Chadema chamjadili Shibuda na kuandaa maandamano nchi nzima

bangi ina rangi ganiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? kijaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wakuu nashangaa sana Pro-Chadema JF hawajui habari za ndani za chama chao mpaka Ritz anaingia jikoni kuchukuwa data na kuleta JF subiri basi habari kutoka kwa Tumaini Makene.
Kikao kimefanyika saa ngapi, usiku? maana sired yako umeposti saa 4 asubuhi na unatoa maazimio ya kikao kama si kiherehere ni nini.
 
CHADEMA tupeni burudani, tusije kufika Juni 2012 bila ya maandamano; mie nafurahi mnaposhindwa KUTII SHERIA!! Hatahivyo nawapa pole watanzania wamechoka maandamano yenu yasiyo na tija
Watanzania wepi unaowaongelea? Kama ni hao ninaowajua na mie mbona wanayasubili maandamano ya CDM popote yatakapo anzishwa
Ila nyie magamba embu anzisheni na nyie tuone nani ataandamana.
 
Inashangaza sana Chadema kinamjadili Shibuda kuhusu kuunga mkono posho bungeni wakati huo huo Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika wote wanaendelea kuchukuwa posho bungeni.
Nilitaka kusema hili bora umeniwahi,chadema mara zote si watu wa kuaminika sana hata hivyo.
 
Kikao kimefanyika saa ngapi, usiku? maana sired yako umeposti saa 4 asubuhi na unatoa maazimio ya kikao kama si kiherehere ni nini.

Mbona kuna habari nyingi za vikao vya vyama zinakuja humu JF kabla ya vikao kumalizika sikukuona kusema kiherehere?
 
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.

Aliisha sema kuwa ninyi mavuvuzela mmwache wewe kwa nini husikii?

Last edited by a moderator:
****.......tuambie kuhusu CC hayo mapenzi na mahaba kwa cdm umeanza lini?Makene ni member humu na niwajibu wake kuleta taarifa rasmi JF why 3rd hand source?
 
Mbona kuna habari nyingi za vikao vya vyama zinakuja humu JF kabla ya vikao kumalizika sikukuona kusema kiherehere?
Sio vikao kumalizika wewe umeleta hata kikao hakijaanza, nafikiri umekurupushwa na simu ya Nepi kuja kuwahi kupost hata mswaki hujapiga, yale yale ya Washili, KJ sana wewe.
 
Mbona mnamshambulia jamaa, washabiki wengine wa CDM hawajui hata kinacho endelea, wao wakiambiwa andamana wana andamana bila hata kujua sababu.
 
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikimchunguza huyu John Magale Shibuda nyendo zake na misimamo yake katika katika jamii. Nimegundua kuwa huyu bwana ni gamba damudamu tena lililo na mshipi hadi kiunoni! Nia kubwa ni kuviza harakati za CHADEMA katika ukombozi wa taifa maskini Tanzania!
Kwa kipindi kirefu tangu ajiunge na CHADEMA alijitahidi sana kuivuruga kwa misimamo ya kimagamba na alikuwa na intimate relation na CCM pamoja na wakuu wa magamba. Amejaribu kutikisa kiberiti amekuta kimejaa, amejaribu kupanda chuki za kifirauni ndani ya CHADEMA akashindwa na sasa ana mkakati wa siri na kagenge kadogo kutoka CDM na CCM wenye ya kuipunguza nguvu CHADEMA, bahati yake mbaya ame-prove failure!
My take;
CHADEMA pungezeni mawasiliano naye kabsa, ikiwezekana muwekeni kando kwakuwa hana nguvu ya kushindana nanyi pamoja jitihada zake zote!
 
Sio vikao kumalizika wewe umeleta hata kikao hakijaanza, nafikiri umekurupushwa na simu ya Nepi kuja kuwahi kupost hata mswaki hujapiga, yale yale ya Washili, KJ sana wewe.

Mkuu siku zote mie nadhani upo karibu na chama kumbe ni Chadema-Kata.

Hata hujui kikao kimeanza lini kwa taarifa yako mie napata data za ndani za Chadema kuzidi wewe Chadema-Kata wewe endelea kusubiri muda si mrefu ndio utajua ukweli wa habari ya Ritz.
 
Wewe unatapatapa tu na CDM huiwezi weye kajilalie zako JK mwenyewe kaishindwa utakuwa wewe mtumwa.
 
MTACHONGA SANA LAKINI CCM ITABAKI KUWA NUMBERI ONE SIKU ZOTE MPAKA MWISHO WA DUNIA..ONA WATU NA RAHA ZETU 2FWATE ZAKO SIDA ILI SIWEJE...ona kwenye picha 2nafurahia Maisha Ww kila wakati unalia na kununa2

ninawasiwasi na uraia wako.!
 
Back
Top Bottom