CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!

Nimegundua chadema inatajwa mara nyingi sana ina maana inaanza kuwa tishio manake unataka kuturudisha kule tulikobishana kuwa CCM chama cha waisalamu kwa kuwa na viongozi wa juu waislamu Raisi,makamu raisi wa Zanzibar na pia Central committee yote waislamu ukiacha EL
 
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!

Tumaini wewe Tumaini lako liko wapi?
Zitto Kabwe amebatizwa lini na wapi? na je siyo kiongozi wa Chadema?

Mbona viongozi wa juu wa CCM ni waislamu lakini hakiitwi chama cha waislamu?

Vichwa vya namna hii ndivyo vinaendelea kuota kwamba kwavile JK muislamu, Shein muislamu, Makamba muislamu, basi wana mamlaka ya kuamuru mahakama ya kadhi iingizwe kwenye katiba na tujiunge na OIC!

Wanaamini kwamba mtu ukiwa kiongozi inakuwa kwa maslahi ya dini yako badala ya kutumikia wananchi kwa misingi ya haki na sheria

Nina wasi wasi na uwezo wako wa kuchanganua mambo makubwa makubwa. Ni bora ukanyamaza kuliko kujianika ulivyo namna hii!
 
Teheteh...kuna ka-uweli kidogo naona imeku-touch!!!
Mambo makubwa kama yapi?...kupita hayo kupanga kufanya "Uharamia kwa Taifa" kwa kutumia dini balaa hii!
 
Niko kwenye kampeni ya TLP, inayoendelea viwanja vya Stendi Kuu hapa Bi'Mulo.
Mwenyekiti Agostino Lyatonga Mrema anaunguruma. Anamwanga mbovu kuhusu CCM na Chadema kuja kumpokonya jimbo pekee la TLP. Amewapaka. Sana viongozi wa juu wa CCM na Chadema kwa kila aina ya Tusi.
Je kwa matusi hayo anaweza kugeuza upepo?
 
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo

ukisikia pumba basi ndo hizi, lengo lako hapa ni kupanda chuki tu. Tangu lini Chadema kilikuwa chama haramu kwa Wakristo? Kuwepo Dr. Slaa hakuwezi ku-substantiate madai yako.

a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF

Kwa hiyo unataka kusema CUF ni chama cha dini pinzani ya Kikristo? Mkuu kama huna point achakuandika.

b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa

You have no evidence, hata hivyo hakuna sheria wala kanuni za vyanzo vya mapato ya vyama vya siasa Tz. Yeyote anaruhusiwa kuchangia. Suala la nyangumi au papa ni porojo na lugha za wapiganaji siyo wewe.

c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.

90% you must be kidding

d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe

Mkakati wenyewe ni upi?

NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!

Huenda hii ndiyo hofu yako kubwa, ndo maana umeweka 'NB'. Mkuu Tumain uwe tayari kuongozwa na mtu yeyote awe Muislam, Mkristo au asiye na dini. Unataka kueleza nini ktk hii hofu yako? yaani ni raha sana Rais akiwa wa dini yako! By the way sijawahi kuwa proud eti kwakuwa Rais ni dini yangu. Huu ni upuuzi unaozidi maelezo.
 
Hofu! ni msamiati kwangu...wenye hofu ni wanaopanga mikakati na hila usiku na mchana "waraka after waraka" hila after hila hao ndio wenye hofu!
Issue wawe wazi kwamba wanasupport chama gani siyo kufanya kufichaficha!
 
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!

WAKATI MWINGINE MTU UNAWEZA KUAMUA UTUKANE TU, HATA UKIFUNGIWA potelea mbali..

huuuu ni UHARO japokuwa mnasema kila mmoja ana HAKI ya kutoa mawazo yake any way asante kwa kutuonyesha UHARO wako.......
 
Kupanda chuki au kusema ukweli "kuna tofauti
 
Hofu! ni msamiati kwangu...wenye hofu ni wanaopanga mikakati na hila usiku na mchana "waraka after waraka" hila after hila hao ndio wenye hofu!
Issue wawe wazi kwamba wanasupport chama gani siyo kufanya kufichaficha!

Issue sio wawe wazi, hapa issue ni wee kutuambia hizo asilimi () umezipata wapi? issue ni hao Maaskofu walijiorodhesha CHADEMA ni akina nani tuep majina mkuu. Taja vyombo vya habari vilivyotangaza au vilivyoweka msimamo wa kuissuport CHADEMA.

Kaka/Dada hapa kubali yaishe, ondoa thread yako
 
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!

Teheteh...kuna ka-uweli kidogo naona imeku-touch!!!
Mambo makubwa kama yapi?...kupita hayo kupanga kufanya "Uharamia kwa Taifa" kwa kutumia dini balaa hii!

Mkuu,yapi katika hayo uliyooandika kwenye post mama yana hako unakoita 'ka-ukweli kidogo'?Na hayo mengine yasiyo na chembe ya ukweli umeyaandika ili iweje?Na kama yote ni kweli tupu kwanini umeya jumuisha yoote kwenye kapu moja na kuyabatiza 'tetesi'?Nini nia na dhamira yako?

Nchi yetu sote hii.Tuwe waangalifu tunapoandika.By the way,sio lazima kuandika andika.
 
WAKATI MWINGINE MTU UNAWEZA KUAMUA UTUKANE TU, HATA UKIFUNGIWA potelea mbali..

huuuu ni UHARO japokuwa mnasema kila mmoja ana HAKI ya kutoa mawazo yake any way asante kwa kutuonyesha UHARO wako.......
Brainwashed and frustated mind!
 
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!
#@*&^%$%^%#$....
 
Join Date: Sun Jun 2009
Posts: 74
Thanks: 7
Thanked 10 Times in 4 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 108,340

Idadi ya Thanks ulizopata haiendani na idadi ya post ulizopost, inaonyesha hapa tunabishana expert wa kuproduce makapi a.k.a pumba
 
Mkuu,yapi katika hayo uliyooandika kwenye post mama yana hako unakoita 'ka-ukweli kidogo'?Na hayo mengine yasiyo na chembe ya ukweli umeyaandika ili iweje?Na kama yote ni kweli tupu kwanini umeya jumuisha yoote kwenye kapu moja na kuyabatiza 'tetesi'?Nini nia na dhamira yako?

Nchi yetu sote hii.Tuwe waangalifu tunapoandika.By the way,sio lazima kuandika andika.
Nafahamu nchi yetu wote hii ndio maana sipendi watu wafanye hila zozote zile maana tutaumia wote "waliokuwepo na wasiokuwepo"
Harakati zinazoendelea zihiataji watu kufikiri kwa undani hazian mwisho mzuri kaka!! Tumaini langu waache upuuzi
 
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!

a) Inasemekana? Which means maybe or maybe not. Toa ushahidi au source ya kueleweka.

b)Siri kubwa wewe umejuaje? Kama ni siri na wewe umeweza kujua basi hautakosa ushahidi. Utoe.

c)Ushahidi wa kistatistics uko wapi unaonyesha 90% ya vyomba vya habari na mitandao inatumika kuinfluence public opinion. Orodhesha vyombo vyote na taja hivyo unavyodai ni 90% ya wakristo tupige mahesabu tujionee wenyewe.

d)Tanzania imekuwa na maraisi wawii wakristo na wawili waislamu. Una ushahidi gani kuwa waislamu wanafanyiwa mipango ya kunyimwa uraisi?

Thread yako nzima ni allegations tupu bila ushahidi. Kila kipengele is questionable. Toa ushahidi mkuu. Brainwashed and fustrated mind in deed.
 
Join Date: Sun Jun 2009
Posts: 74
Thanks: 7
Thanked 10 Times in 4 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Credits: 108,340

Idadi ya Thanks ulizopata haiendani na idadi ya post ulizopost, inaonyesha hapa tunabishana expert wa kuproduce makapi a.k.a pumba
Ala kumbe wewe unafanya hesabu? then what watakupa ubunge? nilifikiri ni uwanja wa majadiliano kumbe wengine mtafuta kura sikufahmu
jibu hoja au nyamaza!
 
Nafahamu nchi yetu wote hii ndio maana sipendi watu wafanye hila zozote zile maana tutaumia wote "waliokuwepo na wasiokuwepo"
Harakati zinazoendelea zihiataji watu kufikiri kwa undani hazian mwisho mzuri kaka!! Tumaini langu waache upuuzi

Post yako haijakaa kama ambavyo maelezo yako ya hapa, uliakiwa kuweka vizuri hoja, mkuu anza kushiriki madarasa ya debate ukajifunze kidogo namna ya kupresent hoja.
 
Back
Top Bottom