CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

CHADEMA inaweza kabisa kuongoza Nchi hii,nawashauri Viongozi wa Chadema waendelee kuwachomoa vichwa makini kutoka vya vingine hasa CCM na CUF ili ifikapo 2010 iwe imekamilisha timu ya kuongoza Nchi hii kwa umakini na kuiokoa kutoka mikononi mwa mafia wa mafisadi papa.
 
Sina Comment hapo mzee wangu na wale wote vibaraka warudi CCM ili tubaKI NA WATU MAKINI SANA
 
Kimkakati Chadema ni Chama makini sana kuliko vingine na Hata kusimamia haki kwa watu wote Tanzania
 
Tuwaunge mkono wale wote wapenda demokrasia ya kweli
 
Kama wewe unapenda maendeleo ya kweli na uhuru wa kweli utajiunga chadema
 
Kimkakati Chadema ni Chama makini sana kuliko vingine na Hata kusimamia haki kwa watu wote Tanzania
Toa mfano wa haki walizosimamia? wangwe amedai mgawo sawa yaliyomkuta kila mtu shahidi! toa mfano wa haki zipi na ipi imesimamiwa na Chadema? maneno mengi mambo yaleyale Khaa!
 
Ufisadi, EPA, Mali za Umma, Mikataba mibovu kwa Taifa, Rasirimali za Umma, Ufisadi wa Halmashauri za Tanzania, Najua wewe unajua vizuri sana lakini unajifanya kama vile huelewi lakini ukweli unaujua kwelikweli
 
Udhaifu upo vya vyote sio chadema tu. hata CCM tunawajua watu wengi tu wamepita kwa ruswa na sasa wengine ni mawaziri. Kinachotakiwa ni sisi wapiga kura mwakani tuamke na kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni, CCM wanapata nguvu ya kupitisha mambo mengi ya kijinga bungeni kwa sababu wana wabunge wengi. Wakigundua wapo hatarini wanawaita wabunge wote wa CCM na kukaa kama kamati. Wajumbe mjue kura yenu ndio itakayo badilisha nchii kuwa na barabara nzuri, umeme,maji nk. hasa pale ambapo mikataba yote ya kifisadi itakapo badiliswa na pia mafisadi watapo acha uchafu wao. Nchii ni moja ya nchi tajiri sana kwa raslimali katika Afrika, lakini tusipo angalia maisha bora yatakua ndoto tu.Tafiti zimeonyesha kuwa nchi nyingi za Africa zenye raslimali ya asili ndizo zisizo na maendeleo ya kuridhisha(Resource rich are resource cursed countries). Mifano ni kama, DRC,Nigeria, Angora,Sudan,Liberia,Siera leone nk.,Sina hakika kama TZ tunaelekea huko au tutafika huko?,maana tafiti zinaonyesha madini yalichimbwa TZ ni 4% mpaka sasa. Nchi kama Botswana serikali ina hisa kwenye migodi ya Almasi na wakasaini mikataba ya 50,50%. Jiulize kinachotufanya sisi tusiwe na hisa kwenye migodi na kufanya tuwaachi wawekezaji tu nini?. Naishia hapo maana nina uchungu sana na serilkali hii ya CCM ilivyo fanya ubinafsishaji wa kifisadi na kuachi uchumi wote wageni na sisi kubakia washangiliaji tu, Kama kungekuwa na upinzani wenye nguvu bungeni wasingefanya hayo.
 
Ndugu yangu umesema ukweli kabisa maana Nchi kama Botswana, tazama upinzani Bungeni then linganisha na hapa kwetu ni kicheko, hivyo hata serikali wanajua umuhimu wa upinzani na kusema kuna haja ya kuwa na wabunge wengi toka upinzani
 
Tunataka mabadiliko ya kweli na uhuru wa kweli Tanzania, kuwa na Bunge lenye wabunge wengi wa chama Tawala huko ni kubaka demokrasia ya kweli
 
Hakuna cha pengo wala mjomba wake.. Unganeni, ondoeni tofauti zenu mtaishinda CCM hata wakileta mchawi toka Sumbawanga..hawawezi kuiba kura zote, watajaribu lakini Umati utawasuta.. wataiba ngapi jamani wakati hesabu ya watu waliojiandikisha inajulikana na wapiga kura watajua walichagua chama gani.. Sidhani kama CCM inaomba ya Zimbabwe, Kenya au Iran yatokee..
Jipangeni acheni tofauti zetu za kulilia ruzuku hamjengi kitu... Asiyetaka kujiunga atolewe akapange jiwe lake CCM..

Mkuu..Tuko pamoja kwa hili.Hakuna cha uchawi wala nini ..inabidi upinzani uungane pamoja ili kuweza kuiondoa CCM madarakani! Tumeona nchi nyingi tu zimeweza kuondoa chama tawala kwa kutumia njia hii..
Halafu vilevile itaonyesha ni kwa jinsi gani upinzani ulivyokomaa nchini mwetu na kuwa wako tayari kuliongoza taifa letu...lakini kama wapinzani wenyewe wanashindwa kuungana hii inatatoa picha kuwa viongozi wote wa upinzani ni wenye uroho wa madaraka tu na kuwa hawana tofauti na chama tawala!
 
Bado sana kuwepo na mbadala halisi wa CCM.
Hawa ambao leo ni wapinzani,ni wapinzani wa kweli hata kwa yale wanayoyaongea kwani sijawahi kuona ambacho wamekifanya zaidi ya kukosoa serikali ya CCM kwa Mafanikio.
Wanaotaka kuiongoza TZ bila kuitawala wanatakiwa wajue njia bora na sahihi ya kuwafikia wapiga KURA WAO kwa muda na mahali sahihi.
 
Kama hamjawahi kusikia serikali kuvunjwa baada ya miezi mitatu wacheni Chadema itwae madaraka tuone.
Mnajua kipo Chama kilichokuwa kimeelekea kiutawala lakini kutokana na mbinu za hali na mali kuna majaribio ya kukifanya kionekane hakipo na badala yake kinapelekwa mbele Chadema ,hebu jaribuni kupanga safu ya serikali ya Chadema hapa tuone kama hamkuandika na kupanga manyago.
 
Tatizo ni kuwaza kwamba serikali lazima iundwe na wabunge! vichwa vimejaa sana mkuu, tena siyo vya kiswahiba, ni vichwa vya kuwajibika na kusukuma gurudumu la bongo mbele siyo kundi la wachumia tumbo!
 
Hebu Propose safu ya uongozi wa Serikali ya Tanzania chini ya Chama cha Chadema ,sina zaidi ,hapo tu jipangeni muwezavyo mtuletee safu.
 
Tatizo ni kuwaza kwamba serikali lazima iundwe na wabunge! vichwa vimejaa sana mkuu, tena siyo vya kiswahiba, ni vichwa vya kuwajibika na kusukuma gurudumu la bongo mbele siyo kundi la wachumia tumbo!

Na katiba inasema je?
 
Mkuu..Tuko pamoja kwa hili.Hakuna cha uchawi wala nini ..inabidi upinzani uungane pamoja ili kuweza kuiondoa CCM madarakani! Tumeona nchi nyingi tu zimeweza kuondoa chama tawala kwa kutumia njia hii..
Halafu vilevile itaonyesha ni kwa jinsi gani upinzani ulivyokomaa nchini mwetu na kuwa wako tayari kuliongoza taifa letu...lakini kama wapinzani wenyewe wanashindwa kuungana hii inatatoa picha kuwa viongozi wote wa upinzani ni wenye uroho wa madaraka tu na kuwa hawana tofauti na chama tawala!

kuondowa tu sio tija unaweza kuondowa harafu unaleta massive chaos .Umeona jinsi Raila wa kenya alivyosaidiwa na Ruto leo anataka kumwangamizia mbali William Ruto ,harafu saizi Raila na Kibaki zinaiva kwelikweli
 
Back
Top Bottom