watanzania wamechoka maandamano yenu yasiyo na tija

Wewe, maneno yako yanafanana sana na ule usemi, sizitaki mbichi hizi! Unajaribu kuipuuza cdm, kama inachofanya hakikugusi, lakini kuwa mkweli, kwa nafsi yako tu, unaumia, ndani kwa ndani! Chadema inakutesa, pole!
 
yale yale ya kucheza ngoma wakati wa msiba nenda ukamsaidie jk kuchaguwa baraza la mawaziri wenye akili kama zako
 
Miye napita tu naelekea kule kwenye Thread ya ushindi wa Tundu Lisu sijamaliza kusoma post zote, yaani inahitaji uwe kichaa ndio uweze kuiunga mkono CCM.
 
Pro-Chadema JF siku zote wanakuwa vigeugeu mtu ukileta habari za Chadema humu Jamvini wanasema umbeya unakusumbua lakini wao wakileta habari za CCM, CUF, NCCR Mageuzi, TLP, wanapongezana na kujiita Ma-Great Thinkers.
 
Bila kuitaja Chadema kwako siku haijapita, jana CC ya CCM imekaa hatujakuona kukimbilia kuanzisha thread leo hata kikao cha Chadema hakijaisha unakimbilia kuanzisha usiyoyajua, pole sana.

Anyway una taarifa ya matokeo ya hukumu ya Lissu nisaidie tafadhali.
Mkuu huyu analipwa kwa kuisema vibaya CHADEMA, unless otherwise atashindwa hata kutoa HELA YA MCHEZO anayocheza na kina mama wenzie pale mtaani, ovyo kabisa huyu
 
Back
Top Bottom