CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

Nimegundua chadema inatajwa mara nyingi sana ina maana inaanza kuwa tishio manake unataka kuturudisha kule tulikobishana kuwa CCM chama cha waisalamu kwa kuwa na viongozi wa juu waislamu Raisi,makamu raisi wa Zanzibar na pia Central committee yote waislamu ukiacha EL
CHADEMA ni Tishio kwa Siasa za tanzania ndio maana inatajwa sana kuliko vyama vingine vyote, Tazama hata humo ndani kati ya wale walipata kuchangia kuhusu CHADEMA ni wengi kuliko cha chochote kile.tatizo sio upadre wala nini?? Mbona Mafisadi nayo nayo yanatoongoza?? Hata kama akiwa muchungaji kama ni masafi kwa matendo yake kuna nini?? Tunataka watu wasafi na wazalendo wa Taifa hili. Dr. Slaa ni Mzalendo wa kweli
 
Hivyo naomba kuuliza kuwa kwanini mara zote CCM wanafanyia vurugu na hawa wahusika hawachukuliwi hatua yoyote ile????? NAOMBA jibu tafadhali
Kwasababu CCM=Dola; hakuna tofauti kati ya dola na siasa kumbuka CUF zanzibar walivyadhibiwa for 15 years now..chadema lazima wa-undergo hizo stages za kuumizwa kama inataka kuwa upinzani kwelikweli
Tunasubiri wafe watanganyika 27 ndio watakuwa na akili
 
Ni kweli, Lakini kila wakati ni CHADEMA ndio maana naona kuwa Tishio la CCM ni CHADEMA kwa sasa. ndio maana kila wakati vurugu ni CHADEMA na CCM, Ngoja wasubiri mwakani uone kila Sehemu itakuwa kama vuguvugu kubwa sana, wanapaswa kujua na kufuata sheria na sio kufanya siasa za Kishetani kama hivi wanavyofanya CCM inatia Hasira sana kuona watu wanakatwa mapanga kila wakati katika chaguzi ndogo kama hizi.
 
Lazima wafanye siasa kwa ustarabu sio watu kupigana mapanga
 
Tumain said:
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF

Tumain,
Sema jingine lakini si hilo jambo kwenye rangi hapo juu. Halina hata chembe ya ukweli.

Nakumbuka vizuri ni mimi niliyedokeza kwenye post yangu ya "Yaliyojili BK-mjini Leo" kuwa Waumini wa dhehebu moja, wanaofahamika kwa misimamo mikali walikuwa wameanzisha propaganda kuwa Lwakatare alikuwa ameshauriwa na Maaskofu kuhama CHADEMA. Hiyo ilitokana na ukweli kuwa wao walikuwa wanamtumia Lwakatare kuganga njaa zao ndani ya CUF.
 
As much as I would like to see the opposition prosper in Tanzania it is premature to start thinking that the opposition is going to cause any tide of change next year. We ave to be rational and logic about these things siyo kuendekeza ushabiki tu. Huu ushabiki usio na facts and reasoning haisaidii upinzani. The best way we can help them is to tell them what they are doing wrong so that they can improve.
 
Tumaini! Mhhh!
Hivi dunia hii kuna watu wasiojiamni kama waislamu? Mmekalia tu madrasa na kupiga soga kwenye vijiwe na haya ndo matokeo yake. Badala ya kufanyakazi mkishatoka misikitini mnaishia kwenye vijiwe vya kahawa na ndo chanzo cha umbeya kama huu.

Ama kweli waislamu ni watu hatari. Ingewezekana mngetengenezewa ulimwengu wenu mkae huko muuane vizuri, maana sasa mpaka mnakera kwa infiriority complex zenu.

Generalisation kitu kibaya sana, kwanini unawatusi waislam kama ni wambeya, watu hatari na wenye inferioty complex? Kisa wametajwa maaskofu na Chadema ndio hasira zote hizo?
 
Hivyo naomba kuuliza kuwa kwanini mara zote CCM wanafanyia vurugu na hawa wahusika hawachukuliwi hatua yoyote ile????? NAOMBA jibu tafadhali

Hili swali lako ungelielekeza kwa wale Wakara(lol) wawili Masatu a.k.a Masato na MkamaP wanaweza kukupa jibu zuri sana. Ila naweza kulibashiri litakuwa hivi: " hao ni CHADEMA wenyewe wameamua kumkata mapanga mwenzao ili kuisingizia Chama Cha Mafioso.
 
Hofu! ni msamiati kwangu...wenye hofu ni wanaopanga mikakati na hila usiku na mchana "waraka after waraka" hila after hila hao ndio wenye hofu!
Issue wawe wazi kwamba wanasupport chama gani siyo kufanya kufichaficha!

Sasa mbona unachekesha wewe? Wewe umesema wanasapoti Chadema ..halafu tena unakuja kueleza habari za watueleze wanasapoti chama gani..hivi kuna uzima ktk akili yako?
 
Kwasababu CCM=Dola; hakuna tofauti kati ya dola na siasa kumbuka CUF zanzibar walivyadhibiwa for 15 years now..chadema lazima wa-undergo hizo stages za kuumizwa kama inataka kuwa upinzani kwelikweli
Tunasubiri wafe watanganyika 27 ndio watakuwa na akili

Wewe utakuwa umetoroka Mirembe ..sio bure..
 
Habari zaidi na source zitakuja soon! ndio maana umeanza kama tetesi...
Umbea na uchochezi unaujua wewe ...mimi nakupa tu habari kwamba hayo yanatokea kwa jinsi "mtiririko wa matukio" unavyokwenda. Habari zaid zinakuja?

Ni vyema umemalizia na alama ya kiulizo..lol..hivi ID nyinginyingi za nini hasa?
 
Sijakuelewa unataka nini?? maana kuna kila dalili za mambo haya bwana mzee
 
Mkuu Mag3 na Josh
Hoja zenu zinanikosha sana.Kwanza natoa shukrani kwa crew members wa jamiiforums kwa kutupatia uwanja wa kubadilishana mawazo ili hatima ye tuweze kujenga taifa endelevu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania!
 
Hii ndio Jamiiforums aka JF na sisi ndio washika dau mwenyewe, Ni lazima tuwe na uwezo wa kujenga Taifa lenye mapenzi mema na lenye demokrasia ya kweli na hii itaifanya taifa hata Serikali kuwajibika kwa watu na kuona tunapata maendeleo ya kweli
 
Kazi kubwa waliyofanya Chadema wanapaswa kuungwa mkono kwa hali na mali kubwa sana katika siasa za Tanzania katika ujumla katika kutetea maslahi ya Tanzania
 
Kazi kubwa waliyofanya Chadema wanapaswa kuungwa mkono kwa hali na mali kubwa sana katika siasa za Tanzania katika ujumla katika kutetea maslahi ya Tanzania

JOSH,
Njia sahihi ya kuiunga mkono CHADEMA, ni kuwapatia wagombea wake kura nyingi katika uchaguzi mkuu ujao.
 
Vyama vya 'upinzani' vinatakiwa viungane! viongozi wa vyama hivi waache ubinafsi! Bila kuungana kuiangusha CCM ni zaidi ya miaka 20 au zaidi ijayo!UMOJA ni nguvu. ... Halafu kwanini waita vyama vya upinzani? kwanini wasiite vyama vingine vya siasa? kama hili ni refu kwanini usitafutwe msamiati mbadala! kuwaita wapinzani kunaharibu kabisa mantiki ya kuwepo kwa vyama vingi bora hata wangewaita washindani!
 
Mhh
Ni rahisi kwa chadema ama cuf kuungana na ccm kuliko chadema kuungana cuf
 
We Ngongo vipi mbona una mawazo mgando? Polisi wenyewe wamechoka na mishahara midogo wanalinda benki afu hawalipwi unafikiri watakubali tena kulinda kura za CCM? sasa wameanza kuiba benki wanazolinda hujaona NMB Temeke? majambazi wa mabomu wametoka wapi si ni polisi hao? Afu nilimshangaa Kova anasema ni silaha za kivita hazipo nchini, nilishindwa kumshangaa.

Wakurugenzi wenyewe wanataka mabadiliko japo wachache na wengine bado wanakubali kufanya hivyo kulinda kula yao wasifutwe kazi.

Lakini jambo moja kubwa ni kwamba wewe mwenye mawazo mgando badilika kwanza usikatishe watu tamaa, tushawishi kina Lipumba, Mbowe na Mbatia waunganishe vyma vyao vingine viacheni mana viko kama NGO'S havielwei vinafanya nini.

CUF na CHADEMA wakikubali kuunganisha nguvu tutashinda. Sawa Ngongo? Sisi wa Wilayani tumeshaamua kujiunga na Chadema hata kama viongozi wetu hawataki huko watajikuta wako wenywe na vyma vyao. Lengo siyo kuwa wapinzani kila siku tunataka dola na Chadema ndiyo chama mbadala msitucheleweshe mnataka ufike wakati wa uchaguzi tupigwe bao?

Someni alama za nyakati mwaka 2010 tukikosa Rais tupate wabunge wakutosha ili kudhibiti ufisadi, sawa wanaharakati? Ngongo kubali bwana!
 
Chadema watakuwa makini katika uchaguzi Mwakani wanaweza kupata viti vingi sana katika Wabunge hata Serikali Kuu pia, na Pia wanaweza kutoa changamoto kubwa kwa CCM, Ukiona kuwa Serikali dhaifu basi na vyama vya Upinzania pia ni dhaifu
 
Back
Top Bottom