CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

sina chuki nawe ila naichukia sana sisi m....... Yako na mtembei maana wote nyie mko kundi moja katika chama cha majambazi tanzania.
mradi wako wa kitabu umefikia wapi? Siku ya kwanza umeingia tu unapisha bakuli hukujui hao ni wachagga? Ulifikiri uko buguruni kwa maalim ukipitisha bakuli unapeta tu. Huko kugumu ndugu yangu.mwakani kagasheki anakupiga kama umesimama.
 
Kauli hiyo itakuwa na ukweli tu kama kutakuwa na Demokrasia ya kweli ndani ya nchi yetu. Pia uwazi katika mchakato mzima wa maandalizi ya uchaguzi hadi kutangaza matokeo. Hapa ndipo tu dhuluma hutokea kwa wananchi kunyimwa haki yao ya msingi ambayo ni kutangaziwa mshindi kwa mjibu wa mtiririko wa kura zilivyopigwa. Yawezekana kweli Kikwete alishinda, lakini katika uchaguzi wa wabunge mara nyingi ujanjaujanja tu ndiyo tuhumiwa kushinda kwa CCM. CCM wanatumia mwanya wa ujinga wa wananchi juu ya haki yao ya msingi kumchangua mwakilishi makini kwa ajili ya ustawi wa maisha yao. CHADEMA wanaweza kubaki kuwa wasindikizaji tu kwa sababu ya madhaifu ya kimfumo yaliyopandikizwa na chama tawala. Lakini hakika dalili ya mvua ni mawingu. Yaliyofanywa na CHADEMA yanatosha kabisa kusema ni chama mbadala kukipa changamoto CCM kwa wakati huu na ujao.
 
haswa kwa kumzuia Zitto na KUMPA MTOTO WAKE(MBOWE) UENYEKITI.KWELI MZEE HUYU OVYO NAKUUNGA MKONO.
Kuna msanii mmoja simkumbuki jina kaimba wimbo mzuri kweli, kiitikio chake ni ".......DUNIANI KUNA WATU NA VIATU.." sasa nimejua alikuwa anamaanisha nini.
 
Kanda 2, Sikuelewi. Zitto eti ni ccm? Najua anasoma na anachangia ktk JF. Kwa hakika tunastahili ufafanuzi toka kwake.
 
Kanda 2, Sikuelewi. Zitto eti ni ccm? Najua anasoma na anachangia ktk JF. Kwa hakika tunastahili ufafanuzi toka kwake.

Kilasara;

Naomba uuache upuzi wako huo, nadhani kama hauna cha kuandika si lazima uchangie, tumia akili tu hata kidogo, najua una uhuru wa wa kuuliza, kusema lakini sivema kuuliza upuuzi.
 
Kwani huyu kada ni nani?? Mbona anakuja na freaking za ajabu sana hapa?? Mbona huwa husemi ukweli hata kidogo
 
Chama cha democrasia na maendeleo kimezidi kuonekana kuwa mbadala wa ccm kutokana na jinsi serikali inavyoendesha nchi , usanii , unyanyasaji na udini vikiwa ndiyo mtaji wa ccm , kung'ang'ania uwajibikaji wa pamoja hata katika kuiua nchi , huo ni ujambazi usioweza kuvumiliwa, falsafa mfu za akina makamba na tambwe hiza , wote hawa ni marahemu wa kisiasa wanaotembea, hakuna jinsi ccm inaweza kuiendesha nchi hii bila ya chadema, sote yunajua chadema ni chama cha wanyonge na wapigania uhuru wakati ccm ni mufilisil ya mafisadi.
 
hapo upo mkuu! Hivi unakumbuka kwenye irani ya CCM ya 2005 kulikuwa na suala la mahakama ya kadhi ambalo halikuwahi kutekelezwa kwa vile CDM hawakuwa nalo! Na Irani ya CCM 2010 ilikuwa kweli na suala la KATIBA!!!???? ..sasa ya nini kutekeleza mawazo ya CHADEMA ambao waliihahidi kwa siku 100! Kwa nini wasiwapishe wakatekeleza mawazo yao wenyewe, maanda hata Watanzania waliwakataa kama ushahidi ulivyo wazi
 
Ndugu zangu wana JF,
Inawezekana mawazo yangu yakawa yanawakilisha mawazo ya Wanzania wengi. Ninapenda sana mageuzi hasa yenye nia ya kuleta maendeleo ya Watanzania walio wengi. Nimekaa na CCM kwa kipindi kirefu sasa na inawezekana kama hulka za binadamu zilivyo, nikataka kuona chama kingine kikiingia madarakani kikiwa na mambo mapya.Naomba mnisaidie, hivi mbadala wa CCM katika masuala ya amani ya nchi, uzalendo, maendeleo NK inaweza kuwa Chadema?
 
Mabadiliko kwa sababu tu eti CCM imekaa madarakani muda mrefu au kuna hoja ya msingi? hoja gani hiyo ambayo CHADEMA wanaweza kuwa mbadala wa CCM? Binafsi naona Kama mbadala ni CHADEMA, basi bado sana.
 
Tunasikia mengi sana yakinadiwa na ahadi lukuki ambazo huenda tukashiwishika. Pili binadamu tuna hulka ya kutaka mabadiriko tu kama ambavyo mtu huamua kubadirisha rangi ya nyumba yake kwa sababu iliyopo imekaa muda mrefu na si vinginevyo. Swali langu iwapo CHADEMA kinaweza kuvaa viatu vya CCM na vikawatosha tukaenda tukutakako.

Mabadiliko kwa sababu tu eti CCM imekaa madarakani muda mrefu au kuna hoja ya msingi? hoja gani hiyo ambayo CHADEMA wanaweza kuwa mbadala wa CCM? Binafsi naona Kama mbadala ni CHADEMA, basi bado sana.
 
Mabadiliko kwa sababu tu eti CCM imekaa madarakani muda mrefu au kuna hoja ya msingi? hoja gani hiyo ambayo CHADEMA wanaweza kuwa mbadala wa CCM? Binafsi naona Kama mbadala ni CHADEMA, basi bado sana.

"Tumefika hapa kwa sababu ya serikali DHAIFU ya CCM,wabunge DHAIFU wa CCM, rais DHAIFU wa CCM na umbumbumbu wa wananchi wa Tanzania"

Kajirita
 
Back
Top Bottom