CHADEMA & CCM Jiangalieni!

Labda Nassari nitaelewa. Lakini kusema watu wazima wakae chini na kumjadili huyu chizi Shibuda ni utani mbaya. Everyone expected to see Shibuda doing what is he doing now. Ningeshangaa kama Shibuda angekaa kimya na kuachanan na undumi la kuwili. Atakula nini wakati ameajiriwa kuwa ndumi la kuwili?
 
- Hoja yake ni kwamba kuna tatizo katika njia ya kutafuta mgombea urais huko upande wa pili, tuachane na yeye kama Shibuda!

William.
 
Wewe unayesema wabunge 95% wanatoka Kaskazini bila ya kutaja idadi na sehemu wanazotoka....
.... 95% ya wabunge wa kupendelewa wa chadema ni kutoka kanda ya kaskazini?
.....ni sawa na huyu anayesema....kuna wabunge wengi kutoka sehemu mbali mbali.
Usitake kupotosha watu hapa kuna wabunge wa sehemu mbali mbali wa viti maalumu
Njooni na takwimu tuone na tujadili hoja, kama hii hoja ni kuyadili hapa.
 
we william nilikuwa nakuona una busara kumbe na ww una akili kama za wenzio,ss shibuda kwa maneno anayoyatamka unamuona yuko timamu kweli,yy ana nia ya kugombea kwann asifuate taratibu za chama chake?yaani sawasawa unamatatizo na familia yako unatoka unaenda nyumba ya jirani unaanza kuitukana familia yko, huyu jamaa angekuwa ana nia njema angepambana kwenye vikao vyao halali ili kama mfumo haufurahii nazani wangepata ufumbuzi,kuliko anvyofanya sasaivi anaonekana ametumwa kuanzisha chokochoko chadema,maneno meeengi mara mtambuka ,yaani haeleweki anataka nn.
 
Hivi ni kweli 95% ya wabunge wa kupendelewa wa chadema ni kutoka kanda ya kaskazini?

Kama kweli, ni vipi utawafananisha na CCM? hiyo si ndio majimbo and kanda at its best?

MAJINA YA WABUNGE WATEULE 23 WA VITI MAALUMU WA CHADEMA NI:

  1. Lucy Owenya,
  2. Ester Matiko,
  3. Mhonga Ruhwanya,
  4. Anna Mallac,
  5. Paulina Gekuli
  6. Conchesta Rwamlaza,
  7. Suzan Kiwanga,
  8. Suzan Lyimo,
  9. Grace Kiwelu,
  10. Regia Mtema, [Marehem]
  11. Christowaja Mkinda,
  12. Anna Komu,
  13. Mwanamrisho Abama,
  14. Joyce Mukya,
  15. Leticia Nyerere
  16. Chiku Abwao.
  17. Naomi Kaihula,
  18. Grace Kiwelu,
  19. Rose Kamili,
  20. Christina Lissu Mughiwa,
  21. Raya Ibrahim,
  22. Philipa Mturano,
  23. Miriam Msabaha
  24. Rachel Mashishanga.

Tena kusema 95% nimekuwa "conservative" ukiitazama vizuri utakuta zaidi.
Nilijibu post yako bila ya kuiona hii. Asante kwa kutuhabarisha. Unaweza, tafadhali, kuiboresha na kutuwekea sehemu wanazotoka, na kuweka katika mabano neno/kanda "Kaskazini?". Nimeona hii orodha hapa https://www.jamiiforums.com/tanzani...ti-maalum-chadema-ccm-na-cuf.html#post1179981 lakini nimeshindwa kujua vigezo vya "kaskazini" inaanzia wapi na kuishia wapi.
 
- Hoja yake ni kwamba kuna tatizo katika njia ya kutafuta mgombea urais huko upande wa pili, tuachane na yeye kama Shibuda!

William.

The thing is William, hakuna upande wowote ambao umeshakaa chini na kuanza mchakato wa kufatua mgombea urais. We have more than 2 yrs mpaka uchaguzi ujao, na hapa tutofautishe 'mchakato binafsi vs mchakato wa kichama'.

Ukisoma hoja za Shibuda ni kwamba (a) ametangaza nia yake huko CCM kwa sababu CCM wana ofisi zenye "hadhi", (b)anaamini hawezi kushinda bila ccm na (c) CCM walimdhulumu hivyo hataki kunyanyaswa huko CHADEMA. Kwa haraka haraka ni vigumu sana kujua Shibuda anasema nini hapa! His rherotic iko so disjointed. Ni vigumu kujua kwa nini ametangaza nia yake sasa na kwa nini mbele ya NEC ya CCM. Amevutiwa na sera za CCM? au amechoshwa na sera CHADEMA?
 
Hivi Chadema nacho kinaaminika kitachukua nchi ya Tanzania kama chama tawala?, labda miaka 1000, mbele ambayo nayo haitafika kabla ya dunia hii iliyochoka na kuchakaa kufikia mwisho wake ili kukaribisha ujio wa dunia mpya, labda kama Chadema wataongozea motoni hapo sawa.
.
"USIJITUKUZE MBELE ZA USO WA MFALME, WALA USISIMAME MAHALI PA WATU WAKUU".

acha uongo, Dunia haijachoka wala kuchakaa, ipo vilevile kama Mungu alivyoiumba, vilivyochoka na kuchakaa ni wewe na ccm.
 
- Unajua Great Thinker anatakiwa kujua kwamba Meli zote za kimataifa Duniani, kama nilizowahi kuzifanyia kazi hakuna hata moja isiyokuwa na machine maalum za kubebea mizigo yake.

- Elimu yangu ipo very clear na unajua sana maana ungekuwa unaamini unachokisema ungeileta hapa, sasa unataka na mimi nidai CV za baadhi ya Viongozi wenu huko upande wa pili? ha! ha! ha! ha!

- Kwenye mtoto wa gamba atleast unasema tatizo lako la msingi; HOWEVER: vipi kuhusu mada maana hujaigusa kabisa zaidi tu ya kunijadili mimi! ha1 ha! ha!

William.

Kuwa mkweli will kuwa wewe hujasoma na hata CV zako umeziambatanisha na vijicertificate vya ajabu pia hata unayoandika humu yanaendana na CV yako.
 
Kuwa mkweli will kuwa wewe hujasoma na hata CV zako umeziambatanisha na vijicertificate vya ajabu pia hata unayoandika humu yanaendana na CV yako.

- Ungefunguliwa thread yake, maana kama umesoma ungejua kwamba hii thread inahusu mengine kabisa inajisema yenyewe kuhusu elimu yako1 ha! ha! ha1

William.
 
we william nilikuwa nakuona una busara kumbe na ww una akili kama za wenzio,ss shibuda kwa maneno anayoyatamka unamuona yuko timamu kweli,yy ana nia ya kugombea kwann asifuate taratibu za chama chake?yaani sawasawa unamatatizo na familia yako unatoka unaenda nyumba ya jirani unaanza kuitukana familia yko, huyu jamaa angekuwa ana nia njema angepambana kwenye vikao vyao halali ili kama mfumo haufurahii nazani wangepata ufumbuzi,kuliko anvyofanya sasaivi anaonekana ametumwa kuanzisha chokochoko chadema,maneno meeengi mara mtambuka ,yaani haeleweki anataka nn.

- Unaenda nyumba ya jirani kulalamikia familia yako kama within familia yako hakuna open system ya members of the family kusikilizwa malalamiko yao ya kifamilia, and that is exactly hwat Shibuda did kama ninakuelewa hoja yako!

William.
 
CHADEMA walishaachana na sera ya majimbo kisilencer. Katika uchaguzi wa 2010 hawakuinadi tena sera hiyo. Mpaka sasa wanasema wana "rasimu sifuri" ya sera ya majimbo. Sera kamili wataitengeneza "when time is right".
Hata hivyo kukweli kabisa ile sera ya majimbo kwa structure waliyoitengeneza CHADEMA haitekelezeki, hasa pale waliposuggest cheo cha Rais wa Zanzibar kivunjwe na kuunda cheo cha waziri mkuu wa Unguja na wa Pemba! That was the most ridiculous naivity of CHADEMA!!!
 
Nilijibu post yako bila ya kuiona hii. Asante kwa kutuhabarisha. Unaweza, tafadhali, kuiboresha na kutuwekea sehemu wanazotoka, na kuweka katika mabano neno/kanda "Kaskazini?". Nimeona hii orodha hapa https://www.jamiiforums.com/tanzani...ti-maalum-chadema-ccm-na-cuf.html#post1179981 lakini nimeshindwa kujua vigezo vya "kaskazini" inaanzia wapi na kuishia wapi.

Ukisoma vizuri post yangu utaona nimeuliza swali, usikurupuke. Rudia tena kusoma post zangu. Sasa unataka mimi niulize na mimi nijijibu?
 
Tukumbuke kuwa ni Shibuda huyo huyo aliyekuwa na tatizo na establishment ya CCM kuhusu jinsi ya kupata wagombea wa Ubunge na ndicho kilichompeleka CDM. Labda tujiulize tatizo ni CCM, CDM or Shibuda? Nani hapa ni common denominator (main tatizo?)

Kwa kawaida kila ujumbe una maudhui,lakini si kila ujumbe una mantiki kwa mwanajamii,hivyo utashi wa mwanajamii ndiyo utao pelekea utekelezaji chanya[+] au hasi[-] wa maudhui wa ujumbe uliotolewa.MZEE UJIRA WA MWIYA tayari amejipambanua kuwa yeye ni KIVURUGA na Dogo janja ni mjanja kwelikweli katika ujenzi wa hoja zenye uhitaji wa akili ya ziada katika kuichambua.Kwa hiyo mustakabali wa nchi yetu unalalia katika uzalendo tu kwa kila mtanzania kujibu swali je,nitaifanyia nini TANZANIA?HAKUNA HAJA YA KUMCHAMBUA MTU KIVURUGA.KAZI IENDELEE MPAKA KIELEWEKE.
 
- Ungefunguliwa thread yake, maana kama umesoma ungejua kwamba hii thread inahusu mengine kabisa inajisema yenyewe kuhusu elimu yako1 ha! ha! ha1

William.

kaka rudi shule kwanza ili usafishe CV zako au basi soma hata QT upate hata cheti cha 4M4 itatosha kuliko hivi ulivyo kwani ni aibu kwa baba lizma kutegemea fedha za baba na mama pia na kutegemea kupigiwa mapande ya mjuano pasipo kuwa hata na qualification za kutosha, pia ni aibu kwa toto la kigogo kama ww ambalo lilikimbia shule alafu leo hii linataka lituongoze gosh..! Soma kwanza kwani fedha na magari ya baba si yako kwani siku CDM tukichukua nchi itabidi tupitie upya vyeti vyenu tujilidhishe kama kweli mlistahili kupigiwa mapande kiasi hicho.
 
Kibudu... I mean Shibuda hastahili kupewa hata dakika chache za kumjadili. Tangu aingie CDM ameshafanya mengi ya kukidhalilisha chama hicho mbele ya wapiga kura hivyo anachostahili ni kufukuzwa chamani tu na siyo kumjadili....na aliyoyasema Nassari ni kweli tupu pamoja na magamba kutaka kumtisha eti aombe radhi.....aombe radhi kwa kusema kweli!?

Shibuda hapaswi kujibiwa kabisa kwa lolote analosema na uongozi. acha wananchi wamjibu. maana mtego wa kujinasa anauweke mwenyewe
 
Nyumba yako inaungua, ya jirani iko salama wala moto hujaisogelea ila wewe badala ya kuzima moto ktk nyumba yako wewe unakimbia kwa jirani kumuambia huyo jirani eti awe makini nyumba yake isishike moto.
W.J. Malecela nakushauri uwape ushauri viongozi wa chama chako mjadili kauli ya lowasa hasa ile ya 'ukosefu wa ajira ni bomu linalokaribia kulipuka' na ile ya 'tatizo kubwa la CCM ni uongozi mbovu bila kusahau ile ya 'maamuzi magumu'
Pia washauri wenzako wa CCM mjadili hoja ya makamba ya kuwa nape anakipeleka chama cha CCM kama ni chama chake binafsi bila kusahau hoja ya malisa kuwa kwa nini mwenyekiti wenu anawatoa watendaji wa chama na kuwapa majukumu mengine ya ukuu wa wilaya.
Baada ya kuzima moto ktk nyumba yako ni ruksa kutoa msaada wa kutoa precaution juu ya moto unaohisi unaweza kuchoma nyumba ya jirani yako.
Otherwise utakua unaonekana huna upendo na nyumba yako na utakua umesahau kuwa the charity begins at home na hapo ndo utadhihirisha kuwa una upendo wa mshumaa wa kuwamulikia wenzako while mshumaa wenyewe unaungua.
Then last sunday ulivyokua na Felex mrema(the former MB of Arusha) hakukudokeza vuguvugu la mabadiliko lilivyoshika kas kiasi cha kuwafanya wana CCM kuchanganyikiwa na kupoteza dira kama wajenzi wa mnara wa babeli??
 
- Matukio ya hivi karibuni kati ya Wabunge Nassari na Shibuda, yanaleta maswali magumu sana kuliko majibu yake. Ninasema hivi CCM wasipuuze maneno ya Nassari na pia Chadema wasipuuze maneno ya Shibuda wayatafakari na kuyafanyia kazi, mifano ipo mingi sana kwa mfano kuna wakati hatukutaka kuongelea katiba wala Muungano, lakini sasa wakati umefika ambapo ukweli upo wazi kwamba tungenongea haya kule nyuma, saa hizi tungekwua mbali sana.

- So Chadema na CCM, wasiwapuuze Nassari na Shibuda, kwa sababu reading between the lines kuna ujumbe mzito wa kisiasa kwenye maneno yao.

William.

zilipendwa. Njoo na single mpya
 
- Hoja yake ni kwamba kuna tatizo katika njia ya kutafuta mgombea urais huko upande wa pili, tuachane na yeye kama Shibuda!

William.

Tatizo la jinsi ya kupata mgombea URAIS ni sugu zaidi huko CCM alikofukuzwa huyo Shibuda kuliko huko unakokuita upande wa pili; na tatizo hili lina kielelezo hai kwa jinsi John Malecela alivyochinjiwa baharini kwa jina lake kukataliwa na cc ya ccm eti kwa sababu alikuwa hachaguliki wakati huo huo chama hicho hicho kilikuwa kinamtumia kama TINGATINGA kwenye kampeni zake za by-elections!! Huko alikosemea mada yake Shibuda ndio kwenye matatizo .
 
- Maana yake ni moja tu kwamba ujumbe umefika, that is all I could ask kutoka kwa Great Thinker, hayo mengine fungulia thread yake hii sio! ha! ha! ha!

William.
 
Back
Top Bottom