CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

Hofu! ni msamiati kwangu...wenye hofu ni wanaopanga mikakati na hila usiku na mchana "waraka after waraka" hila after hila hao ndio wenye hofu!
Issue wawe wazi kwamba wanasupport chama gani siyo kufanya kufichaficha!

Tumaini! Mhhh!
Hivi dunia hii kuna watu wasiojiamni kama waislamu? Mmekalia tu madrasa na kupiga soga kwenye vijiwe na haya ndo matokeo yake. Badala ya kufanyakazi mkishatoka misikitini mnaishia kwenye vijiwe vya kahawa na ndo chanzo cha umbeya kama huu.

Ama kweli waislamu ni watu hatari. Ingewezekana mngetengenezewa ulimwengu wenu mkae huko muuane vizuri, maana sasa mpaka mnakera kwa infiriority complex zenu.
 
Ala kumbe wewe unafanya hesabu? then what watakupa ubunge? nilifikiri ni uwanja wa majadiliano kumbe wengine mtafuta kura sikufahmu
jibu hoja au nyamaza!

Kaa kimya wewe HUNA HOJA HUTAJIBIWA, hapo umeleta PUMBA TUPU, umekurupushwa kichaka gani wewe?
 
Tumaini! Mhhh!
Hivi dunia hii kuna watu wasiojiamni kama waislamu? Mmekalia tu madrasa na kupiga soga kwenye vijiwe na haya ndo matokeo yake. Badala ya kufanyakazi mkishatoka misikitini mnaishia kwenye vijiwe vya kahawa na ndo chanzo cha umbeya kama huu.

Ama kweli waislamu ni watu hatari. Ingewezekana mngetengenezewa ulimwengu wenu mkae huko muuane vizuri, maana sasa mpaka mnakera kwa infiriority complex zenu.
Chuki iliyo dhahiri
 
Tumain
Senior Member
Join Date: Sun Jun 2009
Posts: 74
Thanks: 7
Thanked 10 Times in 4 Posts
Never argue with ...., onlookers may not be able to tell the difference". ...
 
Hilo chopa ndio biashara ya Mbowe analitumia weweeeee harafu mkipata wabunge ile posho inakatwa yote kwa ajili ya chopa.

Jamaa ni mfanya biashara makini ameona uwezekano wa kupata hiyo posho ni ndogo hivyo pesa yake haitarudi kwa haraka kaamuwa kukaacha na ukizingatia kule busanda walimiss.
teh teh teh teh teh
CCM mbofu mbofu CHADEMA nayo ndiyo hiyo ,CUF wao si mafisadi ila nafikiri wana something behind.


Sema wewe kiazi... nikisema mimi mhongo nna uchungu....
 
Kwani kuna tatizo gani kubadili mbinu za kivita? Labda kwa wale walio kwepa kwenda JKT ambao hawakupata Mbinu za.. uwapo vitani

Bravo Chadema kwa kubadili njia hasa kufika vijijini walipo wapiga kura wengi wasio jua chanzo cha umasikini wao ni huyo wanaye ambiwa wampe kura yao!

Inawezekana sababu kuwa ni kubadili mbinu lakini to rule out kuishiwa kwa mfadhili pia
 
Yaani thread zingine kwa kweli ni majungu! Mtu analeta kitu hakina kichwa wala miguu. Hakuna cha source wala nini. Hii haifai. Ni umbea na uchochezi.
 
Uchaguzi Biharamulo
* Mwenyekiti CHADEMA akatwa mapanga
* Pikipiki yachomwa moto

Na Suleiman Abeid, Kagera[/B]

IKIWA zimesalia siku mbili kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika jimbo la Biharamulo Magharibi mkoani Kagera, damu imemwagika baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Chato, Bw. Stephen Nyororo (59) kujeruhiwa kwa kukatwa mapanga na pikipiki moja kuteketezwa kwa moto.

Tukio hilo lilitokea juzi saa 10 jioni katika kijiji cha Kagoma kata ya Runazi wilayani Biharamulo baada ya mwenyekiti huyo na wafuasi wengine wawili wa CHADEMA kushambuliwa kwa kipigo na kukatwa mapanga na watu wanaohisiwa kuwa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza na waandishi wa habari katika wodi namba tatu ya Hospitali Teule ya Wilaya ya Biharamulo, Bw. Nyororo, alisema alifikwa na mkasa huo baada ya vijana wapatao 15 kuwavamia walipokuwa wamekaa chini ya mti wakiongea katika kijiji cha Kagoma.


"Kwa kweli sielewi kwa nini tulishambuliwa, siku hiyo sisi tulikuwa tumekaa chini ya mti na wenzangu wawili tukiongea pale katika kijiji cha Kagoma, ghafla lilipita gari la watu wa CCM akiwemo mwenyekiti wa Taifa wa UWT, Bi. Sophia Simba, alitusalimu kwa ishara yao ya kuweka dole gumba, na sisi tulimnyooshea kumjibu,"



"Lakini baada kama ya dakika kumi hivi lilikuja gari aina ya Land cruiser lenye maandishi ya Serengeti ubavuni, wakateremka vijana watatu na kumwita kijana mmoja tuliyekuwa tumekaa naye, kijana alikataa, ndipo walipoamua kumfuata huku wakihoji kwa nini amekataa kwenda alipoitwa ghafla walianza kumshambulia," alieleza Bw. Nyororo.



Alisema baadaye waliteremka vijana wengine kutoka ndani ya gari hilo huku wakiwa na mapanga waliowafuata na kuanza kuwashambulia kwa fimbo huku wakiwakata mapanga hali ambayo ilisababisha wenzake wawili aliowataja kwa jina moja moja la Bw. Juma na Bw. Goosayi wakimbie.


Bw. Nyororo aliendelea kueleza kuwa baada ya wenzake kukimbia kundi la vijana hao walimfuata yeye alipokuwa amesimama na wakaanza kumshambulia kwa kumkata mapanga sehemu za kichwani na mikononi na kusababisha kujeruhiwa vibaya kiganja chake cha mkono wa kushoto.



"Hii mikono nilikatwa wakati nakinga ili panga lisinikate shingoni ndipo likakata kiganja cha mkono wa kushoto huku wakinipiga fimbo hali iliyosababisha nianguke chini na mmoja wa wale vijana alichukua chupa aliyokuwa nayo na kunipulizia dawa usoni ambayo ilikuwa kali na nikashindwa kuona," alidai Bw. Nyororo.


Alisema baada ya kuona hali hiyo alisimama kwa tabu na kuanza kukimbia ambapo alikimbilia katika ofisi ya mtendaji wa kijiji lakini hata hivyo Ofisa mtendaji aliyekuwa nje ya ofisi yake alimfukuza akimueleza kuwa aondoke eneo hilo kwa vile anaweza kumsababishia vurugu.


Bw.Nyororo ambaye ni Meneja Kampeni wa Mgombea Ubunge katika jimbo la Biharamulo magharibi kwa tiketi ya CHADEMA katika kata ya Nyamigogo, alisema baadae alikimbilia shuleni ambako aliokolewa na mwalimu wa shule hiyo aliyemtaja kwa jina la moja la Mwalimu George.

Alisema baadaye walipiga simu kuomba msaada wa Polisi pamoja na kuwaarifu viongozi wa CHADEMA waliokuwa katika mkutano wa kampeni eneo Runazi ambapo walikwenda katika kituo cha Polisi alikopewa fomu namba tatu na kupelekwa Hospitali Teule ya Wilaya kwa ajili ya kupatiwa matibabu.


Hata hivyo, alisema mbali ya wao kushambuliwa pia vijana hao waliharibu pikipiki moja waliyokuwa wakiitumia kufanyia kampeni ambayo ilichomwa moto na kuteketea kabisa.



Kwa upande wake Kamanda wa Operesheni Uchaguzi Jimbo la Biharamulo Magharibi, Bw. Telesphory Anaclet alikiri kutokea kwa tukio hilo na kwamba tayari Polisi ilikuwa ikiwasaka watu waliohusika.



"Ni kweli tukio hilo limetokea ambapo watu watatu wamejeruhiwa ...tumepeleka vijana wetu wanaoshirikiana na wananchi kuwasaka wahusika pamoja na gari lao lenye namba T.895 ANC ili tuweze kuwakamata," alieleza Kamanda Anaclet.



Kamanda Anaclet alisema gari linalodaiwa kutumiwa na watuhumiwa hao lilikuwa aina ya Toyota Land cruiser lenye rangi nyeupe na nembo ya wanyama na maandishi ya Seregenti ambalo linadaiwa kutoroka mara tu baada ya tukio hilo na kwamba pikipiki moja iliteketezwa kwa kuchomwa moto.


Source: Majira
 
Last edited by a moderator:
Inauma sana uchaguzi mdogo unaghalimu maisha ya watu. Ni ajabu sana, vp 2010 itakuwaje?
 
leo kuna thread nyingi sana zinamtaja mengi kwa njia moja au nyingine
kulikoni
au ndio wanamtandao on the attack
 
Tz watu wamenza kujadili dini, kama vile tumeshaendelea kama marekani, muanzisha thread, hii kitu ina manufaa kweli kwa watanzaia, mbona wengi wetu ni waislamu-wakristo!huko dunia gani??
 
Masatu na MkamaP, si muandikieni tu KILUGHA? Jego Masika.......

Mwaambizana na kukubaliana utafikiri watenda dhambi wanaokubaliana kuwa maadamu wanavyoiba, wanalipa fungu la kumi kanisani, basi wanafanya vema. Wapi MkamaP na Masatu wakawa akina Robin Hood?

Halafu nilikuwa sijui kuwa Masatu ni Mhogo Mchungu (Lyongo) na MkmaP eti yeye ni vile viazi vya Matobolwa (vimekaushwa na viekuwa vilainiiii, vitamu kichizi.....

Nilikuwa natak tu kuwasalimu, mnaendeleaje huko Mijini? Sikonge tunakumiss sana Masatu........
 
Masatu na MkamaP, si muandikieni tu KILUGHA? Jego Masika.......

Mwaambizana na kukubaliana utafikiri watenda dhambi wanaokubaliana kuwa maadamu wanavyoiba, wanalipa fungu la kumi kanisani, basi wanafanya vema. Wapi MkamaP na Masatu wakawa akina Robin Hood?

Halafu nilikuwa sijui kuwa Masatu ni Mhogo Mchungu (Lyongo) na MkmaP eti yeye ni vile viazi vya Matobolwa (vimekaushwa na viekuwa vilainiiii, vitamu kichizi.....

Nilikuwa natak tu kuwasalimu, mnaendeleaje huko Mijini? Sikonge tunakumiss sana Masatu........

Teh teh
lyongo ama lumala teh teh teh teh .Huko sikonge ndiko kuna matobolwa lakini kanda ya ziwa kuna Mchembe .teh teh teh teh Na ukiingia kule ndani zaidi utakuta kuna samaki anaitwa gogogo huyu ni samaki noma.Sasa eti CHADEMA nao wanajifanya gogogo
 
Yaani thread zingine kwa kweli ni majungu! Mtu analeta kitu hakina kichwa wala miguu. Hakuna cha source wala nini. Hii haifai. Ni umbea na uchochezi.
Habari zaidi na source zitakuja soon! ndio maana umeanza kama tetesi...
Umbea na uchochezi unaujua wewe ...mimi nakupa tu habari kwamba hayo yanatokea kwa jinsi "mtiririko wa matukio" unavyokwenda. Habari zaid zinakuja?
 
Pamoja na Mrema kuisakama CCM na Chadema, alimsifu rais Kikwete kwa kutoa ndege ya serikali kuusafirisha mwili wa Kabuye.
Kwa muda mrefu sana Mrema alimwaga mashambulizi huku akimtaja taja Marehemu Kabuye na kuzungumza kwa huruma na sauti ya unyenyekevu na kutetemeka kama anayejuzuia kulia, hali ambayo itapolekea kama ni TLP kupata kura, itapata kura za symphathy ya kuondokewa na kipenzi chao Kabuye.
 
Hivyo naomba kuuliza kuwa kwanini mara zote CCM wanafanyia vurugu na hawa wahusika hawachukuliwi hatua yoyote ile????? NAOMBA jibu tafadhali
 
Back
Top Bottom